Dowans: Another Richmond in making?

Dowans: Another Richmond in making?

wewe msidanganywe mbona baada ya richmond kushindwa dowans wakaleta generator within six months.....

nina rafiki yangu anfanya kampuni ambayo ina supply cooling sytems za generator kwa kampuni kubwa ie GE, CATERPILAR, KAWASAKI N MORE....
SHIFT MOJA YA 8 HOURS INATOA COOLING SYTEM 4. NA SASA HIVI WANAFANYA KAZI SIKU NNE TU KWA AJILI HAMNA KAZI SANA
 
Ukinyofoa kichwa cha Idrisa ukaweka karoti kubwa bado ataendelea kufikiria vilevile hatahisi mabadiriko, meaning hi izi F$*&@%$n idioti, himu and hiz mastazi.
 
.......

Tumevaa sana chupi za mitumba na kuzipa uhalali,ndiyo maana tunaona ni sawa tu kununua mitambo mtumba yenye baraka na mikono nuksi ya Mafisadi.

Watu wasilete zao kwa kisingizio cha dharura.

Duh Madilu mkuu, umeniacha hoi bin taabani na kipande hiki! Nimecheka lakini kuna ukweli mwingi sana ndani yake. Hivyo kicheko changu kimekuwa bila furaha - waingereza husema mirthless laughter.

You have a very important point na nimekusoma hata hapo nyuma, unachosisitiza ni ukweli mtupu. Hawa watu wanataka kututishia eti umeme au nishati ni haba ni dharura, wakati ndo haliya kawaida kwa mamilioni ya watanzania.
Viongozi hawataki kutatua matatizo long term na kuleta suluhisho ya muda mrefu.
 
Natumaini Mkurugenzi wa Tanesco atajiwajibisha mwenyewe na kuachia ngazi au la, Rais anatakiwa kumfukuza kazi mara moja.

Zaidi ya hapo, kutokana na statement yake aliyoitoa, inaonyesha wazi kuwa KAZI IMEMSHINDA NA PIA ANATAKIWA KUFUNGULIWA MASHITAKA MARA MOJA KWA KUTAKA KUVURUGA AMANI YA NCHI.

Rais alishaonya kuhusu jambo hilo mwanzoni mwa mwaka huu.

Tatu, nimeipenda signature yako inayosema "It is NOT just a forum, it's a MOVEMENT!"
 
Nyani Ngabu,

Mkuu unajua hawa jamaa wanataka kutufanya sisi wajinga sana..

Ebu jaribu kufikiria tulikotoka..Ule mkataba wa Richmond tulikubaliana nao kuwalipa TShs 172 billion, kisha ndani ya mkataba huo kulikuwa na kipengele kinachotulazimu sisi kuwalipa Usd dollar 137, 000 kwa siku regardless of the amount of electricity provided....mmmhhhhh!

Mkuu hii mitambo ina worth less than Usd 50,000! uliona wapi mtu kaweka mtaji wa dollar 100,000 (mitambo miwili) akaweza kuzalisha gross income ya kiasi hicho..sijawahi kuona wala kusikia maishani mwangu isipokuwa Tanzania..

Pili, wale Richmond walitakiwa kuingiza mitambo na kuanza kazi within six month (from June 2006) kulingana na mkataba lakini hawakufanya hivyo wakati fedha (mtaji) tumewapa sisi kabla hata hawajaingiza kitu, leo hii tunaona viongozi wakisema haiwezekani kuagiza mitambo ktk window ya miezi sita hali ni wao waliosaini mkataba wa kwanza, sijui siku zile kulikuwa na uwezekano gani tofauti na leo hii..

Jamani hizi ni generators tu zenye thamani isiyozidi Usd 50, 000, inakuwaje tunaipa uzito kama vile tunajenga Nuclear power!..Kuna majumba na viwanda hapa yanabeba mtambo kama huo kwa matumizi ya tahadhari tu..iweje leo tunatishiwa nchi kuingiza kizani kwa megawatts 100 wakati generator hizo zipo in stock na zinasubiri wanunuzi sio kitu kinachotengenezwa kulingana na mahitaji ya nchi..Hizi habari wamezipata wapi?..

Tatu, Kama sikosei kabla Richmond hawa pass ile contract kwa Dowans Holdings, Yiule mhindi Gire aliwahi kusema Richmond hawakupokea hata senti moja toka serikali yetu wakati, serikali yetu ilidai kuwa imewalipa hawa jamaa kitu kama Usd 80,000..Habari ipi ni ya kweli?.. hadi leo hii tunabishana hapa hatufahamu ukweli uko wapi na tumeshasahau yote hayo!..

Haya baada ya Dowans Holding kuchukua mkataba kwa mtaji mbuzi walichukua chini ya miezi minne generators ziliingia nchini na wakafunga..ajabu bado ipo pale pale kwamba ikiwa Richmond waliondolea kwa sababu they lacked experience, expertise na kama sikosei financially incapacitated.. ni uchunguzi gani uliopitiwa kwa Dowans kuwhakikisha hawakuwa na makosa kama hayo.. hakuna report hiyo hadi leo hii tunavyozungumza.. kifupi hakuna mtu anayefahamu undani wa Dowans kama tulivyofuatilia kuhusu Richmond zaidi ya kuamini tu kwamba shirika hili linatoka South Afrika.. mitambo wameagiza Marekani wakati South penyewe mitambo kama hiyo ipo!..

Nne zaidi ya matukio yote haya, leo hii tumefikia kutaka kuinunua mitambo chakavu na yenye kila harufu mbaya kisha viongozi wetu wanatishia kuingia kizani.. ile ile hadithi ya 2006 kabla Richmond hawajapewa deal. Na tulikaa kizani sana tu hakuna kiongozi hata mmoja aliyesimama na kusema shauri yenu hali ni wao waliotuweka kizani..Kila siku inavyokwenda ndivyo tunavyozidi kusahau tulikotoka!...

Na kibaya kuliko yote wapo watu wanaoshadidia na kujaribu kujenga hoja mahala ambapo tumekaa uchi wa nyama kama ngedere..Mawili aidha sisi ni wajinga kuliko watu wote duniani ama tumerogwa na mchawi mwenyewe kisha kufa!..Lakini ukiuliza waswahili wenyewe watakwambia YOTE haya ni kazi ya MUNGU!..

Miafrika ndivyo Tulivyo mkuu wangu yaani nimechoka!................
 
Tumevaa sana chupi za mitumba na kuzipa uhalali,ndiyo maana tunaona ni sawa tu kununua mitambo mtumba yenye baraka na mikono nuksi ya Mafisadi.

Watu wasilete zao kwa kisingizio cha dharura
Nchi nzima inahaha kwa kitu kinacho worth Usd 100,000 chini ya bei ya Vogue mpyaaa..Wanasiasa na Wachumi wote akili zime freeze! ama kweli tutachekwa kwa mengi....Lol..
 
Tatu, nimeipenda signature yako inayosema "It is NOT just a forum, it's a MOVEMENT!"

Unajua hawa mafisadi manafikiri kijiwe ni kama zamani walikuwa wanaongelea madudu yao ya kuwaibia wananchi na kila mtu lazima awe kijiweni kupata habari.

Too late for them, this is a "NEW GENERATION, OUR GENERATION."

We will not stand by anymore!
 
wewe msidanganywe mbona baada ya richmond kushindwa dowans wakaleta generator within six months.....

nina rafiki yangu anfanya kampuni ambayo ina supply cooling sytems za generator kwa kampuni kubwa ie GE, CATERPILAR, KAWASAKI N MORE....
SHIFT MOJA YA 8 HOURS INATOA COOLING SYTEM 4. NA SASA HIVI WANAFANYA KAZI SIKU NNE TU KWA AJILI HAMNA KAZI SANA

Hawa jamaa wanataka kutufanya sisi wote ni wajinga. Nimefanya kazi na kampuni za kutengeneza generator. Kama kuna urgency na hakuna haja ya kutangaza tender, ni kiasi cha Tanesco kuandika specs za generator wanazotaka, kuomba quotes kutoka kwa manufacturers. Kama hawana wanachokitaka, wakumbuke kazi inayofanywa kiwandani ni ku-assemble parts kutoka China, Mexico na kwingineko ambako zinapatikana kwa bei poa. Hiyo ni kazi ya mwezi mmoja, mwezi wa pili ni ku-assemble na kuanza all the tests, functional, environmental, n.k. So within 3 months, generator hilo.
 
Wakuu naomba kuklarify hili suala la muda mpaka kupata majenereta au power plants. Kuna alot of confusion kutokana na either misunderstandings or personal opinions.

Ikumbukwe kwamba mitambo kama ile ya dowans ni katika category ya portable power station Hii ni mitambo ambayo mara nyingi ni offshelf na the main reason ni kwa sababu malengo hasa ya matumizi yake ni kwenye dharura. Mitambo hii inaweza ku-run hata juu ya maroli kwani huwa ni containerized. Mfano kukitokea mafuriko, au uharibifu mkubwa wa ghafla wa mitambo iliyokuwa ikitumika. Kwa hiyo basi hakuna hoja kuzungumzia urefu wa muda kama Tanesco inataka kununua mitambo aina ya Dowans. In less than three months you can get them from any corner in the world. Na uzuri wa mitambo ya aina hii ni kwamba u can interconnect as many containers as you want depending on your requirements.

Naomba nitoe mfano halisi. In 2007 I was working in one of the mines in TZ around the lake zone. Tulinunnua portable power plant from Caterpillar (KQ2000) ambazo ni containerized zinalingana lingana kama zile ze dowans (Fuel inaweza kuwa natural gas, diesel au HFO). Capacity yake ilikuwa ni 1.6MW per container ss tulinunua tano and therefore totaling 8MW. Bei ilikuwa ni USD 252,000.00per container kwa hiyo kwa tano = USD 1,260,000.00.

Sasa basi kutokana na mfano huo hapo juu. That means mara kumi yake kwa bei na capacity ni 80MW for 12,600,000.00. Na kwa 100MW = USD 15,750,000.00. Ukichukulia bei ya controls na transformers say USD 5,000,000.00 which is a very high estimate unapata total ya USD 20,750,000.00. Assume kodi ni 100% which is also very high estimate unapata ni USD41,500,000.00. Hii ni kwa mitambo mipya kabisaaaaaaa.... enzi zile tulikuwa tunasema unachana karatasi.

Hapa mimi ndiyo naona kuna usanii wa Tanesco na hiyo Dowans. Kwa nini Tanesco isitafute mitambo mipya kama ni ya aina hiyo na kutoa conditions kwa delivery iwe ni ndani ya kipindi fulani. Hiyo ni kawaida kabisa kibiashara.

Hivi kwenye hiyo sheria ya manunuzi ya umma hakuna kipengele cha dharura. Kwa nini Tanesco isitumie hicho? Mbona juzi juzi kuna scanner za cancer ziliibiwa pale ocean rd na zikawa replaced ndani ya mwezi mmoja. Hao jamaa sio umma? Ni kwa Nini Dr. Idris atutishe watanzania woote wakati hao anaowaita wanasiasa wameintafia hawafiki hata kumi? Jeuri hii anaitoa wapi Dr. Idris? wakati kukosekana kwa umeme ni kuonyesha kwamba ameshindwa kazi? Wapi press release kutoka Tanesco ikiwajulisha wananchi with specifics nini kimejiri toka mwanzo wa sakata hili?

Hapa hakuna cha nchi kuingia gizani wala nini bali ni usanii na ufisadi uliokithiri mpaka aibu hawana. Hv ikitokea say mpaka December hilo tatizo la umeme hailijatokea Idris atatuambia nini?
 
Miongoni mwa magazeti yote yaliyotoka leo Jumamosi (pamoja na yale ya serikali na lile la CCM) ni gazeti moja tu -- Mtanzania la Habari Corporation (inayomilikwa na fisadi Rostam) ndiyo kichwa chake cha habari cha mbele kiliandika kwa namna ya kutetea ununuzi wa mitumba hiyo ya umeme. Kinasema: “Serukamba: Mwakyembe na Sitta waihujumu CCM” habari ambayo wahariri wa gaezeti hilo waliliona kubwa sana, kuliko walivyoona wahariri wengine wote.

Habari kuu ya Tanesco kusalimu amri hawakuiona kama ni habari kubwa.

Kusema kweli gazeti hili, pamoja na lile la Rai (nalo pia la Rostam) yanaonyesha waziwazi kwenda kinyume na mtazamo wa Watanzania wengi kuhusu ufisadi, maana haya hutetea ufisadi kwa kiujanja ujanja tu. Yamekuwa kama vile “Joker in the pack.”

Inasemekana Serukamba hushinda katika sebule za ofisi za Riostam, na siku hizi amepata mwenza katika sebule hiyo, Mbunge mwenzake wa huko huko Kigoma -- Zitto. Kigoma kuna nini? Mbona usaliti kwa wananchi unazidi. Kumbuka Kabourou -- yuko wapi?
 
Dr. Idris: We have no stage to compete with politicians in this affair, and I believe we have made ourselves clear. Tanzanians will eventually decide whom to blame when the country plunges in darkness … without services in hospitals, no production in industries and students failing to study simply because we failed to take decisions.

Mag3: We will blame you if this happens and we will skin you alive.

Dr. Idris: We are pulling out from the race and are going to officially write to the Minister for Energy and Minerals informing him on the decision.

Mag3: Were you racing against against anybody ? Who ?

Dr. Idris: The country now has a power deficit of about 150MW, and that it could rise to 225MW if no power is injected into the national grid by December 2009.

Mag3: When did this fact ever enter your thick skull ? This year ?

Dr. Idris: All power projects due for implementation have almost ceased on various reasons like the 200MW Kiwira power project and 45MW Tegeta project whose production have now been re-scheduled to next October.

Mag3: What happened for heaven sake and why ? What are you getting paid millions (in tax-payers money) for ?

Dr: Idris: We wrote to the parent ministry, raising the red flag that there was an impending power deficit in the country due to higher consumption that required an additional 75MW annually.

Mag3: Talking of higher consumption, wasn't this expected ? Did you just learn this ?

Dr. Idris: It was after this evaluation that we forwarded the proposal to buy the turbines … we also advised the government to see how urgently we could have at least 200MW in the network within 24 months before December 2010.

Mag3: To buy turbines from Dowans, who is Dowans ? How about long-term strategy ?

Dr. Idris: You can’t just buy it as we do a vehicle, a tractor or garments; it takes a lot of time … we experienced this with the Ubungo Wartsila plants that took 18 months to start generating power. We wonder when we hear some very influential figures telling people that new plants can arrive here in two weeks … that’s very misleading.

Mag3: Dont even go there, we dont wanna hear it ! Neither would getting new plants take 24 months....that's very misleading too.

Dr. Idris: Such misleading information by ‘senior citizens’ were distorting all the facts that Tanesco presented to the government, and that they were politically motivated.

Mag3: I bet the reason why you never had any contingency plans was because all along you had Dowans in mind. Sorry to disappoint you, but this time the people say NO. NO to you, big NO to Dowans, NO to whoever is behind your impunity and NO to all FISADIS. 😡
 
Zitto bribed or not (and i personally think you are clean) you have shown extremely poor judgement in this case. It cannot be a surprise to you that you have lost a lot of respect and will continue to do so by supporting this completely ridiculous idea.

Buying used, overpriced equipment from a company that is linked to one of the worst corruption cases in Tanzanian history is just not going to fly. There are so many things that do not add up here, so many red flags (which i'm not going to list because i'm pretty sure you are aware of them) that it boggles the mind that anyone would even consider this.


Many thanks for this useful comment,

Nilikuwa napitia post zote bila kuwa nime-login lakini kwa message hii which is very constructive nimelazimeka ku-login angalau nikupe 'Thanks'

Keep it up, Huu ni mpambano mkali dhidi ya mafisadi, Tanzanian and others please keep it UP.
 
PM, nakubaliana nawe kwamba procedures za kuagiza mitambo mipya mpaka iingie nchini na kuanza kazi ni ndefu na zinaweza kuchukua hata miaka miwili. Kiongozi wa shirika nyeti kama TANESCO anatakiwa awatumie wataalamu tulio nao pale ili kuangalia mahitaji yetu ya umeme na kuanza kujiandaa mapema ni jinsi gani TANESCO wataweza kukidhi mahitaji hayo. Kama sikosei matatizo yetu ya umeme yaliyoifanya nchi yote iwe kizani kwa muda mrefu yalitokea mwaka 2006 na sasa tuko katika mwaka 2009. Kulikuwa na miaka mitatu ambayo Idrissa Rashid na wataalamu wa TANESCO wangeweza kabisa kutoa taarifa mapemaB]




..nawaeleweni sana ..na ieleweke kuwa sitetei mafisadi...sasa mtoto ameshanyea unafanyaje..tupo kwenye tatizo tunafanyaje..tunaendelea kubishana au tuchukue hatua???

lingine muelewe tanesco kama tanesco hawana pesa au uwezo wa kununua hata jenereta moja..hali yao ya kipesa mnaijuwa!!Hazina ndio wanatakiwa kutoa capital....na tanesco wataalamu walishaipa serikali mahitaji yake ya umeme ..kama kawaida yetu serikali huwa haitoi pesa hadi itokee zimamoto.....lakini strategic plan ya tanesco kama ilivoelezwa hapo nyuma ..ilikuwa inatakiwa hadi sasa tuwe na umeme wa kiwira,segerea ,singida,nk.....sasa serikali imepewa hiyo plan tangu 2006....hadi sasa hawajatoa pesa ku finance hiyo miradi..ukiwemo wa kiwira ambao hali ya malumbano iliyopo ni vigumu kwa benki au strategic investor yeyote pale kuingia......tunao mradi wa mtwara..ambao nao hii economic crunch imesababisha mwekezaji barrick aliyekuwa na share pale kujiondoa baada ya mabenki yanayo finance huo mradi mkubwa kukwama.....

so we have a problem ..somebody is drowning ..does it worth to keep on debating and call people all that names........hivi niwaulize ingekuwa nchi imevamiwa na dowans ingekuwa silaha[yes umeme ni silaha].....mngekuwa na muda wa debate..!!!

lets solve this problem then twende mbele ...hata ikibidi tuchukue huu mtambo kwa bei ndogo...ukizingatia tunawadai...ni vema...au la wazawa wanunue dowans ...alafu waiuzie tanesco umeme..kama tatizo hamtaki ku deal na dowas!
 


..nawaeleweni sana ..na ieleweke kuwa sitetei mafisadi...sasa mtoto ameshanyea unafanyaje..tupo kwenye tatizo tunafanyaje..tunaendelea kubishana au tuchukue hatua???

lingine muelewe tanesco kama tanesco hawana pesa au uwezo wa kununua hata jenereta moja..hali yao ya kipesa mnaijuwa!!Hazina ndio wanatakiwa kutoa capital....na tanesco wataalamu walishaipa serikali mahitaji yake ya umeme ..kama kawaida yetu serikali huwa haitoi pesa hadi itokee zimamoto.....lakini strategic plan ya tanesco kama ilivoelezwa hapo nyuma ..ilikuwa inatakiwa hadi sasa tuwe na umeme wa kiwira,segerea ,singida,nk.....sasa serikali imepewa hiyo plan tangu 2006....hadi sasa hawajatoa pesa ku finance hiyo miradi..ukiwemo wa kiwira ambao hali ya malumbano iliyopo ni vigumu kwa benki au strategic investor yeyote pale kuingia......tunao mradi wa mtwara..ambao nao hii economic crunch imesababisha mwekezaji barrick aliyekuwa na share pale kujiondoa baada ya mabenki yanayo finance huo mradi mkubwa kukwama.....

so we have a problem ..somebody is drowning ..does it worth to keep on debating and call people all that names........hivi niwaulize ingekuwa nchi imevamiwa na dowans ingekuwa silaha[yes umeme ni silaha].....mngekuwa na muda wa debate..!!!

lets solve this problem then twende mbele ...hata ikibidi tuchukue huu mtambo kwa bei ndogo...ukizingatia tunawadai...ni vema...au la wazawa wanunue dowans ...alafu waiuzie tanesco umeme..kama tatizo hamtaki ku deal na dowas!

But every thing in this world needs planing, ndio maana Jeshi linakuwa na Stock ya silaha , askari , training etc.

Sasa tukirudi kwenye Tanesco iwe ni serikali mkosa au yenyewe tanesco kwa kutotekeleza kile walicho takiwa kutekeleza , kama kutoa pesa in time etc , ndio hapo tunapo taka kumjua mchawi wetu nani? kwamba moja anafanya maksudi ili aweke mazingira ya dharura, then watu watengeneze chao? at the expense ya kuuwa mtaji huo mdogo wa nchi na adha zingine. kwa sababu mradi kama huu si endelevu, ni sawa sawa na dawa ya kutuliza maumivi, wakati tiba ni chloroquine na si panadol.

Tatizo lilipo toke Mwaka 2006, Lowasa kama waziriMkuu aliwahakikishia wananchi kwamba serikali imejipanga na wasihofu (meaning pesa ipo au itatafuywa toka chanzo chochote ku-solve hiyo problem) sasa 3 year in tatizo linajirudia , na fedha kama unavyosema wewe hakuna kugharamia miradi mikuu, bali zipo za umeme wa dharura, je hii inaingia akilini?
 
PM.. mara ya mwisho kina Dr. Idris kuzungumza na manufactures wa hizi turbines (nimeona hata Kawasaki wanayo pia!) ilikuwa lini? do we know?
 
hili sakata la umeme kama mchezo wa karata 3 tunasema hapo tumeramba nini...........dume au jike? Maendeleo TZ kwa kweli ni ndoto Rwanda wataendelea kutuacha mbaaali sana kama vichwa vyenyewe ndo hivi tunavitegemea hatufiki popote.
 
Wasi wasi wangu mkubwa ni kuwa Tayari nchi inahujumiwa - there is more to this than we are being told. Huyu bwana ni kawaida yake - historia yale imejaa vituko na kama si uswahiba wake na mkuu wa kaya angekuwa historia.

The cheek of this man - eti ana jeuri ya kusema, "Mmenikatalia kununua mitambo ya Dowans, sasa subirini muone kitakachofuata kama mtaweza hata kuonana humo gizani !" - na bado yuko kazini !!

Nakumbuka alivyotishia kujiuzulu mara ya kwanza:-
images

Hapa aonekana akimkandia mzee wa watu - matokeo tunayajua - alikumbatiwa. Je atendelea kukumbatiwa baada ya kututishia nyau ?? Huyu ni mtu hatari, period.

Naskia huyu jamaa amewekwa na mkubwa hapo TANESCO.
Je haiwezekani kumuadabisha na utumbo huu anao ongea?
Wabongo tutaendelea kufanywa wajinga na wajanja uchwala kama hawa.
 
Back
Top Bottom