DPP mpya Slyvester Mwakitalu ni muumini wa mamlaka ya DPP kunyima watu dhamana, atabadilika?

DPP Hawezi kunyima watu dhamana. Mamlaka hiyo iko kwenye mahakama na sheria zilizopitishwa bungeni.
 
Na mambo mengine mengi ni kwa ajili ya visasi, visa, chuki na maslahi ya wanasiasa watawala.
Mambo mengine ni ya mslahi ya Tanzania zaidi mkuu. Huko Marekani magaidi waliokubali kuwa recruited na kutumika kama double agents wa Al Qaeda walifutiwa mshikata na ofisi ya DPP wa Marekani na kuachiwa kwa kazi maalum kwenda nchi kama Jordan na Lebanon kupeleleza viongozi waandamizi wa makundi mengine ya kigaidi.

Ofisi kama hizo za DPP na AG zinafanya kazi kwa ukaribu mkubwa sana na vyombo vingine vya usalama hivyo msiwalaumu wanapotimiza wajibu wao unaoweza kuwakera nyie ila ni kwa maslahi ya taifa.

Kwa nchi kama Marekani, kuna wakati kunyima watu dhamana (Coercion) ni muhimu ili mtuhumiwa aweze kutoa ushirikiano kwa dola.
 
Russia ni madikteta ila kwa Marekani ni uongo mtupu unaosema. Huenda umedanganywa na movies au unachanganya na plea bargain ambayo Marekani ipo rasmi kisheria.
Kwa nchi kama Russia na Marekani ukikataa kuwa informer kwa FBI kwa njia ya kujitolea au kulipwa pesa itabidi watumie vitisho kama kupewa kesi za uongo ili ushirikiane na dola.
 
Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana.

Je alifanya akiamini kwamba mamlaka hiyo ipo sawa au alifanya kwa sababu ni ajira? Je tutegemee utashi wake au ataendelea kufanya kazi kwa kuangalia waliomteua wanataka nn Kama alivyofanya Biswalo?

Lakini kwa utendaji wake tunategemea kuna ubunifu na usukaji wa ofisi yake utafanyika? Tusubiri aanze kuicheza ngoma

Hamna kitu hapa cha haki/kutenda haki hapa, wote ni ma Idd Amin, nunda wala watu. Vichwa vya watu kwenye friji kama Idd Amin
 
Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana.

Je alifanya akiamini kwamba mamlaka hiyo ipo sawa au alifanya kwa sababu ni ajira? Je tutegemee utashi wake au ataendelea kufanya kazi kwa kuangalia waliomteua wanataka nn Kama alivyofanya Biswalo?

Lakini kwa utendaji wake tunategemea kuna ubunifu na usukaji wa ofisi yake utafanyika? Tusubiri aanze kuicheza ngoma

Mkuu unataka mama some uzi wako kisha atengue?
 
Mambo mengine ni ya mslahi ya Tanzania zaidi mkuu. Huko Marekani magaidi waliokubali kuwa recruited na kutumika kama double agents wa Al Qaeda walifutiwa mshikata na ofisi ya DPP wa Marekani na kuachiwa kwa kazi maalum kwenda nchi kama Jordan na Lebanon kupeleleza viongozi waandamizi wa makundi mengine ya kigaidi.

Ofisi kama hizo za DPP na AG zinafanya kazi kwa ukaribu mkubwa sana na vyombo vingine vya usalama hivyo msiwalaumu wanapotimiza wajibu wao unaoweza kuwakera nyie ila ni kwa maslahi ya taifa.

Kwa nchi kama Marekani, kuna wakati kunyima watu dhamana (Coercion) ni muhimu ili mtuhumiwa aweze kutoa ushirikiano kwa dola.
Makini sana
 
Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana.

Je alifanya akiamini kwamba mamlaka hiyo ipo sawa au alifanya kwa sababu ni ajira? Je tutegemee utashi wake au ataendelea kufanya kazi kwa kuangalia waliomteua wanataka nn Kama alivyofanya Biswalo?

Lakini kwa utendaji wake tunategemea kuna ubunifu na usukaji wa ofisi yake utafanyika? Tusubiri aanze kuicheza ngoma

Kwahiyo ulitaka DPP atoke nchini Kenya? Kuna uwezekano gani wa kumchagua DPP ambaye hakuwa kwenye mifumo ya kisheria ya Tanzania
 
Russia ni madikteta ila kwa Marekani ni uongo mtupu unaosema. Huenda umedanganywa na movies au unachanganya na plea bargain ambayo Marekani ipo rasmi kisheria.
CIA na FBI ni mafia wa kutisha ndio maana wanaitawala dunia.
 
Daktari akiiba dawa kazini kwake utaenda kununua kwenye duka la binafsi. Mtu anayekwa magereza kwa miaka halafu anakuja kuachiliwa baada ya DPP kujisikia kutokuendelea na kesi yake anafidiwaje??
Inaweza ikawa ni kwa asilimia ndogo sana kwa maana hata daktari huiba dawa kazini kwake (matumizi mabaya ya mamlaka)
 
Back
Top Bottom