Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,178
- 143,981
hivi NSA ya USA si wako ktk level moja na CIA na FBI? ninavyoelewa taasisi nyeti kama hizo haziajiri watu ambao hawana URAIA wa USA.
Maana hata mimi nilikuwa nafanya kazi MoD kwenye kambi yao ya kijeshi ambayo wanaifunga hivi karibuni. Nilikuwa mfagizi..
Looh! Mmeshaiharibu hii thread au ndio DrWHO kisha fanya vitu vyake?
I know her, she is the mail lady!
You know everybody......
Didn't you go out with her at some point...?
You know everybody......
Didn't you go out with her at some point...?
mzee kuishi kwingi kuona mengi... ila hukusema kama ndiyo yule wa Mail Room au yupo mwingine. Si unamfahamu Dr. Joseph Kimario yuko hapo CDC kitengo cha Tropical Diseases.. ? I don't think you do, but watu kama hao ndio wanahitajika.
Yani ulimchomekea makusudi pia sio? Sikuwezi.
Anyways, have nice time buddies
Hivi umetumua criteria zipi kuwa mkali wa Nuclear Physics?
Hivi wale jamaa wa NSA ni wajinga sana basi kumwona kuwa ni mkali nao sijui wametumia vigezo vipi lakini i assume kuwa NSA watakuwa wana criteria zaidi mpaka walipofikia uamuzi huo
On the same subject kwani huyu mama Rihab Taha aliandika paper ngapi?
Au huyu AQ Khan aliandika Paper ngapi?