ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,773
- 35,992
DPP nakuonya mno Kwa uzalendo wangu na ujuzi wangu kidogo kwenye mambo ya usalama
Kumezuka tabia ya kushitaki ovyo mahakamani haya makesi ya Uhaini na Ugaidi na kuutangaza kwenye media ili hali ni mambo ya Kisiasa na yapo wazi hivo
Haya matendo ni mabaya mno hakuna nchi inayataka hata kuyasikia
DPP hekima ukiongeze, najua unafanya hivi ili kuwafurahisha mafisadi na wahuni tu
Leo nimeona umepeleka majalada 145 ya kesi za uhaini na ugaidi, Kwa takwimu inasemekana Kuna kesi zaidi ya 200 za ugaidi.
Kwamba TANZANIA ina magaidi 200+
Yaani Leo unamshitaki mrembo Niffer kama gaidi? Hivi siku ukikutana na gaidi kweli itakuwaje
Ati Niffer ni mhaini, hivi Niffer Kwa akili ya kawaida anaweza kupindua serikali?
Mmeshitaki Lissu na Heche Kwa makosa kama hayo mkijua ni mambo ya Kisiasa tu
Hapa hao magaidi wanaweza wakatumia mwanya huo kuja kudhuru Watanganyika na kuwauwa na mkapata kesi za uhaini na ugaidi kweli sio hizi za kupika
Mnashindwa hata kumbambikia kesi zinazoendana kama Robbery
DPP acha huo mchezo wa kipumbavu
Usitumie siasa kucheza na masuala ya usalama wa TANZANIA
TANZANIA hapa ni nyumbani kwetu sote