kwakweli hata kama ni heshima this is too much! Mdogo wako umpe shikamoo?Bila kumung'unya maneno hiyo inaitwa NIDHAMU YA UOGA.Ni utumwa wa kifikra tu ndio uliomsukuma huyo mama kufanya hivyo, huku ukichangiwa zaidi na unafk wa mfumo wa chama chake.
Batilda na Ruto wamepishana mwaka mmoja, ingawa Batilda ni mkubwa, ila kwa heshima ya kiafrika, Mwanamke ataamkia shikamoo kwa mtu yoyote alkiyemzidi umri au cheo!, hivyo Dr. Batild did the right thing kumwamkia Ruto Shikamoo!.Hata ikitokea mke ni mkubwa kuliko mume, bado atamwamkia shikamoo kicheo cha ndoa tuu!. Mimi nina baba zangu wadogo, nawaamkia wake zao shikamoo, huku nimewazidi umri kwa hoja mke wa baba ni mama yako, regardless ana umri gani!.Siku ukipata fursa, hudhuria ziara yoyote ya JK, sikilizia shikamoo anazozipata kwa watu ambao kwa macho tuu utawajua wamemzidi umri!, shikamoo hizo ni za heshima kwa mkuu wa nchi, na sio za umri!.Dr. Batilda ni mama wa heshima sana ya kiafrika na kidini, sikumbuki kuwahi kumuona bila hijab!, mimi ni wa late 60's, nilipokutana nae kwa mara ya kwanza, sikumwamkia nikimdhania ni wa 70's, alikuwa na mwalimu wangu fulani wa Tambaza tukimwita Miss Juma!, ndipo mwalimu akaniambia "nyie watoto siku hizi mnajidai mmekuwa, mwamkie huyu shikamoo, huyo ni mama yako!, nilipigundua ni wa early 60's sasa ndio natoa shikamoo ya heshima ya umri!.NB!, Shikamoo ni salam ya kitumwa ikimaanisha niko chini ya miguu yako!. Wakoloni Waarabu nao wametifanya vibaya, kama valivyotufanya wazungu na kasumba ya kizungu!.Na wenzetu wa KENYA Shikamoo mwisho Voi kutokea Mombasa.
Kama wenye dhamana HAWAJIGUSI sisi ni nani? Hebu tuache TUPUNGUZE STRESS ZETU HAPA! (kobe weee "joke!")SHIKAMOO ZENU.! naona mnatokwa na mapovu tu kuijadili shikamoo ya kisiasa. Fanyeni michango yenu kwenye suala muhimu la afya, shule, maji makazi bora tuachane na stori za shikamoo ya siasa.wekeni michango yenu tuinue mazuri kwa faidaya vizazi vyetu.
Ni kawaida dada kumwamkia kaka hujui Jubilee ni sehemu ya Ccm?
kuhusu huyo Batilda sijui but hapo kwenye mzee kumwambia mtoto shikamoo NAKATAA.Nimeishi moshi muda mrefu but ndio naona hiki kitu kwako.
Pasco, mmmh. Batlida ni Baloz
wa tz kenya, chochote afanyacho kenya na hasa katika diplomatic table
kama hilo la kuonana na ruto imply tz yote imefanya. Najua unampeeenda
yule mama, but tendea haki fikra je NI SAHIHI TZ YOOTE KUMPA SHKAMOO
RUTO? or ni failure katika diplomatic communication and statutory
behaviours?
Au waona sawa tu balazi wetu na wengini sitawataja kupetiwa mgongoni na
mkuu fulan wa nchi na kuambiwa GOOD BOY,, GOOD LADY... Hapana
Pasco
Daah! Sijui ndo kukosa kujiamini ama ni nini. nilikuwa naangalia KTN TV taarifa ya habari ya saa 3 usiku leo (4/4/2013) wakati Mhe. Dr. Baloz Batilda akimpa mkono Naibu Raisi wa Kenya Mhe. Ruto akaangusha na Shikamoo daah! nilichoka hivi kweli Batilda ni wa kumpa Shikamoo Ruto? au ndo confidence ilipotea kabisa. Mama jiamini wewe Dr wa PhD unaogopa namna hiyo??
Update:
Sote tunaamkia watu watatu.1:Tunamwamkia unayempenda. 2: Tunamwamkia tunayemhofu na 3: Tunamwamkia tunayempenda.
Sasa kwa dada yetu kumpa shikamoo bwana Ruto lazima yuko katika moja ya sababu hizi tatu. Kwa hiyo alifanya vizuri.
Hahaha. Ugomvi wangu kila siku na watu ofisini, unamuitaje boss wako mama? Kakuzaa? Hana jina lake?
Mwanaume mzima na mke na watoto anakuambia 'mama anakuita'. Namuuliza mamako ananijua mie? Kha!
Lack of proffessionalism. Kuna siku tulienda business dinner nyumbani kwa CEO na wageni flani. Kidogo nizimie kumuona immediate boss wangu mwanaume kanyanyuka na bakuli. Ati anamsaidia mama mwenye nyumba kutoa vyombo. Khaaaa!
Daah! Sijui ndo kukosa kujiamini ama ni nini. nilikuwa naangalia KTN TV taarifa ya habari ya saa 3 usiku leo (4/4/2013) wakati Mhe. Dr. Baloz Batilda akimpa mkono Naibu Raisi wa Kenya Mhe. Ruto akaangusha na Shikamoo daah! nilichoka hivi kweli Batilda ni wa kumpa Shikamoo Ruto? au ndo confidence ilipotea kabisa. Mama jiamini wewe Dr wa PhD unaogopa namna hiyo??
Update:
Daah! Sijui ndo kukosa kujiamini ama ni nini. nilikuwa naangalia KTN TV taarifa ya habari ya saa 3 usiku leo (4/4/2013) wakati Mhe. Dr. Baloz Batilda akimpa mkono Naibu Raisi wa Kenya Mhe. Ruto akaangusha na Shikamoo daah! nilichoka hivi kweli Batilda ni wa kumpa Shikamoo Ruto? au ndo confidence ilipotea kabisa. Mama jiamini wewe Dr wa PhD unaogopa namna hiyo??
Update:
Batilda na Ruto wamepishana mwaka mmoja, ingawa Batilda ni mkubwa, ila kwa heshima ya kiafrika, Mwanamke ataamkia shikamoo kwa mtu yoyote alkiyemzidi umri au cheo!, hivyo Dr. Batild did the right thing kumwamkia Ruto Shikamoo!.Hata ikitokea mke ni mkubwa kuliko mume, bado atamwamkia shikamoo kicheo cha ndoa tuu!. Mimi nina baba zangu wadogo, nawaamkia wake zao shikamoo, huku nimewazidi umri kwa hoja mke wa baba ni mama yako, regardless ana umri gani!.Siku ukipata fursa, hudhuria ziara yoyote ya JK, sikilizia shikamoo anazozipata kwa watu ambao kwa macho tuu utawajua wamemzidi umri!, shikamoo hizo ni za heshima kwa mkuu wa nchi, na sio za umri!.Dr. Batilda ni mama wa heshima sana ya kiafrika na kidini, sikumbuki kuwahi kumuona bila hijab!, mimi ni wa late 60's, nilipokutana nae kwa mara ya kwanza, sikumwamkia nikimdhania ni wa 70's, alikuwa na mwalimu wangu fulani wa Tambaza tukimwita Miss Juma!, ndipo mwalimu akaniambia "nyie watoto siku hizi mnajidai mmekuwa, mwamkie huyu shikamoo, huyo ni mama yako!, nilipigundua ni wa early 60's sasa ndio natoa shikamoo ya heshima ya umri!.NB!, Shikamoo ni salam ya kitumwa ikimaanisha niko chini ya miguu yako!. Wakoloni Waarabu nao wametifanya vibaya, kama valivyotufanya wazungu na kasumba ya kizungu!.Na wenzetu wa KENYA Shikamoo mwisho Voi kutokea Mombasa.
Hapo kwenye red .................. naomba usifanye justification ............ JE ALIPOKUWA ANAKAA PALE MAGOROFANI - TABATA NA YULE MKAKA ALIYEMTOSA NA AKAHAMA ........... MBONA ALIKUWA HAVAI HIYO HIJAB??? MBONA ALIKUWA ANAPIGA PAMBA NA WA-WIG KWA SANA????? au sio yeye jamani??? CHEZEA ???????????😛eep: