Dr. Asha Rose Migiro: The next president?

Dr. Asha Rose Migiro: The next president?

huyu mamahhafai hata bure.hana tofauti na huyu aliyepo madarakani...ovyo kabisa dawati la UN huwezi linganisha na nchi....hafai

Du...you don't know half this woman. Huyu Mama ni injini ya uendeshaji na menejimenti pale UN, nguzo kuu ya KM wa Umoja wa Mataifa..

Msemeni yooooote, lakini jambo moja ni dhahiri, Dr Migiro ni Kati ya viongozi makini sana ambao taifa letu limejaaliwa. Unlike many politicians we know and adore, she is not a populist leader, she is Conscientious with high level of integrity, reliability and tenacity. Kwa waliofanya naye kazi wizara ya Maendeleo ya Jamii na Foreign wanaweza ku testify hayo ninayoyasema.....wababaishaji wengi, wenye kupenda kufanya kazi kwa mazoea ( lazy fare and business as usual attitude) walimchukia sku zote kwasababu hana uvumilivu na element hizo.....kwenye administration yake mediocrity haina

@Salaam, inawezekana kabisa huyu mama ni mtu mzuri na mwenye sifa zote hizo ulizotaja. Lakini hebu soma tena hapo kwenye red- straight from the space would you say? Sasa hivi Tanzania inahitaji one big law abiding dictator - period! Mambo ya conscientious na tenacity ni ya huko huko UN. Hapa ni mwendo wa maamuzi magumu tu. Na kwa maana hiyo basi, sikumbuki ni lini na kwa jambo gani huyu mama alifanya watanzania wakaona ah- ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu. Labda utukumbushe maana unaonekana kumjua kwa ukaribu.

kwa kifupi ni kwamba huyu mama hafai kuwa mkuu wa nchi......

Katiba ya sasa inasema kuwa mtu tu qualify kuwa mgombeA URAIS WA URT ni LAZIMA awe ameishi NDANI YA Tanzania kwa miaka mitano mfululizo kabla ya siku ya Uchaguzi. By 2015 huyu Mama hatakuwa ametimiza kigezo hiki hata kama akirudi nyumbani September 2011. Labda Katiba ibadilishwe ili kuondoa kifungu hiki. Mwaka 1995 Salim A. Salim hakuweza kusimama kwa sababu alikuwa aki-serve as OAU SG toka late 1980s. Kwa hiyo sasa hivi constitutionaly huyu Mama hawezi kutimiza vigezo vya kuwa Mgombea halali hapo 2015. Hivyo tusipoteze muda ku-discuss issues which have little possibility ya kuwa achieved/occuring.

Kabla sijasoma hata posts za wadau wengine humu ndani,, nataka tu niseme kwamba kama CCM WAKIMSIMAMISHA HUYU MAMA, basi Dr. Slaa njia nyeupe kabisa. Yaani bora ya Lowassa kuliko huyu,, TZ hii si nchi ya kuongozwa na mwanamke,, tumeshafika mahali pa kumtafuta dikteta awe kiongozi wetu,, huyu mama anaweza kuwa mzuri lakini si kwa wakati huu. Labda wampe uwaziri mkuu

Namkubali huyu mama awe Rais. Uzoefu wake ktk masuala ya Kimataifa yataweza kulisaidia sana hili Taifa changa.

Hakuchagulii mtu maneno ya kutumia, lakini haki ile ile inayokuruhusu wewe kusema utakacho iwe tusi au si tusi, ndio ile ile inayoniruhusu mimi kutathmini na kusema kuwa ni tusi, udhalilishaji au vyenginevyo

Kwa hiyo endelea na uhuru huo nami naendelea na wangu, haijalishi kama itaonekana ni kujishusha, kwa kuwa naamini huwezi kujishusha zaidi ya kisingizio cha Utanzania kuhalalisha dharau au tusi
Hakuna haki ya kutathimini maneno ya mtu mwingine tathmini maneno yako mwenyewe unless yanakuhusu wewe au omba ufafanuliwe. Mkuu unasoma ujumbe gani nawakilisha au unachunguza Mkandara kasema kitu gani na kutafuta makosa!..Tukubaliane kutokubaliana.. Nimesema Macho madogo.. nawe umeona labda ni tusi na kudhalilisha, sasa nambie nikisema macho makubwa ndio inakuwa sifa au? Na nani alotathinisha udhalilishaji huo! Acha tabia ya kujisikia mdogo mkuu wangu tuzame ktk mada ilotuleta hapa...

Hakuna haki ya kutathimini maneno ya mtu mwingine tathmini maneno yako mwenyewe unless yanakuhusu wewe au omba ufafanuliwe. Mkuu unasoma ujumbe gani nawakilisha au unachunguza Mkandara kasema kitu gani na kutafuta makosa!..Tukubaliane kutokubaliana.. Nimesema Macho madogo.. nawe umeona labda ni tusi na kudhalilisha, sasa nambie nikisema macho makubwa ndio inakuwa sifa au? Na nani alotathinisha udhalilishaji huo! Acha tabia ya kujisikia mdogo mkuu wangu tuzame ktk mada ilotuleta hapa...

Which ever way you look at this, the fact remains that referring to a person as "macho madogo" is uncalled for, unjustifiable and gives a bad precedent to others.

But still nobody can stop another from kujisikia mkubwa and refer to others as "machogo", "pua fyandu", "madrasatul sul", "ngozi nyeusi", "mpingo",

Tukubaliane kutokubaliana

.. kama wewe hujadili majina na titles za watu! inshangaza kuona huna dalili hata chembe ya hatari inayoinyemelea tanzania! ungejua wala akili isingekutuma kuuliza habari za migiro na urais hapa!!

wewe inaelekea umenyonya mpaka miaka saba, maana una fikra duni na za kipuuzi. nilichoweka ni tetesi aka rumours, na hiyo hatari inayoinyemelea tanzania ni ipi, kama njaa ipo, magonjwa yapo, viongozi kama wewe wapo..cant get worse than this..

hapo nimejadili title na majina gani???

Mambo ya funika kombe mwanaharamu apite yamekwisha, habari za mama wa ccm hapa hayana nafasi. Tumechoshwa na uongozi wa ccm. 2015 tuweke uongozi mwingine kwa chama kingine chenye nguvu ya umma. Tushirikiane ili tuweze fikiria kwa kutumia ubongo.

Nimepitia post ya Majasho na michango ya members, kwa hakika nimefurahishwa na waunga mkono hoja wengi wao wakikiri kwamba miaka 50 ya uhuru hatujafanikiwa lolote kupitia uongozi wa wanaume!

Ukweli ni kwamba mafanikio tuliyoyafikia lukilinganisha na muda tuliotumia kuyapata ni sawa na sifuri, lakini je ni kweli sababu kubwa ni utawala wa viongozi wanaume kama wachangiaji wengi wanao muunga mkono Rose ambao kwahakika wengi wao ni ccm? Hapa kuna tatizo kwa waunga mkono hoja la kufumbia macho kiini cha tatizo, tatizo kubwa linalotukabili kitaifa ni mfumo wa kiutawala ulioundwa na ccm kwahiyo hata atawale nani (mwanamke au mwanaume) toka ccm bila kubadili mfumo bado hatakuwa na tija yoyote zaidi ya kulididimiza taifa letu.

Ili tutoke hapa tulipo watanzania hatuna budi kubadili mfumo mzima wa kiutawala kuanzia katiba ya nchi, utendaji wetu na mitazamo tuliyonayo, na haya ndio mageuzi tunayoyapigania na kwakuwa hili limeshindikana kupitia ccm mageuzi ya dhati yataletwa na wanamageuzi waliojipambanua kwa vitendo na si wengine bali ni CHADEMA

any way tuacheni kupiga kampen mda bado!ila kwa hakika watanzani wanahitaji elimu ya uraia.hasa daresalam ambako kuna wabunge wawili tu,Mdee & Mnyika na ni mjini bush vipi???

c ndo maana akaitwa asha! Alibadili dini na kumfuata mumewe

asha hajabadili dini, walifunga ndoa ya serikalini, yeye anaitwa Asha rose shabani mtembei.

Kabla sijasoma hata posts za wadau wengine humu ndani,, nataka tu niseme kwamba kama CCM WAKIMSIMAMISHA HUYU MAMA, basi Dr. Slaa njia nyeupe kabisa. Yaani bora ya Lowassa kuliko huyu,, TZ hii si nchi ya kuongozwa na mwanamke,, tumeshafika mahali pa kumtafuta dikteta awe kiongozi wetu,, huyu mama anaweza kuwa mzuri lakini si kwa wakati huu. Labda wampe uwaziri mkuu

niko tayari kumpigia kura kichaa mtikila kuliko huyu mama

any way tuacheni kupiga kampen mda bado!ila kwa hakika watanzani wanahitaji elimu ya uraia.hasa daresalam ambako kuna wabunge wawili tu,Mdee & Mnyika na ni mjini bush vipi???
kinachmfanya kila siku aje bongo ni nini?
mbona hatoi comment hata kidogo kuhusu hali ya mambo bongo bali kufunda watoto na mambo ya kisosho spsho tu

Tetesi hizo zinatiliwa utambi na kinachoonekana wazi kwamba huenda sasa muda umefika kwa Tanzania kupata Rais mwanamke kwani upande wa kiumeni umeonyesha ulichoweza kwa miaka takribani 50 sasa tangu Uhuru.

If this is true then CHADEMMA kwishneei 2015

Kwani Chadema hawana mwanamke wa kupambana na Migiro?

Asha Rose au kwa jina lingine Mama Twalane au Mama Tunu ni muislamu,amefundisha chuokikuu so tuliosoma pale miaka kadhaa tunamfahamu sana, kwanza alikuwaga anakuja kusuka nywele kwenye salon moja pale Hall 3 UDSM, ni mtu makini sana na mwenye akili nyingi sana, but urais BADOOOO SANAAA

Sio kawaida yetu kubandika hapa mambo ambayo ni tetesi.Leo naomba iwe siku tofauti kwani zipo tetesi zingine ambazo zinakuwa “interesting” kupita kiasi…at least kwetu.Kuna tetesi kwamba Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dr. Asha Rose Migiro,huenda akajitupa katika kinyang’anyiro cha kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka 2015.

Tetesi hizo zinatiliwa utambi na kinachoonekana wazi kwamba huenda sasa muda umefika kwa Tanzania kupata Rais mwanamke kwani upande wa kiumeni umeonyesha ulichoweza kwa miaka takribani 50 sasa tangu Uhuru.

If this is true then CHADEMMA kwishneei 2015

Unajua kilichomtoa UN?
Unajua Makinda kaboronga kiasi gani kwenye Uspika?
Waombaji zaidi ya 30 unadhani hiyo chama ndani yake kuna watu/viongozi kweli ?.

''Ikulu ni mahali patakatifu''JK Nyerere

Mtu yeyote makini hawezi kuweka jina lake kwenye kinyanga'nyiro ya kundi la watu 30
chini ya Chama kilichoshindwa kusimamimia kanuni yake ya uendeshaji na ndiyo maana kila mmoja anadandia kadri awezavyo.

Jamaa huyu maaamaaaaa mzigooooo...!!!

UN ikikutema ujue ur poorly performer...!!!

Hawezi kazi hata kidogo...!!! Tuacheni utani jamani na Urais....uanawake ndio sifa ya kuwa rais...!!? ptuuuhh..!!!

Lowassa ndio kila kitu kwa sasa...huu utani sasa Mama Migiro...!? 👎👎👎👌

Back
Top Bottom