Mtake msitake, hii nchi kupngozwa ma mwanamke BADO sana. Yaani BADO! Hamna bifu hapa, ila masuala nyeti hawa viumbe hawawezi.
Migiro anappteza muda.
Rais wa kwanza kwa kike hapa Tz bibi ma babu zake bado hawajazaliwa.
Sio kawaida yetu kubandika hapa mambo ambayo ni tetesi.Leo naomba iwe siku tofauti kwani zipo tetesi zingine ambazo zinakuwa âinterestingâ kupita kiasiâ¦at least kwetu.Kuna tetesi kwamba Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dr. Asha Rose Migiro,huenda akajitupa katika kinyangâanyiro cha kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka 2015.
Tetesi hizo zinatiliwa utambi na kinachoonekana wazi kwamba huenda sasa muda umefika kwa Tanzania kupata Rais mwanamke kwani upande wa kiumeni umeonyesha ulichoweza kwa miaka takribani 50 sasa tangu Uhuru.
If this is true then CHADEMMA kwishneei 2015
Sio kawaida yetu kubandika hapa mambo ambayo ni tetesi. Leo naomba iwe siku tofauti kwani zipo tetesi zingine ambazo zinakuwa interesting kupita kiasi at least kwetu. Kuna tetesi kwamba Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dr. Asha Rose Migiro huenda akajitupa katika kinyanganyiro cha kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka 2015.
Tetesi hizo zinatiliwa utambi na kinachoonekana wazi kwamba huenda sasa muda umefika kwa Tanzania kupata Rais mwanamke kwani upande wa kiumeni umeonyesha ulichoweza kwa miaka takribani 50 sasa tangu Uhuru.
If this is true then CHADEMA kwishneei 2015