Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

Mkuu Kimbunga,

Umeanza fujo zako kuna kipindi nilikuwa Mwanza maeneo ya Nyakagwe niliamkiwa na mwanamke mkubwa mpaka nikashangaa.
Pengine huyo mwanamke alikusalimia kwa kukuogopa wewe fisadi la kutisha. Kiama chako ni 2015.
 
Last edited by a moderator:
North rift shikamoo haina mshiko huko ni chamgei boyo au iyamunee kwa kwenda mbele.
 
Shikamoo ngapi tunapewa na wadogo zetu magamba pindi wakituomba kura katika chaguzi. Sishangai ya batilda, wameshazoea
 
batlida atakuwa na damu ya kichaga kwani mchaga ukiwa na hela hashindwi kukusalimia shikamoo mtotooo
 
Baada ya uchaguzi 2010 uyu Batilda akikutana na Godbless Lema anamsalima 'shikamoo mzee'

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Haaha..!haa! Baadhi ya Wazee wa kichagga walikuwa wanasema shikamoo mwanangu, nishashuhudia huko marangu.

Yah,inawezekana kipindi cha nyuma but siku hizi sidhani.Wazee wenyewe ndio hawa wenye kupenda heshima ni rahisi kweli kutoa shikamoo?
 
Marahaba Shemeji, wajionaje na hali?......itabidi tuanzishe chama cha kutetea haki za wachagga maana tunashambuliwa sana na watu kama kina Kimbunga.
mi mzima shemeji!ila umemisika sana!lol!
kwa kweli kuhusu chama cha kutetea wachagga mi nitakuwa mwanachama hai tena kama sio namba moja sijui!
nina hisa na hawa watu bana!af watu wanawasema sana
nakasirikga mimi!
cc Nicas Mtei. gfsonwin, Asprin, na wengine wooote wenye mapenzi mema!
 
Last edited by a moderator:
Hayo ndio matokeo ya kupeana nyadhifa na teuzi vya upendeleo (bila kujali wala kuzingatia uwezo na sifa za mhusika). Wako viongozi wengi tu serikali dezaini ya hao "Shikamoo Mzee" huku 'wakipwaya' katika nyazifa zao na kushindwa ku-deliver katika maeneo yao ya kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom