Dowans kwishinei kabisa

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
wakuu tangu habari za baba wa loliondo zianze serikali imepata nafuu ya kuandamwa juu ya dowans mana magazeti yote na tv na redio ni babu tu vichwa vya habari mitaani, kwenye daladala kote ni babu akuna anaeongelea ufisadi tena.
au ni mbinu yao kumaliza mada wtu wakija kuzinduka mtaambiwa dowans wallipwa cku nyingi sana awatudai tena tunaipongeza serikali kwa kutatua jambo hili kwa haraka.
 
watu wanaongelea jambo la maana ktk maisha yao kuhusu kupona magonjwa manake dowans ipo tu wala haiwezi kuondoa vidonda vilivo ktk mawazo ya watanzania kuhusu umasikini wa nchi na wachache kujinufaisha.wanajuta kukichagua chama kisichowajali
 
nikweli mkuu ila kwa jinsi babu alivyoibuka kwenye timing zao ni nzuri mana masikio na macho ya watanzania yote yapo loliondo mchezo ukiisha dowans walishalipwa
 
Dowans ipo tu pale pale ila wameshitukia walikataza watu wasiende kunywa wakaona itakuwa sooo sasa wameruhusu na kujikosha kwa mbwembwe!
 
kweli kabisa ss hivi wako free kupanga ishu zingine mpaka stori ya babu ipungue makali
 
wakuu tangu habari za baba wa loliondo zianze serikali imepata nafuu ya kuandamwa juu ya dowans mana magazeti yote na tv na redio ni babu tu vichwa vya habari mitaani, kwenye daladala kote ni babu akuna anaeongelea ufisadi tena.
au ni mbinu yao kumaliza mada wtu wakija kuzinduka mtaambiwa dowans wallipwa cku nyingi sana awatudai tena tunaipongeza serikali kwa kutatua jambo hili kwa haraka.

Drphone,upo makini sana mkuu! Wanao2akilisha nao wasizubae maana hii serikali ya Tanzania ipo kihuni sana! Dr.Slaa na wengine wengi wenye uchungu na hili taifa wakumbusheni wawakilishi(wabunge) we2 wawe makini sana,2sijepigwa changa la macho!
 
Back
Top Bottom