DPP mpya Slyvester Mwakitalu ni muumini wa mamlaka ya DPP kunyima watu dhamana, atabadilika?

Wapewe utaratibu wa kuwashughulikia kupitia sheria ya bunge. Huwa tunasikia na Tunaona FBI wakiwapeleka wahalifu mahakamani, mbona hatuoni TISS wakiwapeleka wahalifu mahakamani??
FBI tawi/sehemu ya Polisi lakini TISS sio Polisi
 
Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana.

Je alifanya akiamini kwamba mamlaka hiyo ipo sawa au alifanya kwa sababu ni ajira? Je tutegemee utashi wake au ataendelea kufanya kazi kwa kuangalia waliomteua wanataka nn Kama alivyofanya Biswalo?

Lakini kwa utendaji wake tunategemea kuna ubunifu na usukaji wa ofisi yake utafanyika? Tusubiri aanze kuicheza ngoma

Wewe mwenyewe unasemaje?
 
Kumbe unayafahamu hayo.Sasa wafanye kazi zinazowahusu, kazi za kipolisi zifanywe na polisi. Au ipitishwe sheria ya kuwapa mamlaka ya kufanya kazi za kipolisi pia. Nchi lazima iendeshwe kwa utawala wa sheria, vinginevyo inakuwa uwanja wa fujo tu ambao kila mtu anafanya lile anolifikiri ni sahihi na kwa maslahi ya taifa hata kama ni kinyume chake.
FBI tawi/sehemu ya Polisi lakini TISS sio Polisi
 
Chadema wanaingiaje hapa tena kama sio nyege mshindo ni nini?
Wewe mwenyewe unasemaje?
Mkuu unataka mama some uzi wako kisha atengue?
Ndg Beatrice ni Kamanda blueblooded. Alitaka DPP asaidiabe na Kibatala kuwapatia dhamana mahabusi. Ni pamoja na Ng'wanaBulaya (Msukuma) aluyeenda msibani Singida kwa ndugu zake (ni Wanyiramba), akazeleu kesi yake Kisitu (Dar-es-Salaam), badala yake akamtuma Mdhamini wake (Mshashi, wa Ikuzu) aende kuripoti kwa Hakimu Kisutu bahati mbaya akachelewa kesi akiwa chooni. Nji hii ina amani saaana sasa; asante kwa watu kama Biswalo na ole Sabaya, ujambazi ulikuwa umeanza kutamalaki. Kigoma vipi, nasikia mgombea wa CUF (kabila lake Nji jirani) katekwa lakini kawaponyoka watesi wake kininjaninja, kapiga picha magari yao kazituma Belgium? Nawasalimu wa jina la JMT.
 
Jifunze kuandika
 
Back
Top Bottom