Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Ndo wale waliishauri tanesco ivunje mkataba wa richmond/dowanz kimburula afu baadaye wakapitwa na dowans fidia ya mabilioni

Mkuu ka ukiongea vitu unavyovijua acha kuongea kama wauza vitambua
 
Ndio huyo huyo.mama ame move in na mtoto wake wakiume.Emmanuel akaro .Mtoto wake ndio Yule alieweka picha za Jessica kikumbi za UCHI kwenye Internet .

...umbeya mtupu.!
 
UKAWA kwa uzushi! Huyo mama ametangaza kuwa hajahamia chama chochote kile. Ila ni kweli kuwa ametoka CCM.

Source: ITV
 
Well ukweli unauma

..ukweli gani unaoandika wewe zaidi yakujaza povu kwenye server ya watu.Km roho imekuuma sana na wewe mtumie pic zako azirushe google, huku umbeya hauna nafasi..
 
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Ukawa. Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa JK katika chaguzi zilizopita.
Hah hah anamkimbia Magufuli huyo,huyu mama si ndio mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya sheria ya REX ambayo ilikuwa ndumila kuwili kwenye kesi ya Dowans a.k.a Richmonds,kwanza waliishauri vibaya Tanesco na baadaye wakaiegeuka Tanesco na kuwa washauri wa Dowans,watakimbia sana mwaka huu lakini Magufuli atawafuata huko huko waliko.
 
...Lakini pia kubwa kabisa kaliweka mwishoni. CCMscrow inapaswa ipasuke (km ilivyokua chama tawala huko Zambia) ndipo upinzani ufaidike. Tunachokishuhudia sasa ndio hicho. Kwa sasa walioko CCMscrow wanaficha kichwa chini ila ukweli uko wazi, IMEPASUKA kiasi kikubwa!! Haikarabatiki tena!!!

Je, haiko wazi ya kwamba huyu mama alikua anaipa twisheni Chadema kupitia vyombo vya habari? Tusubiri tuone!!
Nionavyo mimi CCM ya sasa hivi imebahatika kuondokewa na watu kama Lowassa (ambaye CHADEMA walituaminisha sisi wananchi kuwa ni fisadi) na genge lake. Mgombea ambaye CCM wamemchagua kuwakilisha chama chao katika kugombea urais ameongeza kwa kiasi fulani imani ya wapiga kura, kutokana na wasifu wake wa uchapa kazi. Kufananisha Tanzania na nchi kama Zambia au Kenya kwa sasa ni kujidanganya tu (au kujipa matumaini). Watu kama akina Hawa kwa kweli hawana ushauri mkubwa katika siasa za Tanzania. CHADEMA wapo kwenye hali ngumu kushinda uchaguzi huu, licha ya mbinu zao za kutumia mwamvuli wa Ukawa na kumtumia Lowassa kama ngao yao ya kuingia Ikulu.

Tungoje tuone hali itakavyokuwa baada ya tarehe ishirini na tano.
 


Niambie wana cheo gani ndani ya ukawa/chadema? Hata wao ni misukule tu!

​

Ni rahisi kuona umuhimu wa A/C kwenye gari ukasahau vitu vidogo ambavyo ni muhimu kuliko kiyoyozi. Hata Nut ktk gari Huwezi kuiona umuhimu wake ikiwepo, ila ikitoka na engine ku knock, ndipo utajua umuhimu wake..
 
..ukweli gani unaoandika wewe zaidi yakujaza povu kwenye server ya watu.Km roho imekuuma sana na wewe mtumie pic zako azirushe google, huku umbeya hauna nafasi..
Asante mkuu, hoja ni hawa kuhama ccm. Cha kushangaza bibie kaja na personal attack na majungu ya ukakasi mkubwa kama vile kuhama chama ni dhambi
 
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Ukawa. Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa JK katika chaguzi zilizopita.


"NDIO NANII?" in joti's voice
 
Acheni umbea na majungu, huyu mama ni very brilliant na anafanya kazi zake vizuri. Nenda pale REX attorneys utamkuta.

...wacha kijichosha kuyajibu hayo makenge; yanapenda majungu ndio maana hicho kikaragosi kingine(natalia) kinaleta hbr za mtt wake sijui alifanya nini, hata hayakumbuki mada inahusu nini,magamba hakuna akili tena wamebaki vibuyu tupu.
 
Rungu

Na kweli tungoje. Ila kwa mchezo unaochezwa, Kikwete na Lowassa ndo wataishia kuwa washindi na genge lao la wanamtandao.

Angalia mbali utaona kuna re-grouping inafanyika kiaina kuelekea Chadema. Hata kama kwa sasa wanasema hawana chama (ona Kingunge anavyozurura na UKAWA, na alisema hana chama tena)!

Tukishajua mchezo unavyoenda huu, tayari ni mimba!

Nakubaliana nawe. Tusubiri. Hayo ni maoni yangu tangu Lowassa aliposema sijakutana na Kikwete barabarani.

Vinginevyo, mimi nitaendelea kuhubiri MABADILIKO ingawa kwa sasa yatakua na ukakasi flani!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom