shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,913
Maana yake ni kwamba nyumba kubwa huwa muhusika mkuuKatupwa nje ya Uwanja au?
Maana yake ni kwamba nyumba kubwa huwa muhusika mkuuKatupwa nje ya Uwanja au?
Ugua vyote Mkuu usiugueHhhhh... Mwanakijiji sijui nini kimekupata siku hizi...
Unafikiria anticlockwise, kama Morinho
Mnataka kesi ipelekwe mahakama ya mafisadi mmesahau yale maneno ya nitawalinda?.Waliokula dili la escrow wakamatwe na wafikishwe mahakamani (mahakama mpya)
Kinachokufanya kuanzisha huu uzi ni nini?? maana kwenye ule uzi wa ushauri wa zitto na ule wa IPTL maudhui yake ni sawa na haya unayoyaharisha humu???![]()
Juu IPTL - Baada ya Tanesco kuamriwa kuilipa IPTL mabilioni ya shilingi kufuatia kushindwa kwake kesi mahakama ya Word Bank (usuluhishi wa Biashara), na kwa vile sote tunajua fedha zile za kwenye akaunti ya escrow hazikupaswa kulipwa mtu mwingine yeyote basi ni wakati wa DPP (Mkurugenzi wa Mashtaka) kuandaa mashtaka na kuagiza wahusika wote waliokuwa dili la escrow wakamatwe na wafikishwe mahakamani huku kumtaka Singasinga wa PAP kurudisha fedha zote alizopokea chini ya tishio la kufisiliwa mali zake zote hadi kulipa deni hilo...
DPP aangalie sheria zinamtaka afanye nini kuhakikisha kuwa Wananchi wa Tanzania hawalipi deni mara mbili sababu ya uzembe wa watu fulani serikalini... Waliochukua hela za mboga wote wazirudishe!
Idara yake iko huru Kikatiba na Kisheria; hapaswi kumsubiri Magufuli kumuelekeza nini cha kufanya; afanye kile ambacho anajua ni kwa maslahi ya taifa. Kama anasubiri maelekezo toka "Ikulu" hapaswi kuendelea na wadhifa wake huo...Na kama anaona hana kitu chochote cha kufanya ni vizuri aseme wazi kuwa haoni namna yoyote ya kuwashughulikia wahalifu walioliingiza taifa kupitia ile kashfa ya Escrow...
Kivipi tena?
Mimi ninachokijua serikali ya awamu ya 5 chini ya MAGUFULI ni serikali imara na inayojali maslahi ya wanyonge hivo hili ni suala Dogo sanaa kwa mkulu! Na litashughulikiwa vizuri sanaaa
Si alisema atawalinda maraisi wastaafu tu au sikuielewa vizuri, hawa wengine mahakama mpya tuMnataka kesi ipelekwe mahakama ya mafisadi mmesahau yale maneno ya nitawalinda?.
Mkuu kimaandishi ipo huru, kiuhalisia si huru. Huyu ni mteuliwa Rais na anawajibika kwa Rais. Hilo tu linamfunga mikono na miguuIdara yake iko huru Kikatiba na Kisheria; hapaswi kumsubiri Magufuli kumuelekeza nini cha kufanya; afanye kile ambacho anajua ni kwa maslahi ya taifa. Kama anasubiri maelekezo toka "Ikulu" hapaswi kuendelea na wadhifa wake huo...Na kama anaona hana kitu chochote cha kufanya ni vizuri aseme wazi kuwa haoni namna yoyote ya kuwashughulikia wahalifu walioliingiza taifa kupitia ile kashfa ya Escrow...
Uyo amnakitu hapo we unazani kazuia siasa bure amejijua angekuwa na uwezo wa kuzuia rushwa na ufisadi kweli asinge hofia upinzaniHapa ndio Mh.Magufuli anapaswa kuwaonyesha watanzania maskini kuwa ni kweli yupo kwa ajili yao.!
Wewe acha tuu Mkuu,huyu Mzee kwa sasa amevuka viwango vyote vya njaa na unafiki mpaka anatia kinyaa kabisa,kwenye kusigina Katiba walikuwa wanamsifia limekuja hili lenye maslai ya Taifa na linaloonyesha utapeli wazi wazi wanamtupia mpira DPP kana kwamba Magufuli halimuhusu.Mbona Magufuli mambo mengi tu ambayo sio mamlaka yake kisheria ameyaingilia?
hili unataka kumsukumia lawama Dpp? unaogopa kumpa lawama Magufuli?
kweli tumbo si mchezo
Utasubiri sana kwa hili uwazalo kutokea.Hapa ndio Mh.Magufuli anapaswa kuwaonyesha watanzania maskini kuwa ni kweli yupo kwa ajili yao.!
Suala la DPP ni kwamba haiwez IPTL,hakuna issue ambayo Tanesco waliwah kushinda kwenye makesi yao ya umeme si ndani si nje,na haitawezekana na italipwa tu,DPP atafanyaje wakat hukumu ishatoka?hilo deni si la kwanza mbona![]()
Juu IPTL - Baada ya Tanesco kuamriwa kuilipa IPTL mabilioni ya shilingi kufuatia kushindwa kwake kesi mahakama ya Word Bank (usuluhishi wa Biashara), na kwa vile sote tunajua fedha zile za kwenye akaunti ya escrow hazikupaswa kulipwa mtu mwingine yeyote basi ni wakati wa DPP (Mkurugenzi wa Mashtaka) kuandaa mashtaka na kuagiza wahusika wote waliokuwa dili la escrow wakamatwe na wafikishwe mahakamani huku kumtaka Singasinga wa PAP kurudisha fedha zote alizopokea chini ya tishio la kufisiliwa mali zake zote hadi kulipa deni hilo...
DPP aangalie sheria zinamtaka afanye nini kuhakikisha kuwa Wananchi wa Tanzania hawalipi deni mara mbili sababu ya uzembe wa watu fulani serikalini... Waliochukua hela za mboga wote wazirudishe!
Idara yake iko huru Kikatiba na Kisheria; hapaswi kumsubiri Magufuli kumuelekeza nini cha kufanya; afanye kile ambacho anajua ni kwa maslahi ya taifa. Kama anasubiri maelekezo toka "Ikulu" hapaswi kuendelea na wadhifa wake huo...Na kama anaona hana kitu chochote cha kufanya ni vizuri aseme wazi kuwa haoni namna yoyote ya kuwashughulikia wahalifu walioliingiza taifa kupitia ile kashfa ya Escrow...
Suala la kushugulikia mafisadi haiitaji haraka kama unavofikiria ni suala la kisayansi ambapo ushaidi wa kutosha unaandaliwa nakuaminisha hili ni suala Dogo kwa MAGUFULI stay tune!!!Toka juzi unashusha propaganda mfu hapa jukwaani, ila kwenye hili ndio utajua kwann tulikuwa tunakuchora tu. Kwenye hili na mengine kama ile mikataba ya siri niliyokuambia ndio utajua power ya mkulu inaishia wapi.
Suala la kushugulikia mafisadi haiitaji haraka kama unavofikiria ni suala la kisayansi ambapo ushaidi wa kutosha unaandaliwa nakuaminisha hili ni suala Dogo kwa MAGUFULI stay tune!!!