You are absolutely right. Tumekuwa watu wa kufikiria kwenye boksi, kila tukifikiria cheo fulani tunawafikiria walewale tu. Kuna watu wetu wengi wamesoma na wanafanya mambo makubwa ambao hatuwajui. Ukitaka kuwapata hawa tangaza nafasi kama hizo kwenye magazeti na uweke sifa unazotaka, uone. Lakini kama tutaendelea na mtindo wa kuteuana, hakuna ujanja itabidi kuishia kuteua makada tu ambao ni walewale tu. Inabidi tutoke kwenye shimo. Hapa Uingereza hata u-director nyeti kama ule wa DfID wanatangaza, lakini sisi hata uVC tunateuana. Huu uhuni lazima tuuache.
PS: Nakumbuka executive directors wa benki nyingi za binafsi Dar ni a jamaa tuliyosoma nao mlimani na wanafanya mambo makubwa sana.
mtanzania na wenzako mnaodai Dr.Bilal mtu wa Rushwa mna ushahidi? wekeni hapa acheni FITNA NA MAJUNGU...file zipo zitamwagwa kilichokuwa kinafanyika pale ELIMU ya JUU....mnakijua..ila hamtaki watu wa kuwaambia UKWELI...nyie mmezoea kukaa na akina YES MAN...watu wanaochallenge hamuwataki...
Mtanzania,
Hivi kubugia na kula rushwa ni tofauti? Over. Bilal kumpeleka COSTECH sii sahihi- kwa umri wake- na tayari siasa zimeshamwaribu, atafutwe tu cnidate mwingine- hata CV ya mama Kingamkono- imekaa tu vizuri- na pia ni mama mwadilifu!
Hizo enzi za Bilali za Cost shairing!! Lakini nilisikia Bilali na Nkapa walikuwa hawaivi kabisa. Bilali alikuwa analindwa na Mwinyi na Nkapa JKN. Nasikia ilifikia time mpaka alikuwa antoa maamuzi mazito bila kumshilikisha Nkapa. Nkapa alishamkamia kumshughulikia lakini Salmini akamuokoa kumpa u-Chief Minister. Hayo ndiyo yalikuwa majungu chuo kabla ya uchaguzi 1995!!!
[SIZE="3" said:Mtanzania[/SIZE];110315]Huyu Dr. Alikuwa anabugia rushwa sawa tu na akina Prof. Mahalu, Benjamini Mkapa walipokuwa pale wizara ya elimu ya juu miwaka ya 90.
Bilali nashangaa anapiga kelele nyingi lakini kwa ufanisi wake pale wizarani sioni kama ningelikuwa mimi ningempatia hata ukatibu kata. Yeye arudi mlimani kufaundisha. Hana tofauti na akina Karume au huyo waziri kiongozi anayedhani kuwa MC kwenye sherehe ye Mkapa ni jambo la maana mpaka kuweka kwenye CV.
CCM inatakiwa kubadilika na kuruhusu mawazo mapywa na vijana wapya ili kuleta radical changes kwenye yetu. Mimi naamini Hamad angelikuwa rais mzuri mno kwa Zanzibar kuliko hawa wezi wa kura.
Mkuu heshima mbele, ninakubaliana na wewe on this one.
Bilal kumpeleka COSTECH sii sahihi- kwa umri wake- na tayari siasa zimeshamwaribu, atafutwe tu cnidate mwingine- hata CV ya mama Kingamkono- imekaa tu vizuri- na pia ni mama mwadilifu!
[COLOR="Red" said:kingwendu;[/COLOR]110334]Mzee Game theory without a doubt unayo heshima yangu kwa data zako!!! Lakini naomba tuwekane sawa kuhusiana na huyo Mkuu Gordon Brown PM, infact huyo bwana si mchumi ila ni 'historian' pitia kule kwenye wikipedia utaona CV yake kwa ufupi, infact ana PHD ktk history, ila kwa mambo makubwa aliyoyafanya pale Treasury watu wengi wanadhani ni mchumi, hii sio sahihi.
Ila kitu kikubwa alichokifanya Mh. huyu wakati yupo pale treasury, alihakikisha anazungungukwa na 'vichwa' vikali ktk masuala ya uchumi, na hawa ndio waliokuwa 'brain' behind Gordon's sucess at the treasury. Inasemakana alikusanya vichwa toka pale 'London School of Economcs' na hawa ndio haswa waliokuwa wapishi wa mkate.
Kazi zote za serikali mzee in UK lazima zitangazwe kwenye Public domain hiyo ndiyop sheria ya nchiHapa Uingereza hata u-director nyeti kama ule wa DfID wanatangaza, lakini sisi hata uVC tunateuana. Huu uhuni lazima tuuache.
PS: Nakumbuka executive directors wa benki nyingi za binafsi Dar ni a jamaa tuliyosoma nao mlimani na wanafanya mambo makubwa sana.
mtanzania na wenzako mnaodai Dr.Bilal mtu wa Rushwa mna ushahidi? wekeni hapa acheni FITNA NA MAJUNGU...file zipo zitamwagwa kilichokuwa kinafanyika pale ELIMU ya JUU....mnakijua..ila hamtaki watu wa kuwaambia UKWELI...nyie mmezoea kukaa na akina YES MAN...watu wanaochallenge hamuwataki...
Chuma,
Unataka ushahidi gani, unasema tungepiga video kumkamata akipokea rushwa?
Sipo kwenye majungu, suala la hawa waheshimiwa watatu mimi nimekuwa nikiliongea tokea miaka ya 90 kwenye vijiwe mbalimbali. Kuna jamaa zangu wazito serikalini walinibishia sana na kusema majungu hasa kuhusu Mahalu na Mkapa, nikawaambia mimi kwa mfano nilikuwa namheshimu sana prof. Mahalu toka tuko pale mlimani wakati huo ni dean lakini niliyekuja kumwona wizarani ni Mahalu mchafu tu.
bado tunasubiri huo ushahidi au maelezo zaidi hii statement yako bado iko vagueUzuri wa dunia ni ni kwamba kama unasema ukweli time ndio mwamuzi. Mara Mahalu akachota huko Italy, jamaa wakasema kumbe Mtanzania ulikuwa unasema ukweli, jamaa kaamua kula bila hata kunawa?
Haikupita muda mambo ya Mkapa yakaanza kuanikwa nje nje.
Mkuu hao waheshimiwa nawafahamu vizuri mno maana ndio tulikuwa tunapita hapo kuja Ulaya, lakini pia kama viongozi wa wanafunzi, tumeshagongana nao mno. Ukweli ndio kama nilio uandika kama unataka ushahidi wa video sina.
Kwa mtu anayejua yaliyokuwa yanaendelea pale elimu ya juu miaka ya 90 anaweza kuelewa wazi kwanini Mkapa hakumuunga mkono Bilal. Hao watu walikuwa hawaelewani maana Bilal alikuwa kila kitu kwa Mwinyi na kumwacha waziri Mkapa. Ni kipindi hicho ambacho urafiki wa Mkapa na prof. Mahalu ulianza, wote walikuwa na common enemy.
Hao akina Bilal ni kuwapotezea muda Wazanzibari tu, hakuna jipya analoweza kufanya maana hata pale elimu ya juu hakuwa na jipya. Nchi ina vijana wengi wasomi, tuwe tayari kuwaamini na kuwapa madaraka. Tunahitaji mabadiliko, hayo mabadiliko hayataletwa na watu kama akina Bilal maana hao ni sehemu ya tatizo.
Hivi leo wewe uwe kwenye payrol ya NSA utashindwa kumsomesha mtu hapo Poland? hivi BILAL atakuwa hana credit ratings za kumtosheleza kupata loan au credit na mabenki makubwa duniani?Mtanzania,
hapo umeshusha vyote kabisa, kwa kuongezea t kwa niliyoyaona miaka ile huyu jamaa Bilali hatufai kabisa kwanza ana upendeleo wa wa wazi kwa wazanzibari bila hata aibu.. Hivi mtanzania hujawahi kuisikia ile story alivyompeleka ndugu yake kusoma Poland? kwa utaratibu tofauti ambao unatakiwa kufuatwa?
Chuma,
Unataka ushahidi gani, unasema tungepiga video kumkamata akipokea rushwa?
Sipo kwenye majungu, suala la hawa waheshimiwa watatu mimi nimekuwa nikiliongea tokea miaka ya 90 kwenye vijiwe mbalimbali. Kuna jamaa zangu wazito serikalini walinibishia sana na kusema majungu hasa kuhusu Mahalu na Mkapa, nikawaambia mimi kwa mfano nilikuwa namheshimu sana prof. Mahalu toka tuko pale mlimani wakati huo ni dean lakini niliyekuja kumwona wizarani ni Mahalu mchafu tu. Uzuri wa dunia ni ni kwamba kama unasema ukweli time ndio mwamuzi. Mara Mahalu akachota huko Italy, jamaa wakasema kumbe Mtanzania ulikuwa unasema ukweli, jamaa kaamua kula bila hata kunawa?
Haikupita muda mambo ya Mkapa yakaanza kuanikwa nje nje.
Mkuu hao waheshimiwa nawafahamu vizuri mno maana ndio tulikuwa tunapita hapo kuja Ulaya, lakini pia kama viongozi wa wanafunzi, tumeshagongana nao mno. Ukweli ndio kama nilio uandika kama unataka ushahidi wa video sina.
Kwa mtu anayejua yaliyokuwa yanaendelea pale elimu ya juu miaka ya 90 anaweza kuelewa wazi kwanini Mkapa hakumuunga mkono Bilal. Hao watu walikuwa hawaelewani maana Bilal alikuwa kila kitu kwa Mwinyi na kumwacha waziri Mkapa. Ni kipindi hicho ambacho urafiki wa Mkapa na prof. Mahalu ulianza, wote walikuwa na common enemy.
Hao akina Bilal ni kuwapotezea muda Wazanzibari tu, hakuna jipya analoweza kufanya maana hata pale elimu ya juu hakuwa na jipya. Nchi ina vijana wengi wasomi, tuwe tayari kuwaamini na kuwapa madaraka. Tunahitaji mabadiliko, hayo mabadiliko hayataletwa na watu kama akina Bilal maana hao ni sehemu ya tatizo.
Namfahamu Bilal personally wakati akiwa pale UDSM. Ni kweli amesomea Nuclear Physics, lakini hata hivyo siyo mkali sana katika field yake kiasi cha kumweka kwenye world standard. Muda wote aliofundisha pale chuo kikuu cha Dar es salaam hakuweza kuandika paper 6 tu zilizotakiwa kumpandisha kuwa Associate Professor. Ingawa si vizuri kuwazungumza wenzetu vibaya, ukweli kuwa hata uongozi wake pale Elimu ya juu ulikuwa na mashaka ni kipimo tosha kuonyesha uwezo wake katika kukabiliana na mambo yanayomhusu (iwe physics au siasa).
Anaweza kuwa ni bora kuliko Karume katika siasa kwa kulinganisha two devils, lakini sidhani kama atatusaidia lolote kisayansi akipelekwa COSTECH.
Kichuguu, ndio maana mimi nauliza tunachohitaji COSTECH kuweza kuibadili na kuwa a world class research and development institute ni mtu ambaye an accomplished scientist, a management guru, na mtu ambaye anaweza kuwa kama Dr. NO. Hatuwezi kuendelea hadi wanasayansi wetu waweze kuwa na uwezo wa kuthubutu kufanya vile visivyo vya kawaida.
The current paradigm that we are using in our science and technological research is no longer viable. We have to think outside the box.
Naamini mambo mawili yanawezekana kwa upande wa wanasayansi wenyewe:
a. We have to build a modern high security research Lab somewhere porini (Los Alamos ya kwetu) ambako wanasayansi wetu watajifungua huku na kucheza na mabeaker na burners! (It reminds me tulivyotaka kujiunguza kwenye darasa la Kemia.. )
b. Serikali itoe ofa ya wazi kwa Wanasayansi wa Kitanzania pote duniani kukusanya uwezo wao wa kiakili na utafiti kurudi nyumbani. Ofa hiyo it has to be a monetary suprise! An offer that they CAN NOT refuse!.. Nyumba, gari, posho, n.k to entice them to leave whatever they are currently doing. Na tuweke mkazo kwa wataalamu wa Electronics, Nuclear Physics, Computing Technology, etc etc.
c. Chuo Kikuu cha Mbeya na kile cha Arusha or a new one in Kigoma (I can't see that happening) ndiyo viwe vyuo vya majaribio na applications ya yale yanayofanywa na National R&D Lab. Hivyo wanaoingia kwenye vyuo hivyo have to be only and only Division 1 holders from High School! period. Na wanasoma bure!
d. Guarantee independence of this new research from politicians; na iwe kama taasisi inayojiongoza yenyewe and the government supervision should be minimal and mostly on the areas of Administration, Regulation and Finance.
Tatizo
Tatizo, tukiwa na kitu kama hicho, nani ataweza kuongoza? So far Prof. Neuro Surgeon has been a failure, na sasa Dr. Bilal inaonekana ni "hao hao". Should we ask our friends from China or Japan to help us out?
Bottom line Nuclear Physics bongo kakosea njia.
kama serikali inashindwa kuwalipia wananchi wake basic huduma kama maji safi, barabara, umeme nini kinachokufanya ukaamini kuwa wanayo interest na hiyo COSTECH?
wamemtimua aliyekuwa kiongozi wa COSTECH... vinginevyo wangeamua kumuacha tu!
Sasa tunataka mtu aliye kwenye payroll (literary) ya NSA (or is it NASA?) aje kuwa rais, hiyo inaingia akilini kweli?