Na kweli tungoje. Ila kwa mchezo unaochezwa, Kikwete na Lowassa ndo wataishia kuwa washindi na genge lao la wanamtandao.
Angalia mbali utaona kuna re-grouping inafanyika kiaina kuelekea Chadema. Hata kama kwa sasa wanasema hawana chama (ona Kingunge anavyozurura na UKAWA, na alisema hana chama tena)!
Tukishajua mchezo unavyoenda huu, tayari ni mimba!
Nakubaliana nawe. Tusubiri. Hayo ni maoni yangu tangu Lowassa aliposema sijakutana na Kikwete barabarani.
Vinginevyo, mimi nitaendelea kuhubiri MABADILIKO ingawa kwa sasa yatakua na ukakasi flani!!!