Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

Mdada alighafilika tu, alitaka kuonyesha heshima kwa kiongozi mkuu mtarajiwa, chezea 'wahuni' wanapochukua nchi..
 
Batilda ana mwakilisha Rais kulingangana na mambo ya kidiplomasia...
Sasa kwa kusema yeye amwamkie Rutto kwa sababu ni makamu wa Kenya...this does not sound diplomatically!
Batilda ni RAIS..
'You are very right', ndiyo maana anapoenda kujitambulisha ikulu hupanda gari ya Rais na kusindikizwa na ADC wa Rais kama mwakilishi wa Rais.
 
Jamani mbona watu waongo sana!!mimi jana nimeona mwenyewe kwa macho yangu!aliulizwa hujambo??na alijibu sijambo muheshimiwa!!hajasema shikamoo!!
 
Mkuu Rufiji, shikamoo ile ni ile ya heshima kitu cha bure, na sio ya inferiority complex!. Hatuwafanyi wanawake kuwa inferior, but that its used to be!, Mimi nimesoma na wife wangu, class moja chuo, tena mimi ndiye nilyemsaidia akapass, tukaona kidini na kisha sherehe ya kimila, aliniletea chakula kwa kutembea kwa magoti, na kuelezwa wazi, kuniamkia shikamoo ni wajibu wake!. Tukahamia US, yeye akatangulia kufanya masters, akapata kazi nzuri, mimi nikawa kama house husband!, shikamoo iliisha, ikafikia mimi sasa ndio natumwa!, yeye akirudi amechoka!. Kwa makabila mengine kama sisi wa Kanda ya Ziwa, "we can't stand that!, nilijirudia zangu bongo kuyendelea na maisha yangu ya kimasikini, but happy!.

Kuna mambo ya kizungu yametuharibia sana familia zetu!, heshima za kiasili za kiafrika, zimedumisha sana ndoa za kiafrika!. Mwanaume hata uchelewe vipi, uchelewe wapi, ukifika nyumbani kwanza unapewa pole!, kisha unaakiwa!, hata kama mtatumia shower, unaambiwa maji ya kuoga tayari yako bafuni, na chakula kiko mezani na ukashakula ndipo unapewa na kile kingine!. Hali kama hii ndoa zingevunjika kweli!.

Wanawake wote mliomo humu, waamkieni waume zenu!, sio lazima kwa shikamoo, hata hello, hata darling, hi!, mambo etc, ila shikamoo ni kwa yoyote aliyekuzidi umri, cheo au mamlaka!. Mfano mzuri ni mahakamani, hata hakimu awe mdogo vipi, akiingia, wote mtasisimama!, mta bow down, atakaa na nyinyi ndio mtakaa, na Advocate hata awe 60 na hakimu ni 20!, huyu mzee wa 60 atam address hakimu as "your loardship!", neno shikamoo sio issue issue hapa ni heshima!
Dr. Batilda Salha Burian ana heshima!. Na amini usiamini, mwanamke ukifanya heshima, hata "kule" mtu akipita!, kunakuwa na heshima fulani!, ukishamaliza, unapata sense fulani ya "gratification" ya kiheshima fulani!, mwanamke asipokuwa na heshima, ukipita "kule", ukimaliza, unajisikia nothing kama tunavyowapitiaga wale wa "kona bar!". Mwana ukiheshimu, heshima inakurudia, ndio maana kwa Mama Burian....wee acha tuu!, "mtu alivuliwaga ubunge kwa kumtukana huyu mama!, mambo mengine bora tuache tuu!,
heshima mbele!.
Pasco.
Pasco.

Naunga hoja 101%
 
Heshima haiuzwi, mfano hapo balozi kapungukiwa nn,japo yaweza kuwa hata majungu ya mleta hoja ila pia sio tatizo sanasana na nyie mwakumbushe mabinti zenu kuwa na heshima.
 
Ha ha ha ha, 'engwashi', goti hadi liguse sakafu
'Bonekaga' goti liguse sakafu

Hilo la mtu kutoa vyombo mpaka kijasho cha hasira kimenitoka!

BTT

Ila bana pamoja na dada yangu Kongosho kunizidi umri (ni kikongwe cha late 40s') kule kwetu lazima anipe shikamoo.
Akiniletea maji ya kunywa lazima apige goti mpaka chini, na wakati wa kula hukooo na Wanawake wenzie
tena baada ya sisi kuanza kula.

CC: Pasco
 
acha maneno ya umbea,nikirudi kwa balozi batlida sioni tatizo lolote kubwa,mbona baadhi ya wazee wa kichagga huwa wanawaamkia watoto wao shikamoo mtoto!!!

WW ni Mchaga? Una upuuzi kchwani zaidi ya ubongo.
 
No sio dharau, bali ni kutokana na ile traditional position ya mwanamke katika "yale" siku zote huwa chini!, hii mitindo ya kisasa ya wao kuja juu ni katika manjonjo tuu!, ndio maana hata Mungu, ameiweka pale chini!, katika uumbaji, angeweza tuu kuiweka pale kwenye kitovu, ili "somo" lifanyike while standing on equal basis!, lakini kaiweka pale, ili mmoja awe juu na mwingine awe chini!.
Hapa nazungumzia tuu position!, ndio maana kwa makabila mengine, hata mtoto wa kiume anakazwa kulia lia kama mwanamke, tena ukiambia usiwe kama mwanamke, kwa wengine ni umetukanwa!.

Ni ukweli ki baolojia mwanamme na mwanamke tuko sawa, ila Mungu alianza kwanza kumuumba Adamu, Eve aliumbwa tuu ili kumtumikia Adamu, hivyo hao wanawake tumeumbiwa sisi, watutumikie!.
Pasco.
Mkuu Pasco, hoja yako ni sawa. Hivyo ingependeza sana katika vikao vijavyo vya Bunge tukimwona Mhe. Anna Makinda akitamka "Shikamoo Mhe.Tundu Lissu.."
 
Na hii pia ni nidhamu ya uoga?

mugabe.jpg
 
..........Wabongo Bwana... wengi wakipewa shikamoo wanajibu "unataka kuninyima nini"
 
Sote tunaamkia watu watatu.1:Tunamwamkia unayempenda. 2: Tunamwamkia tunayemhofu na 3: Tunamwamkia tunayempenda.

Sasa kwa dada yetu kumpa shikamoo bwana Ruto lazima yuko katika moja ya sababu hizi tatu. Kwa hiyo alifanya vizuri.

Sioni tofauti kati ya 1 na 3 hapo............?!
 
Safi sana Batilda, inaonyesha huyu mama amelelewa na ana maadili stahiki. Mwanaume siku zote yupo juu ya mwanamke so ni vizuri hawa dada zetu wakawa wanatugonga na shikamoo siyo kujifanya tupo sawa kisa umri..! Huyu Ruto anao uwezo mkubwa sana wa kumuinamisha huyu mama usiku kucha.!
 
Na hii pia ni nidhamu ya uoga?

mugabe.jpg

huyo mzee muhuni, anajua kucheza na mind za kina mama. Karibu kina mama wote ambao wamefanya kazi kwa karibu nae wanamsifia mno kuwa ni mtu mwenye roho nzuri sana.
 
Asante


Mie wamenipa jina la 'mjeuri sana'

Kwangu mie proffessionalism lazima ichukue mkondo wake


Kuna watu wanajipendekeza hadi inatia kinyaa aisee

Hahaha. Ugomvi wangu kila siku na watu ofisini, unamuitaje boss wako mama? Kakuzaa? Hana jina lake?
Mwanaume mzima na mke na watoto anakuambia 'mama anakuita'. Namuuliza mamako ananijua mie? Kha!

Lack of proffessionalism. Kuna siku tulienda business dinner nyumbani kwa CEO na wageni flani. Kidogo nizimie kumuona immediate boss wangu mwanaume kanyanyuka na bakuli. Ati anamsaidia mama mwenye nyumba kutoa vyombo. Khaaaa!
 
Msipindishe ukweli hakutakiwa kutoa Shikamoo kwa mtu wa rika lake kama yule.
Ilibidi amwambie tuu habari za saa izi mheshimiwa shikamoo inatoka wapi sasa.
 
Kuna haja ya mabalozi wetu kufundishwa ama kuandaliwa 'trainining za mambo ya kidiplomasia?" kabla hawajaenda kutuwakilisha huko nje
Inawezekana hawajui lolote
 
Batilda na Ruto wamepishana mwaka mmoja, ingawa Batilda ni mkubwa, ila kwa heshima ya kiafrika, Mwanamke ataamkia shikamoo kwa mtu yoyote alkiyemzidi umri au cheo!, hivyo Dr. Batild did the right thing kumwamkia Ruto Shikamoo!.

Mkuu tuweke kando mila na desturi, je unadhani kiprotokali ni sahihi kwenye dhifa au mjumuiko wa kitaifa/kimataifa kutoa salama za kinyumbani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom