Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

Batilda na Ruto wamepishana mwaka mmoja, ingawa Batilda ni mkubwa, ila kwa heshima ya kiafrika, Mwanamke ataamkia shikamoo kwa mtu yoyote alkiyemzidi umri au cheo!, hivyo Dr. Batild did the right thing kumwamkia Ruto Shikamoo!.

Hata ikitokea mke ni mkubwa kuliko mume, bado atamwamkia shikamoo kicheo cha ndoa tuu!. Mimi nina baba zangu wadogo, nawaamkia wake zao shikamoo, huku nimewazidi umri kwa hoja mke wa baba ni mama yako, regardless ana umri gani!.

Siku ukipata fursa, hudhuria ziara yoyote ya JK, sikilizia shikamoo anazozipata kwa watu ambao kwa macho tuu utawajua wamemzidi umri!, shikamoo hizo ni za heshima kwa mkuu wa nchi, na sio za umri!.
Dr. Batilda ni mama wa heshima sana ya kiafrika na kidini, sikumbuki kuwahi kumuona bila hijab!, mimi ni wa late 60's, nilipokutana nae kwa mara ya kwanza, sikumwamkia nikimdhania ni wa 70's, alikuwa na mwalimu wangu fulani wa Tambaza tukimwita Miss Juma!, ndipo mwalimu akaniambia "nyie watoto siku hizi mnajidai mmekuwa, mwamkie huyu shikamoo, huyo ni mama yako!, nilipigundua ni wa early 60's sasa ndio natoa shikamoo ya heshima ya umri!.

NB!, Shikamoo ni salam ya kitumwa ikimaanisha niko chini ya miguu yako!. Wakoloni Waarabu nao wametifanya vibaya, kama valivyotufanya wazungu na kasumba ya kizungu!.

Pasco.
Mkuu Pasco nimeielewa dhana yako. Lakini lazima tukubali umri nao unazingatiwa. Mathalan, mie kaka yangu amemuoa mke ambaye kiumri ni mdogo kwa mke wangu......Nimpe shikamoo kwakuwa tu kaolewa na kaka yangu??? Hapana asee!!

Tuchukulie kwa mfano mke wa mwisho wa Mfalme Mswati wa Swazilandi, kwa sababu ya cheo chake tu Balozi wetu mwenye miaka zaidi ya 50 ampe shikamoo huyo kigori wa miaka 19 kwa kuwa tu ni mke wa mfalme???

Heshima lazima ichukue mkondo wake lakini nidhamu ya woga ni mbaya sana. Dr. Batilda hata kama anavaa ushungi tangu azaliwe kachemka!!

Samahani sana, mie mtu mpaka akamate shikamoo yangu, hii salamu shenzi ya kitumwa, ni lazima nijithibitishie pasipo shaka kuwa kanizidi si chini ya miaka kumi.
 
Last edited by a moderator:
Halafu walitaka awakilishe Arusha bungeni ?
 
Bila kumung'unya maneno hiyo inaitwa NIDHAMU YA UOGA.

Ni utumwa wa kifikra tu ndio uliomsukuma huyo mama kufanya hivyo, huku ukichangiwa zaidi na unafk wa mfumo wa chama chake.
 
Mawazo kama ua wakina Pasco ni mawazo yenye lengo la kuwafanya wanawake waendelee kuwa inferior kwa wanaume. Anasema ni sheria ya kiafrika kuamkia; sijui huyu bwana Africa anaidefine vipi?
Mkuu Rufiji, shikamoo ile ni ile ya heshima kitu cha bure, na sio ya inferiority complex!. Hatuwafanyi wanawake kuwa inferior, but that its used to be!, Mimi nimesoma na wife wangu, class moja chuo, tena mimi ndiye nilyemsaidia akapass, tukaona kidini na kisha sherehe ya kimila, aliniletea chakula kwa kutembea kwa magoti, na kuelezwa wazi, kuniamkia shikamoo ni wajibu wake!. Tukahamia US, yeye akatangulia kufanya masters, akapata kazi nzuri, mimi nikawa kama house husband!, shikamoo iliisha, ikafikia mimi sasa ndio natumwa!, yeye akirudi amechoka!. Kwa makabila mengine kama sisi wa Kanda ya Ziwa, "we can't stand that!, nilijirudia zangu bongo kuyendelea na maisha yangu ya kimasikini, but happy!.

Kuna mambo ya kizungu yametuharibia sana familia zetu!, heshima za kiasili za kiafrika, zimedumisha sana ndoa za kiafrika!. Mwanaume hata uchelewe vipi, uchelewe wapi, ukifika nyumbani kwanza unapewa pole!, kisha unaakiwa!, hata kama mtatumia shower, unaambiwa maji ya kuoga tayari yako bafuni, na chakula kiko mezani na ukashakula ndipo unapewa na kile kingine!. Hali kama hii ndoa zingevunjika kweli!.

Wanawake wote mliomo humu, waamkieni waume zenu!, sio lazima kwa shikamoo, hata hello, hata darling, hi!, mambo etc, ila shikamoo ni kwa yoyote aliyekuzidi umri, cheo au mamlaka!. Mfano mzuri ni mahakamani, hata hakimu awe mdogo vipi, akiingia, wote mtasisimama!, mta bow down, atakaa na nyinyi ndio mtakaa, na Advocate hata awe 60 na hakimu ni 20!, huyu mzee wa 60 atam address hakimu as "your loardship!", neno shikamoo sio issue issue hapa ni heshima!
Dr. Batilda Salha Burian ana heshima!. Na amini usiamini, mwanamke ukifanya heshima, hata "kule" mtu akipita!, kunakuwa na heshima fulani!, ukishamaliza, unapata sense fulani ya "gratification" ya kiheshima fulani!, mwanamke asipokuwa na heshima, ukipita "kule", ukimaliza, unajisikia nothing kama tunavyowapitiaga wale wa "kona bar!". Mwana ukiheshimu, heshima inakurudia, ndio maana kwa Mama Burian....wee acha tuu!, "mtu alivuliwaga ubunge kwa kumtukana huyu mama!, mambo mengine bora tuache tuu!,
heshima mbele!.
Pasco.
Pasco.
 
Daah! Sijui ndo kukosa kujiamini ama ni nini. nilikuwa naangalia KTN TV taarifa ya habari ya saa 3 usiku leo (4/4/2013) wakati Mhe. Dr. Baloz Batilda akimpa mkono Naibu Raisi wa Kenya Mhe. Ruto akaangusha na Shikamoo daah! nilichoka hivi kweli Batilda ni wa kumpa Shikamoo Ruto? au ndo confidence ilipotea kabisa. Mama jiamini wewe Dr wa PhD unaogopa namna hiyo??

Update:

Anaji palilia kwamba bado ni binti ili antakwe! Si unazijua zake ndiyo hizo!!!! Kule SA nako maajabu yake unayajua???
 
Hahaha. Ugomvi wangu kila siku na watu ofisini, unamuitaje boss wako mama? Kakuzaa? Hana jina lake?
Mwanaume mzima na mke na watoto anakuambia 'mama anakuita'. Namuuliza mamako ananijua mie? Kha!

Lack of proffessionalism. Kuna siku tulienda business dinner nyumbani kwa CEO na wageni flani. Kidogo nizimie kumuona immediate boss wangu mwanaume kanyanyuka na bakuli. Ati anamsaidia mama mwenye nyumba kutoa vyombo. Khaaaa!
HATA KAMA ANGEKUWA AMEMZIDI KWELI!
DIPLOMASIA NA TAMADUNI WAPI NA WAPI?
huwa nashangaa kweli napowaona wanawake viongozi wakiwapigia magoti wenzao!
hv ulishawahi kuona siku salma kikwete akipokea wageni pale airport?jamani huwa anakunja goti mpka huruma!usikute hapo anasema ''good morning,welcome in tanzania'' af na goti!mweeh !mweeeh!
 
Hehehehe kwani ule wanja anaokoleza vile haumtambulishi kama ni kijana? Lol
Anaji palilia kwamba bado ni binti ili antakwe! Si unazijua zake ndiyo hizo!!!! Kule SA nako maajabu yake unayajua???
 
Huku kwa ndugu zangu usukumani mwanamke anakupa shikamoo kidume hata kama amekuzidi umri, lakini hii ni kwa watu wakoo moja yaani kidume is always superior to mwanamke!! Lakini kwa Dr Batilda duh hapo sina comment!!
 
Batilda amezaliwa 19/10/1965 wakti Ruto 21/12/1966 imekaaje hapo? wewe waweza kumsalimia Shikamoo mdogo wako? mama Confidence ZERO

Viongozi hawa wa CCM ndio wame7bisha wakenya watudharau!
 
Hahaha. Ugomvi wangu kila siku na watu ofisini, unamuitaje boss wako mama? Kakuzaa? Hana jina lake?
Mwanaume mzima na mke na watoto anakuambia 'mama anakuita'. Namuuliza mamako ananijua mie? Kha!

Lack of proffessionalism. Kuna siku tulienda business dinner nyumbani kwa CEO na wageni flani. Kidogo nizimie kumuona immediate boss wangu mwanaume kanyanyuka na bakuli. Ati anamsaidia mama mwenye nyumba kutoa vyombo. Khaaaa!
yan shost mi ni muumini kweli wa heshima ya kibantu!
wen it comes ni swala la kiofisi na kitaaluma!
nakutreat kulingana na cheo chao!wewe ni bosi wangu i will bossy yu!,kitaaluma!jus snowhite king'asti stuff!
wa chini yangu nawe pia fanya inakustahili!
haya maswala ya kupigiana magoti unampa glass of wine mkurungenzi kwenye cocktail haya ,ndo mwanzo wa kuanza kukuimagine ukiwa chumbani unakuwaje!
like hilo goti likijikunja zaidi unakuwa na lenz gani,mbinuko mbonyeo!ahahahahhaa
ila kimsingi sipigi goti kazini,siiti mtu mama/baba!sasa ya goodmorning na goti la kingoni wapi na wapi!
 
Mkuu Pasco nimeielewa dhana yako. Lakini lazima tukubali umri nao unazingatiwa. Mathalan, mie kaka yangu amemuoa mke ambaye kiumri ni mdogo kwa mke wangu......Nimpe shikamoo kwakuwa tu kaolewa na kaka yangu??? Hapana asee!!

Tuchukulie kwa mfano mke wa mwisho wa Mfalme Mswati wa Swazilandi, kwa sababu ya cheo chake tu Balozi wetu mwenye miaka zaidi ya 50 ampe shikamoo huyo kigori wa miaka 19 kwa kuwa tu ni mke wa mfalme???

Heshima lazima ichukue mkondo wake lakini nidhamu ya woga ni mbaya sana. Dr. Batilda hata kama anavaa ushungi tangu azaliwe kachemka!!

Samahani sana, mie mtu mpaka akamate shikamoo yangu, hii salamu shenzi ya kitumwa, ni lazima nijithibitishie pasipo shaka kuwa kanizidi si chini ya miaka kumi.
Mkuu Asprin, mke wa kaka, ukiamua kumpa shikamoo, labda kwa ajili tuu ya caveat ya heshima ya kishemeji shemeji!, ili kuweka kinga "usimpitie!", na hata shemeji akikugaiya, kumlia kaka sio dhambi huko ni kumsaidia tuu!.

Sisi kwetu tumezaliwa 8!, madogo waliniamkia shikamoo wakati wakiwa wadogo, sasa they are big, na ndo zao, shikamoo imekwisha imebaki vipi bro!. Hivyo uko right kutomuamkia huyo mke wa kaka yako!, lakini kama mwanamke huyo huyo, hata akiwa ni mdogo vipi, akiolewa na baba yako, anageuka ni mama yako na kumwamkia shikamoo ni wajibu, hata kama kimo moyo humuheshimu!, na "ukimptia" ni laana!, hata kama atajilengesha mwenyewe kama yule mke wa potifa kwa Yusufu!.

Nawaombeni ichukulieni shikamoo kama gesture ya kuonyesha heshima!, ni kama watu wana bow down kwa Queen au mkubwa yoyote!. Ruto ni Makamo wa rais!, anastahili kabisa shikamoo ile as gesture ya heshima na kwa vile Dr Burian ni mtu wa heshima sana, anaheshimu kila mtu, wakubwa kwa wadogo, masikini kwa matajiri, na anajiheshimu sana, then shikamoo ile ni halali, ya haki na wajibu!.
Pasco.
 
Hahaha. Ugomvi wangu kila siku na watu ofisini, unamuitaje boss wako mama? Kakuzaa? Hana jina lake?
Mwanaume mzima na mke na watoto anakuambia 'mama anakuita'. Namuuliza mamako ananijua mie? Kha!

Lack of proffessionalism. Kuna siku tulienda business dinner nyumbani kwa CEO na wageni flani. Kidogo nizimie kumuona immediate boss wangu mwanaume kanyanyuka na bakuli. Ati anamsaidia mama mwenye nyumba kutoa vyombo. Khaaaa!

Imeandikwa mtumikie kafiri upate ujira wako.
 
Mkuu Rufiji, shikamoo ile ni ile ya heshima kitu cha bure, na sio ya inferiority complex!. Hatuwafanyi wanawake kuwa inferior, but that its used to be!, Mimi nimesoma na wife wangu, class moja chuo, tena mimi ndiye nilyemsaidia akapass, tukaona kidini na kisha sherehe ya kimila, aliniletea chakula kwa kutembea kwa magoti, na kuelezwa wazi, kuniamkia shikamoo ni wajibu wake!. Tukahamia US, yeye akatangulia kufanya masters, akapata kazi nzuri, mimi nikawa kama house husband!, shikamoo iliisha, ikafikia mimi sasa ndio natumwa!, yeye akirudi amechoka!. Kwa makabila mengine kama sisi wa Kanda ya Ziwa, "we can't stand that!, nilijirudia zangu bongo kuyendelea na maisha yangu ya kimasikini, but happy!.

Kuna mambo ya kizungu yametuharibia sana familia zetu!, heshima za kiasili za kiafrika, zimedumisha sana ndoa za kiafrika!. Mwanaume hata uchelewe vipi, uchelewe wapi, ukifika nyumbani kwanza unapewa pole!, kisha unaakiwa!, hata kama mtatumia shower, unaambiwa maji ya kuoga tayari yako bafuni, na chakula kiko mezani na ukashakula ndipo unapewa na kile kingine!. Hali kama hii ndoa zingevunjika kweli!.

Wanawake wote mliomo humu, waamkieni waume zenu!, sio lazima kwa shikamoo, hata hello, hata darling, hi!, mambo etc, ila shikamoo ni kwa yoyote aliyekuzidi umri, cheo au mamlaka!. Mfano mzuri ni mahakamani, hata hakimu awe mdogo vipi, akiingia, wote mtasisimama!, mta bow down, atakaa na nyinyi ndio mtakaa, na Advocate hata awe 60 na hakimu ni 20!, huyu mzee wa 60 atam address hakimu as "your loardship!", neno shikamoo sio issue issue hapa ni heshima!
Dr. Batilda Salha Burian ana heshima!. Na amini usiamini, mwanamke ukifanya heshima, hata "kule" mtu akipita!, kunakuwa na heshima fulani!, ukishamaliza, unapata sense fulani ya "gratification" ya kiheshima fulani!, mwanamke asipokuwa na heshima, ukipita "kule", ukimaliza, unajisikia nothing kama tunavyowapitiaga wale wa "kona bar!". Mwana ukiheshimu, heshima inakurudia, ndio maana kwa Mama Burian....wee acha tuu!, "mtu alivuliwaga ubunge kwa kumtukana huyu mama!, mambo mengine bora tuache tuu!,
heshima mbele!.
Pasco.
Pasco.
ahahahhaah watu huwa hawakuelewi Pasco
hawakuelewi tu!
ila mi nimekuelewa sana!
mno!
santeeee!heshima mbele sio!
chezeya watu na malemba yao?utaukosa ubunge bana!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Asprin, mke wa kaka, ukiamua kumpa shikamoo, labda kwa ajili tuu ya caveat ya heshima ya kishemeji shemeji!, ili kuweka kinga "usimpitie!", na hata shemeji akikugaiya, kumlia kaka sio dhambi huko ni kumsaidia tuu!.

Sisi kwetu tumezaliwa 8!, madogo waliniamkia shikamoo wakati wakiwa wadogo, sasa they are big, na ndo zao, shikamoo imekwisha imebaki vipi bro!. Hivyo uko right kutomuamkia huyo mke wa kaka yako!, lakini kama mwanamke huyo huyo, hata akiwa ni mdogo vipi, akiolewa na baba yako, anageuka ni mama yako na kumwamkia shikamoo ni wajibu, hata kama kimo moyo humuheshimu!, na "ukimptia" ni laana!, hata kama atajilengesha mwenyewe kama yule mke wa potifa kwa Yusufu!.

Nawaombeni ichukulieni shikamoo kama gesture ya kuonyesha heshima!, ni kama watu wana bow down kwa Queen au mkubwa yoyote!. Ruto ni Makamo wa rais!, anastahili kabisa shikamoo ile as gesture ya heshima na kwa vile Dr Burian ni mtu wa heshima sana, anaheshimu kila mtu, wakubwa kwa wadogo, masikini kwa matajiri, na anajiheshimu sana, then shikamoo ile ni halali, ya haki na wajibu!.
Pasco.
santeeeeeee!
 
Kujikomba tu,hakuna sababu yeyote.
 
No sio dharau, bali ni kutokana na ile traditional position ya mwanamke katika "yale" siku zote huwa chini!, hii mitindo ya kisasa ya wao kuja juu ni katika manjonjo tuu!, ndio maana hata Mungu, ameiweka pale chini!, katika uumbaji, angeweza tuu kuiweka pale kwenye kitovu, ili "somo" lifanyike while standing on equal basis!, lakini kaiweka pale, ili mmoja awe juu na mwingine awe chini!.
Hapa nazungumzia tuu position!, ndio maana kwa makabila mengine, hata mtoto wa kiume anakazwa kulia lia kama mwanamke, tena ukiambia usiwe kama mwanamke, kwa wengine ni umetukanwa!.

Ni ukweli ki baolojia mwanamme na mwanamke tuko sawa, ila Mungu alianza kwanza kumuumba Adamu, Eve aliumbwa tuu ili kumtumikia Adamu, hivyo hao wanawake tumeumbiwa sisi, watutumikie!.
Pasco.

Unajitahidi sana kuonesha ni sahihi kwa kutumia fikra zako...bila kujua ni kwa nini huyu mama aliamkia....pengine yeye kila akikutana na mtu ni kawaida yake kuamkia....wapo watu wa hivyo!
Lakini sio kulazimisha hili....
 
Bora Batilda. Nilisikitishwa sana na mkuu wetu wa nchi kwa kuonyesha dhahiri kabisa kuwa anajipendekeza kwa Ruto na familia yake. Alijishusha mno.
 
Batilda ana mwakilisha Rais kulingangana na mambo ya kidiplomasia...
Sasa kwa kusema yeye amwamkie Rutto kwa sababu ni makamu wa Kenya...this does not sound diplomatically!
Batilda ni RAIS..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom