Hakuna ubishi, wito wa Mh. Makamu wa Rais, Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, wa kuwahimiza watanzania kupigania katiba mpya, umepata mwitikio na hamasa kubwa kutoka kwa watanzania wote.
Kwa kuzingatia maoni mbalimbali yaliyotolewa, ni wazi kuwa tupo tunaomuona Dr. Nchimbi kama kiongozi wa mfano...
Kutokana na ongezeko kubwa la wimbi la ufunguaji wa kesi nyingi sana za Uhaini na Ugaidi hivi sasa nchini katika utawala huu uliopo, kuna kila sababu ya kuwa na mashaka makubwa juu ya intelijensia ya Jeshi la Polisi.
Huenda polisi wana weledi unaotia shaka kwa kuzichukulia kwa wepesi mno...
Mpaka sasa haijulikani Polepole alipo. Ametekwa au ameuwawa.
Haijulikana hata kijana ambae alikuwa hana impact yoyote kwenye siasa za Tanzania. Ambae inasadiki2a kuwa alitekwa baada ya kutoka gerezani. Kijana Shadrack Chaula.
Suala la msingi ni kuwa kuteka watu, kuua watu na kubambika watu...
Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kesi mbili (2) tofauti zinazowakabili vijana watatu (3) wanaodaiwa kuvunja, wizi na kukutwa na mali zinazodhaniwa kuwa ni za wizi zimetajwa leo Mahakamani hapo kwaajili ya kutolewa uamuzi
Hata hivyo uamuzi wa kesi zote umeshindwa...
Watu leo wakiasi uwezi kwenda kuwafungulia kesi za uhaini wakati wewe mwenyewe umewauwa ndugu zake wengi.
Wewe ndio muasi na yeye ni mtetezi na mpigania haki huwezi kushinda hiyo kesi lazima utaulizwa umeuwa watanzania wengi na kuteka hadi maiti kwa sheria gani ?
Mazishi ya aliyekuwa Wakili mtetezi wa watuhumiwa wa maandamano wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29 mwaka huu, Beatus Linda, yamefanyika jana katika makazi ya familia yao eneo la Nyamhongolo, Wilaya ya Ilemela, mkoani Mwanza.
Mazishi hayo yalitanguliwa na ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia ya...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kuutaarifu umma na kuvikumbusha vyombo vyote vya habari nchini, ikiwemo televisheni, redio, machapisho, mitandao ya kijamii, tovuti na majukwaa ya kidijitali, juu ya wajibu wao wa kufuata sheria na kanuni za mawasiliano katika kutoa habari kwa...
Kupewa kesi ya uhaini huko nchini Azabaijan ni jambo kawaida
Wahuni wamekuwa wakidukua sms za kawaida na chatting za Whatsapp,
Nawapa mbinu mpya za group letu
Mfano maneno
9D
Kutembelea
Sister p
00001
77777p
Mrembo p
3337j
S pq6 j 37
TLTq81m
🔥 TK
Yuf5d1
N K T 0
R V F y
W A Tj
💣 M 3 k 7
😹 N...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
Wakuu,
Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe, alizungumzia Sera zake na mambo atakayotimiza kwa wananchi ndani ya siku 100.
Soma GE2025 - Ahadi za...
Watoto wetu waliokua wanapambania kesho yao dhidi ya mfumo kandamizi mmewapa kesi za uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya gari ya kifahari sawa sisi tunaendelea kuona mwisho wenu utakuaje hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
Ungiangalia wengi ni vijana wadogo sana yani umri wao miaka 19 hadi 25 kihuhalisia bado ni wakijitafuta kwenye maisha na wengine pia walikuwa ni kufuata mkumbo wa kudai haki lakini athari zake hawakuzifahamu baadae kitatokea nini.
================
Mawakili wanaowatetea washtakiwa wa kesi za...
Wakili Maduhu Williams kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) amewaeleza Jumla ya watuhumiwa 641 wamefikishwa mahakamni kwa kesi za uhaini, unyang'anyi wa kutumia silaha na kufanya vurugu.
Katika Mkoa wa Dar es salaam kuna watuhumiwa 240 wamefikishwa mahakama ya Kisutu kwa...
DPP nakuonya mno Kwa uzalendo wangu na ujuzi wangu kidogo kwenye mambo ya usalama
Kumezuka tabia ya kushitaki ovyo mahakamani haya makesi ya Uhaini na Ugaidi na kuutangaza kwenye media ili hali ni mambo ya Kisiasa na yapo wazi hivo
Haya matendo ni mabaya mno hakuna nchi inayataka hata...
Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akipambana na kesi zake mahakamani ikiwamo ya uhaini, wapo pia wanasiasa wa upinzani Afrika walioonja joto ya jiwe kwa serikali wanazozipinga na hata wengine kutupwa jela.
Kesi ya Lissu imekuja wakati akiongoza kampeni ya No Reforms No Election (Hakuna...
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuingia madarakani mwaka 2021 na kuombwa sana na Wanachadema na makundi mbalimbali kwenye jamii kuhusu kufutiwa kesi ya Ugaidi iliyokuwa inamkabili Mh Freeman Mbowe na wenzake,kwa hekima kubwa na kulinda 4R's zake alifanya hivyo!
Kupitia kwa Mzee Jakaya Mrisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.