Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Sinare huyo ni moja kwa moja mtu wa KLM elite sasa cha ajabu nini si anaungana na akina Kishimba, Nkya, Mbatia &CO.!

Yeye ni sawa kwa maana siyo msukule, shida inabakia kwenu manyumbu wa kutoka Mbeya, Iringa sijui Mwanza au Geita mnashabikia ukawa huko ninyi mnatumiwa kama misukule tu ya kuandamana kupigwa na Polisi lkn cheo ndani ya UKAWA sahauni!

Wewe bado unakaa enzi za ujima (old stone age).
Tukusamehe tu siyo kosa lako. Yawekana you were raised by a single mother.
Kwa uzoefu wangu unaonyesha kuwa, watu wengi waliopata malezi ya mzazi mmoja tu ndio wenye ufahamu kama huu wako.
 
Je, huyu ni nani kwenye siasa tulizo nazo...?
Je, aliisha wahi hata kugombea udiwani tu au serikali ya mtaa wake...?
ili walau tumpime kama ana ushawishi (Orator) au mnatuletea watu
kwa tittle za darasani mkidhani watafua dafu kwenye siasa za kibongo...?

Kuna post kibao haziitaji wanasiasa serikalini watu sio wajinga ,Serikali inaenda ukawa sasa ulitaka katibu mkuu Wa wizara Fulani awe Nani ??
 
Unzamzungumzia Dr Sinare mwanamtandao na mmoja wa wamiliki wa kampuni ya mawakili ya Rex Attorneys ambayo wana kashfa mbalimbali ikiwemo ya kuishauri vibaya serikali kwenye suala la Dowans??????????

Waambie Wanamtandao kuwa inajulikana sana kuwa kunawengine wamepanga kutangaza kuhama hadi tarehe 24 eti kuonyesha eti lowasa ana nguvu nas kutengeneza cheap popurality ili eti kuongeza kura. Huo ni usanii tu na ulishajulikana tangu awali. kwa kifupi wanamtandao mwaka huu hawaingii tena ikulu na huyo fisadi mwenzao Lowassa.
 
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!

Mwandosya anacheleweshwa stahiki zake za uwaziri. Mwambie Jk kesho atangaze kuvunja balaza la mawaziri uone.
 
Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!

Tangu lini sinare ikawa klm elite?
 
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Ukawa. Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa JK katika chaguzi zilizopita.

Pongezi nyingi kwake kwa kuungana na wanamabadiliko...
 
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Ukawa. Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa JK katika chaguzi zilizopita.

Tukiondoa unafiki huyo hata akiondoka sioni impact yake kwani kama kufahamika anafahamika kwa mumewe tu lakini sisi wanachama wa kawaida hatumjui kabisaaaaaaaaa aende tu maji na mafuta kamwe haywezi kaa chombo kimoja hana faida yoyote na sisi ni mbele kwa mbele
 
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Ukawa. Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa JK katika chaguzi zilizopita.

Possibly na mm nikihama nitakuwa maarufu! Njia nzuri ya kurudi kwenye media
 
haa haa kuwagawa watu kikabila ni kazi ya ccm. nimeshuhudia maghufuli akinadi kwa kisukuma ili kujaribu kupata kura za kabila lake. ni hatar sana..

Hata magufuli anajalibu kuwadanganya wasukuma kuwa yeye ni msukuma,ili wasukuma wamuonee huluma,hawadanganyiki!
 
QUOTE=Barbarosa;14391581]Mwandosya hawezi kuhama kwa kuwa anajua wazi hata kama akihama hana chake mbele ya KLM Elite ni bora hata CCM watampeleka kumtibu India, huko UKAWA ni KLM tu si unasikia majina yenyewe Sinare huyo ni KLM elite moja kwa moja!
[/QUOTE]

Miaka yote dr Sinare alivyokua anawapangia sera hakuwa KLM ila baada ya kuhama ndo nnaona hayo??
 
Ajiuzuru kwa hoja ipi, unataka aharibu record yake ya utumishi uliotukuka?

Tofautisha Siasa na utumishi wa umma.

Kwani anajali nini si anaenda Upinzani? tatizo liko wapi? Kama kweli ana dhamira ya kweli hilo wala haliwezi kumzuia kwa maana hana cha kupoteza na kama ana uhakika fisadi Lowasa atakuwa Raisi kwa nini awe na wasi wasi na rekodi yake? Si atakuwa sehemu ya serikali mpya?
 
Akiongea na waandishi wa habari jioni hii kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Ukawa. Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa JK katika chaguzi zilizopita.

Huyu mama ndio yule owner wa REX ATTORNEY? Ama kweli ni pigo kubwa kwa CCM, mama huyu ana mkwanja wa kutosha sana
 
Mabadiliko ni kwa makabila yote, hayabagui

Misukule yote huongea hivyo ila Uongozi ndani ya chadema sahau utaishia kufanywa chambo tu kama misukule wenzako waliolemazwa baada ya kushawishiwa na KLM elite kuandamana na kubeba spika tu za matangazo!
 
Back
Top Bottom