Kwa nini DP WORLD wasiajiri Wafanyakazi wanaowahitaji kwa kuweka matangazo na vigezo
Kuliko kuwa rubuni wa watumishi wa TPA. Maana waarabu Wana historia mbaya sana ya kunyanyasa Wafanyakazi hasa Waafrika, muda wowote unafukuzwa kazi bila kufuata mashart.
Au TPA na DP WORLD wakubaliane ku-transfer some expert kwa muda wakati huo huo wakiendelea na maslahi yao TPA kuliko huu ulaghai wa kikoloni.