Na siku ikiwezekana fahamu znz cuf watakua wanaongoza nchiHmm...hilo sidhani kama linawezekana kwa Tanzania hii.
Na siku ikiwezekana fahamu znz cuf watakua wanaongoza nchiHmm...hilo sidhani kama linawezekana kwa Tanzania hii.
Yeah serikali ya awamu ya tano inajitaidi kuratibu mambo yake kisayansi stay tune!! Na nyie upande mwingine mshaurini MNYIKA atupe ushaidi wa ufisadi wa lowasa tunataka haki itendeke kote kote maana yeye ndiye aliyeitwa fisadi papaa hivoo tukimkamata papaa najua atatupatia na visamaki vyake!!Mkuu hili likipata jibu na kodi za wananchi wanyonge wasipolipishwa niletee kadi ya ccm. Umenichekesha kweli unaposema kisayansi, hivi majuzi nimemsikia mkuu fulani akitumia neno kama hilo lako eti la kisayansi kwamba janga la tetemeko huko bukoba litashughulikiwa kisayansi!!
Idara yake iko huru Kikatiba na Kisheria; hapaswi kumsubiri Magufuli kumuelekeza nini cha kufanya; afanye kile ambacho anajua ni kwa maslahi ya taifa. Kama anasubiri maelekezo toka "Ikulu" hapaswi kuendelea na wadhifa wake huo...Na kama anaona hana kitu chochote cha kufanya ni vizuri aseme wazi kuwa haoni namna yoyote ya kuwashughulikia wahalifu walioliingiza taifa kupitia ile kashfa ya Escrow...
Naona unatoa ahadi za kisiasa,suala kama la IPTL hapo utasema nini na hukumu ishatolewa,sasa utamfunga nani tena zaid ya kulipa deni tuSuala la kushugulikia mafisadi haiitaji haraka kama unavofikiria ni suala la kisayansi ambapo ushaidi wa kutosha unaandaliwa nakuaminisha hili ni suala Dogo kwa MAGUFULI stay tune!!!
Yeah serikali ya awamu ya tano inajitaidi kuratibu mambo yake kisayansi stay tune!! Na nyie upande mwingine mshaurini MNYIKA atupe ushaidi wa ufisadi wa lowasa tunataka haki itendeke kote kote maana yeye ndiye aliyeitwa fisadi papaa hivoo tukimkamata papaa najua atatupatia na visamaki vyake!!
Nimecheka sana hii mkuu@ The Boss kwenye Mpira wa Miguu inaitwa Pasi yakujitangulizia Jamaa anajua mtukufu anamwaga povu kwa mambo ambayo mengine hayana maana yoyote lkn kwenye hill anajua jamaa yake atajifanya kiziwi so kama kawaida yake amekuja kuweka uzio humu...Asante ndugu umefikiria mbali sana [emoji122] Adui yako ukimuombea NJAA utakuwa umemmaliza kabisaMbona Magufuli mambo mengi tu ambayo sio mamlaka yake kisheria ameyaingilia?
hili unataka kumsukumia lawama Dpp? unaogopa kumpa lawama Magufuli?
kweli tumbo si mchezo
Mtangoja sana mnaodhani mtukufu kuna cha maana atafanya...Mahakama ya fisadiz IPO majaji wapo ushasikia fisadi kapelekwa huko!Hapa ndio Mh.Magufuli anapaswa kuwaonyesha watanzania maskini kuwa ni kweli yupo kwa ajili yao.!
Kichekesho hichi ukizingatia kinatoka kwako... Unawajua waliobeba lumbesa ya hela toka Stanbic? waliwahi tajwa kokote? Kuna mtu mmoja tena swahiba wako alisikika akisema atawalinda watu fulani kwa nguvu zake zote. Go figure maana umekua msahaulifu sana tangu uingie magambani! pole braza![]()
Juu IPTL - Baada ya Tanesco kuamriwa kuilipa IPTL mabilioni ya shilingi kufuatia kushindwa kwake kesi mahakama ya Word Bank (usuluhishi wa Biashara), na kwa vile sote tunajua fedha zile za kwenye akaunti ya escrow hazikupaswa kulipwa mtu mwingine yeyote basi ni wakati wa DPP (Mkurugenzi wa Mashtaka) kuandaa mashtaka na kuagiza wahusika wote waliokuwa dili la escrow wakamatwe na wafikishwe mahakamani huku kumtaka Singasinga wa PAP kurudisha fedha zote alizopokea chini ya tishio la kufisiliwa mali zake zote hadi kulipa deni hilo...
DPP aangalie sheria zinamtaka afanye nini kuhakikisha kuwa Wananchi wa Tanzania hawalipi deni mara mbili sababu ya uzembe wa watu fulani serikalini... Waliochukua hela za mboga wote wazirudishe!
Idara yake iko huru Kikatiba na Kisheria; hapaswi kumsubiri Magufuli kumuelekeza nini cha kufanya; afanye kile ambacho anajua ni kwa maslahi ya taifa. Kama anasubiri maelekezo toka "Ikulu" hapaswi kuendelea na wadhifa wake huo...Na kama anaona hana kitu chochote cha kufanya ni vizuri aseme wazi kuwa haoni namna yoyote ya kuwashughulikia wahalifu walioliingiza taifa kupitia ile kashfa ya Escrow...
Ndio maana The Boss amemshtukia Mwanakijiji kwamba amekuja kuomba poo humu...Mfupa wa kumshinda Fisi, paka ataishia kuutazama tu, hata kuunusa hataweza sembuse kuulamba.
Hii kitu ni nzito mnoo kwa utawala wowote chini ya CCM, kwa hii issue kumnyoshea kidole DPP itakuwa ni jambo la kumwonea tu, ni sawa na kumtoa kafala tu.
Hii ngoma hata Ngosha haiwezi aisee. Wewe subiri uone kama hata kama anaweza kusema neno.
IPTL ni kina kirefu sana.
Suala la kushtakiwa kwa kutuhiwa mtu haijalishi inachukua mda gani! Mfano kuna MARAIS nchi za wenzetu wanashtakiwa baada ata ya miaka kumi kutoka madarakani mathalani tuuh amepatikana na hatia! Hivo tunamuomba MNYIKA au mwenye mawasiliano naye amuambie mahakama ya mafisadi imeanza kazi atusaidie ile ushaidi ata Mimi nitaipeleka sehemu inayousika!!!Aliposema mlikuwa wapi muda wote au kwakuwa alikuwa ni mwanaccm wakati huo? Sina muda wa kumtetea EL maana ni uzao wa huko huko kwenye hayo maEscrow. Ila tulichogundua wanaoshughulikiwa ni vidagaa tena kwa minajidili ya tofauti za kisiasa, kwenye hili la escrow ndio unafiki wenu utakuwa hadharani. Kwenye hili nakuambia ndio utajua zile propaganda mfu ulizokuwa unapiga hapa jukwaani ilikuwa ni kamata bwege.
Tanganyika ni rahisi sana kuwatawala...sababu mijitu mingi ni miPUNGUANI haijionei huruma Mafano mzuri kipindi cha Sukari majitu yalirukaruka...Mwisho wakaishia kununua Sukari elf 3 kutoka elf 1800 na Bado inashangilia[emoji16] [emoji16] [emoji16]Halafu anashangiliwa kuwa anatumbua majipu yaliyoshindikana.
Rahisi ndo nani?Rahisi kuchukua hatua kwa vidagaa
samaki wakubwa wanatisha
Suala la kushtakiwa kwa kutuhiwa mtu haijalishi inachukua mda gani! Mfano kuna MARAIS nchi za wenzetu wanashtakiwa baada ata ya miaka kumi kutoka madarakani mathalani tuuh amepatikana na hatia! Hivo tunamuomba MNYIKA au mwenye mawasiliano naye amuambie mahakama ya mafisadi imeanza kazi atusaidie ile ushaidi ata Mimi nitaipeleka sehemu inayousika!!!
mkuu mnyika kafuata nini hapa? chama chenu chakavu ndio pango la mafisadi vipi bado mnatumbua au muko break?Suala la kushtakiwa kwa kutuhiwa mtu haijalishi inachukua mda gani! Mfano kuna MARAIS nchi za wenzetu wanashtakiwa baada ata ya miaka kumi kutoka madarakani mathalani tuuh amepatikana na hatia! Hivo tunamuomba MNYIKA au mwenye mawasiliano naye amuambie mahakama ya mafisadi imeanza kazi atusaidie ile ushaidi ata Mimi nitaipeleka sehemu inayousika!!!
Mwakyembe namwamini kwenye vita dhidi ya hawa mafisadi tulia tuuh tena yeye ndo kapewa vizara na uhakika lowasa lazima akanyage pale!Ni hivi, wanaweza kutumbuliwa ni wakurugenzi wa halmashauri na wengine wa kiwango hicho, hao akina EL mkuu wako hawathubutu maana wameshikimana na siri ya urais wake. Hapo ni kama anaishi kwenye nyumba ya vioo hivyo akianzisha tu vita ya mawe inakula kwake. Huyo Mnyika yupo sana na wala hana uadimu wowote kupatikana kama unavyotaka tuamini, kama dhamira ilikuwepo ama ipo anapatikana, labda Mwakyembe achengeshe.
Mwakyembe namwamini kwenye vita dhidi ya hawa mafisadi tulia tuuh tena yeye ndo kapewa vizara na uhakika lowasa lazima akanyage pale!