Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts
Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti
Unasema JK own DOWANS lete ushahidi
This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu
Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!

Mzee Mwanakijiji na wengine wote mnaoitakia mema nchi yetu ya Tanzania. Tunawaomba muyafanyie kazi hayo majina yaliyotajwa ya wamiliki wa Dowans, ili tujue nani ni nani katika hili. Kwa wale wote wenye ushahidi juu ya wamiliki halisi wa Dowans, tunawaomba mtuletee jamvini ili tuujulishe umma wa watanzania nini kinachoendelea ndani ya CCMUnajua dola milioni 2 za JK mwaka 2005 zilitoka wapi na kwa nani? Ukijua jibu la swali hilo utajua kuwa Dr. Slaa hakusema uongo na utaelewa ni kwanini Dowans ilikuwa ni lazima walipwe kwa mbinde au kwa upinde.
Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts
Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti
Unasema JK own DOWANS lete ushahidi
This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu
Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!
MM, jamaa umemgongea tahnks nikashituka lakini hapa tena sijakusoma kwanini siku hizi umekuwa hueleweke elweki....Unajua dola milioni 2 za JK mwaka 2005 zilitoka wapi na kwa nani? Ukijua jibu la swali hilo utajua kuwa Dr. Slaa hakusema uongo na utaelewa ni kwanini Dowans ilikuwa ni lazima walipwe kwa mbinde au kwa upinde.
Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts
Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti
Unasema JK own DOWANS lete ushahidi
This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu
Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!
Yaani wewe majambo unaamini taarifa za waziri ??? Umesikia hata hesabu aliyotupa kuhusu kiasi kitakacholipwa kwa dowans inavyokanganya..uwe unajaribu kutafakari si kukurupuka tu. Dr slaa alimaanisaha mzee wa kaya ana mkono kwenye dowans!
Inawezekana ikawa Slaa ameongopa, na pia inawezekana JK si mmiliki wa Dowans, kama ambavyo tumeongopa Watanzania wengi katika juhudi zetu za miaka minne ya kumtaka kumjua mmiliki wa Dowans. Watanzania kama mwajiri wa serikali tulikuwa na haki ya kuyajua yote aliyosema Ngeleja jana miaka minne iliyopita. Kulikuwa na usiri gani? Kwa nini hawakutajwa wamiliki tangu awali? Kwa nini wametajwa jana?Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts
Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti
Unasema JK own DOWANS lete ushahidi
This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu
Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!
Halafu Ngeleja haonyeshi hata uchungu wa kushindwa TANESCO kwenye kesi....anaonyesha kabisa yuko upande gani...yaani mtu akuibie mkeo halafu unamtetea?
MM, jamaa umemgongea tahnks nikashituka lakini hapa tena sijakusoma kwanini siku hizi umekuwa hueleweke elweki....
kumbuka mtu kama wewe ndiyo umenifanya nianze kufatilia mambo ya siasa na ufisadi unaofanyka hapa Tanzania.
Mwanafunzi wa chekechea ni wa chekechea tu kamwe hawezi kuwa wa form oneMajina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts
Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti
Unasema JK own DOWANS lete ushahidi
This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu
Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!
Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts
Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti
Unasema JK own DOWANS lete ushahidi
This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu
Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!![/QUOTEkama amewaongopea kwa nini msimshitaki? aje na ushahidi mahakamani?si tutaamini vipi amewaongopea kama wananchi?