Dowans: Another Richmond in making?

Dowans: Another Richmond in making?

Uwiano Maalum;

Kwa kawaida kampuni yoyote ikileta mitambo hapa nchini inalipia Duty and VAT. Wizara ya Fedha inaweza kusamehe kodi lakini. Kwa case ya Tanesco sijui kama wana Exemption au la. Ila Tanesco ni kampuni na sio serikali; ingawa inamilikiwa 100% na serikali. Kwakuwa inauza huduma na kupata faida ndo maana inalipa kodi serikalini.

Kama mtambo uleletwa kifisadi, hilo ni nje ya mada. suala ni kuwa je Bie hiyo ni halali?, hapo ndo nikasema tulinganishe apple na apple interms of Bei.

Kutaifisha lazima uwe na good grounds. Tukishapata thamani ya mtambo mbadala na kulinganisha gharama za dowans ndo tunaweza kusema ni wa kifisadi au la.

hope nimekujibu.

Asante

FP

Mtambo kuletwa kifisadi ni nje ya mada, ila kulinganisha bei ndio kuwepo ndani ya mada. Positive thinking noted.

Bwana Gire anatuhumiwa kuidanganya serikali kuhusiana na ununuzi wa mitambo ambayo inatakiwa kulinganishwa apple na apple in terms of bei.
Je huoni kuwa kuna uhusiano wa tuhuma za bwana Gire na hii mitambo na kuonyesha kuwa, ilipatikana kwa njia ya kidanganyifu? Kwa nini bwana Gire ashitakiwe kama hii mitambo ni safi kiasi kwamba TANESCO itake kuinunua ? Samahani kama na hili nalo liko nje ya mada hii ya kulinganisha apple na apple au machungwa na maembe.
 
Uwiano Maalum; Kwa kawaida .......

...hapo ndo nikasema tulinganishe apple na apple interms of Bei.

Kutaifisha lazima uwe na good grounds. Tukishapata thamani ya mtambo mbadala na kulinganisha gharama za dowans ndo tunaweza kusema ni wa kifisadi au la.
.....

FP

Nakubaliana na wewe 100% ni vizuri kulinganisha Aple na Aple. Ninachokiona hapa tunalinganisha bei ya mitambo chakavu ya Dowans na mitambo mipya ambayo tunaweza kuagiza toka nje. Labda tupate bei ya mitambo chakavu kama ya dowans kutoka kwa supplier wengine! Ndio maana sheria inasisitiza ushindani.

Ukitaka kufanya a very fair analysis and comparison ('aple to aple' concept) ni lazima utumie concept ya 'life cycle cost' ya mitambo. Life cycle cost analysis haitizami gharama ya kununua tu inakwenda mbele zaidi na kuangalia gharama ya uendeshaji katika 'maisha' ya mtambo wenyewe. Hili sidhani kama linaweza kufanyika hapa JF! Hapa nadhani tunajadili 'big picture' and not the 'nitty gritty'!

Tanesco wangetoa tender hata kama ni kusupply (na kuifunga) mitambo chakavu (kama wataamua kupindisha sheria!) ili tushindanishe zaidi ya supplier mmoja. In this case Dowans ndio wam,etoa tender, and Tanesco appears to be the only bidder! Tanesco imewazuia (mahakamani) Dowans kuuza mitambo halafu wenyewe tena wanataka ku'bid'. This does not make any sense! Does it?
 
Last edited:
Uwiano Maalum;

Kesi ya bwana Gire ni ya kizushi na kukurupuka kama kawaida yetu wabongo. Ameshtakiwa sio kwa kuongeza bei ya mitambo. Check your facts. Mitambo ya Dowans haiwezi kuwa michafu bali watu ndo wachafu. Mimi sisemi tuinunue au la, ila tuangalie COST BENEFIT ANALYSIS. Hii ndo msimamo wangu.

SMU;

Upo sahihi, hata Life span pia ni bora kuiangalia na present value ya future costs pia ni muhimu kuiangalia. Kwa ufupi inatakiwa analysis ya kutosha kabla ya kukurupuka na kuikataa moja kwa moja. Mie kama nilivyosema nipo neutral kwenye hili.

Vyote vinawezekana. Ila tukikaa gizani (huku tukisubiri mitambo ya kutoka nje ije)tutakuwa tumepoteza kiasi gani cha fedha kiuchumi?

Swali ndo hilo.

FP
 
Zito;

I Know you have iformation and some more datas we dont have. Please ona kama ni wakati muafaka utueleze. Definetly something is not very clear somewehere and the infornation we have is not enough to bring us to the conclusion.

Nimesikia kimsingi kuwa pale CCM wana makundi na wanamalizana...That is ok lakini how does that leads kwenye kukubali kuichukua mitambo hiyo?

It seems umejaribu kuwa objective na makundi hayo ya CCM na unajali hali halisi na ukweli katika kusiaid taifa ...am I right? And how .... and why?
 
Yes sir. Maamauzi yao mengi yametupeleka gizani mara kibao,hakuna busara hakuna hekima hakuna utaalamu unaotumika kwenye maamuzi ya serikali ya tanzania kwa sababu hakuna hata mmoja anayejali maamuzi kwani hakuna hukumu akifanya vizuri au reward akifanya vibaya atakuwepo tu vyovote vile.

Dr Idrisa tayari anamgao wake kutoka kwa Chenge inawezekana anao tayari mwingine kutoka kwa dowans.
Tatizo la umeme halijaanza jana wala juzi, miaka ya 1995 na kuendelea tulikuwa na tatizo kubwa la umeme na maamuzi ya wataalamu wengi yalikuwa haya
Kusafisha mabwawa
kununua turbine mpya
kuongeza ukubwa wa mabwawa na turbine
kuongeza vyanzo vingine vya umeme

Kilichofanyika ni wizi na ujambazi wameendelea kununua mitambao ya kitapeli isiyo na manufaa kwa nchi ila kwa matumbo yao.
Kamati zote ile ya Richmond na bunge ziliona richmond ni utapeli mitambo haikuwaka kwa sababu ilikuwa mibovu sasa kama leo tanesco wanasema ni mizima kwanini wawepo kazini hii ni hujuma mbaya sana. tulikaa giza tukiamini mitambo mibovu leo hii mitambo ileile imekuwa mizima.

Hakuna haja ya kuwazawadia mafisadi walitufanyia uhuni walituingiza mkenge tununue mipya.

Nilipata habari kwamba Rostam na lowasa walifanya hadaa isiwake ili waje watubamize bei naona deal limekubali na ninaamini kabisa wote wanao bebea hili swala bango wamelishwa asali.
Tuvute subira litakaa wazi.

Mpaka hapo mkuu nakubaliana na wewe 100% pasipo shaka...

Lakini panapofuatia sikubaliani na wewe kwani binafsi namwona Zitto alikuwa anatanguliza maslai ya taifa mbele.

[/QUOTE]Zito kabwe usipo kuwa mwangalifu siasa bye bye.Wakati umefika uangalie lile swala lako la kuacha siasa na kwenda shule kwani mkombozi wa kweli wa watanzania masikini si mtu kigeu geu. Ulitupigisha kwata kwenye swala la ricmond na uozo wake wote kuanzia wa kutokuwaka kwa mitambo yao na ubovu wake leo unataka tukuunge mkono kununua mali ambayo mlitufanya tuamini ni mbovu hii haingii akili hata kidogo.
Tupe uhusiano wa Dowans , Rostam na Lowassa na Gire.Na kuwa muwazi je ulikutana na hawa mabwana wapi na lini??[/QUOTE]

Sisemi mimi nasupport au kupinga ununuzi wa ile mitambo ya dowans. Ninachotaka ni kwamba tusiwe gizani na ndicho nadhani Zitto anakiangalia. Now the question ya how tunatakiwa kutokuwa gizani ndo pale serikali inatakiwa kuwa na wise decision ambayo ni ya haraka. Kila mtu anaweza kuja na pendekezo lake, mfano kuna jamaa wamesema mitambo inaweza kuja mipya for $39mn unlike kununua hiyo ya dowans for more than that ... that is a good idea but nani wa kuongoza huu mchakato ni Serikali na wataalamu wake. So tusimkaange sana zitto kwani naona yeye ametanguliza maslai ya taifa. Sion sababu ya kuendelea kupoteza muda na serikali yetu hii ambayo tayari wewe umeshaichambua hapo juu uozo wake...mimi nnachotaka ni umeme wa haraka kwan what we loose kwa kutokuwa na umeme ni mara dufu ya what we loose for buying the dowan thing. Niseme tu maslai yangu Mbele.
 
Uwiano Maalum;

Kesi ya bwana Gire ni ya kizushi na kukurupuka kama kawaida yetu wabongo. Ameshtakiwa sio kwa kuongeza bei ya mitambo. Check your facts. Mitambo ya Dowans haiwezi kuwa michafu bali watu ndo wachafu. Mimi sisemi tuinunue au la, ila tuangalie COST BENEFIT ANALYSIS. Hii ndo msimamo wangu.

SMU;

Upo sahihi, hata Life span pia ni bora kuiangalia na present value ya future costs pia ni muhimu kuiangalia. Kwa ufupi inatakiwa analysis ya kutosha kabla ya kukurupuka na kuikataa moja kwa moja. Mie kama nilivyosema nipo neutral kwenye hili.

Vyote vinawezekana. Ila tukikaa gizani (huku tukisubiri mitambo ya kutoka nje ije)tutakuwa tumepoteza kiasi gani cha fedha kiuchumi?

Swali ndo hilo.

FP

FP, ukiuziwa apple la ambalo aliyekuuzia amelipata kitapeli, ukakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria, utajitetea kwa kusema apple lile ni si chafu bali tapeli aliyekuuzia ndio mchafu?
 
Zito kabwe lazima aseme nini msimamo wake na nini anakitetea.
Maslahi ya taifa kwanini yasiwe maslahi ya dowans???
Mzunguko mzima wa Mohamed gire -richmond-dowand-rostam/lowassa -tanesco nunua ni uhuni.
Kwanini leo ionekane ni sawa kuwazadia mafisadi kwa kivuli cha utaifa utaifa wa nani??? hayo makundi ya CCM sitaki kuyajua ila ukweli. Wabunge wote akiwamo na zito waliikubali ripoti ya mwakwembe leo hii yanakuwa haya.
si amini si amini. Basi kesi zote za richmonduli zifutwe Lowasa arudishwe uwaziri mkuu wake kesi close. huu ni upuuzi uliozidi uupuuzi wowote.

Utaifa isiwe kauli mbiu ya kuhubiri ujinga na kubeba mafisadi, nasema wazi kama zito ametetea kununuliwa mitambo ya dowans kalishwa asali.

Siamini kama Zito ni mbunge halafu haelewi saga hili la dowans.Kwa nini tuvunje sheria ya manunuzi ya umma kwa dowans kwanini tunune mali ambazo zilitutia hasara na tukasema mbovu. Zito ulitakiwa kabla hujaanza kutetea ueleze nini kipya kwenye hako kamradi ka wanasiasa dhidi ya wadanganyika.
 
Awali ya yote: HII MITAMBO MWANZONI KABISA SI TULIAMBIWA SERIKALI INAKODI TU NA SI VYINGINEVYO??

Mambo yanavyokwenda ama kweli inaonekana kuna mtu ambaye anaongoza idara / wizara kwa remote.

Of all the people we appended hope to (kwamba ni mtetezi wa maslahi ya Taifa) Zitto has let his calibre slide down.
Of all the people we appended hope to (kwamba ni mtetezi wa maslahi ya Taifa) Zitto has let his calibre slide down.

kijana bado yuko makini tusimtetereshe kwa hili ambalo wanaolipinga zaidi ni wabwatukaji na wapenda sifaa kisiasa...

kijana yuko sawa na anafuata ushauri wa kitaalamu sio hisia na SIASA ZA MAKUNDIIIIIIIIIIIIII
 
Sisemi mimi nasupport au kupinga ununuzi wa ile mitambo ya dowans. Ninachotaka ni kwamba tusiwe gizani na ndicho nadhani Zitto anakiangalia. Now the question ya how tunatakiwa kutokuwa gizani ndo pale serikali inatakiwa kuwa na wise decision ambayo ni ya haraka. Kila mtu anaweza kuja na pendekezo lake, mfano kuna jamaa wamesema mitambo inaweza kuja mipya for $39mn unlike kununua hiyo ya dowans for more than that ... that is a good idea but nani wa kuongoza huu mchakato ni Serikali na wataalamu wake. So tusimkaange sana zitto kwani naona yeye ametanguliza maslai ya taifa. Sion sababu ya kuendelea kupoteza muda na serikali yetu hii ambayo tayari wewe umeshaichambua hapo juu uozo wake...mimi nnachotaka ni umeme wa haraka kwan what we loose kwa kutokuwa na umeme ni mara dufu ya what we loose for buying the dowan thing. Niseme tu maslai yangu Mbele.

Hapa Kuna vitu viwili amabvyo ndivyo vinanipelekea kumtaka zitto atueleimishe zaidi maana I know he must have some objective reasons for his decision.

1. Uharaka wa umeme: Honestly speaking tuelimishwe how did this develop? Mtu yeyote anawezakufikiri kuwa uharaka huu umefanywa kutengenezwa kifisadi kupeleke kufikia lengo la kuharakisha ununuzi wa mitambo.

2. Tunaweza kuwa totaly wrong labda uharaka huo haukutengenezwa. If that is the case ...anybody Zitto ..et al ..Tuelimishene and take us out of the doubt that huo uharaka ni uharaka wa kweli na hauwezi kuwa solved na mitambo mingine...Isipokuwahiyo...

3. Makundi ya CCM: Yanaingilia the whole issue kimaslahi yao. Na kundi moja linajikuta likineemeka kulingana na tatizo lilivyojitokeza...but ni ufisadi kwenye background.

4. Leo Samwel ..Speaker wa bunge amejibiwa kwa namana fulani na Marmo... clearly imeonyesha kuwa kuna makundi mawili yanavutana "kwa faida yao" and ..I think "baadaye" ndio kwa faida ya Taifa.

Bado nafikiri Zitto see all thise and He has something to tell us... Kabala ya Kumhukumu 100%
 
Zitto anasema lazima tuangalie masrahi ya taifa......sasa kuna masrahi gani ya taifa kununua mitambo iliyo kuwa na harufu ya rushwa tayari maana ukipekenyua vizuri utaona DOWANS ndo hao hao RICHOMOND ila majina ni tofauti lakini watu ni wale wale wa kucheza deal.
Sasa tunaamini mh.Zitto umesha kula fungu la kumi hapo achilia mbali posho unazo pewa na TANESCO mkifanya vikao vyenu angali mh.Masrahi ya taifa haya tetewi hivyo muulize Mwakyembe atakupa deffinition ya DOWANS.
 
FP, ukiuziwa apple la ambalo aliyekuuzia amelipata kitapeli, ukakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria, utajitetea kwa kusema apple lile ni si chafu bali tapeli aliyekuuzia ndio mchafu?

Offcourse ndo maana mitambo haijashitakiwa wala kutaifishwa!.
 
Cost benefit analysis unaweza kuifanya vyema tu kama utatoa tender ambapo ndipo utapata all infiormation as current as they can be. Scenario II aliyotoa Kasheshe haina maana kuwa ni bado valid mpaka sasa. Huwezi kutumia data za zamani kufanya uamuzi wa sasa ikiwa una nafasi ya kupata data za karibuni. Eg. utafahamuje kama kuna new player ambaye ana gensets in stock as opposed to manufacturing them kama hutoi tender?

Kuhusu DOWANS as a potential Supplier, hakidhi uhalali wa kufanya biashara na serikali yetu tukijua kwamba DOWANS ni another face ya RICHMONDULI so doesn't qualify. Kwangu mimi, hakuna haja ya kufanya cost-benefit analysis akiwepo DOWANS as a potential bidder. Utakuwa WIZI mtupu wa kuhalalisha DOWANS.
 
Of all the people we appended hope to (kwamba ni mtetezi wa maslahi ya Taifa) Zitto has let his calibre slide down.

kijana bado yuko makini tusimtetereshe kwa hili ambalo wanaolipinga zaidi ni wabwatukaji na wapenda sifaa kisiasa...

kijana yuko sawa na anafuata ushauri wa kitaalamu sio hisia na SIASA ZA MAKUNDIIIIIIIIIIIIII

Sisi ndio washika dau wapiga kura walipa kodi tunaotetewa. hatuelewi nini kinapikwa atueleze basi ana tetea nini na huo umakini ni upi?
Sio kwamba tunaandika kwa ushabiki bali info za kutosha na tunauchungu mno na maisha yetu haswa pale tunapokabwa gizani kwa tamaa za wachache.

Kama ni ushauri wa kitaalamu amepewa na wafanyakazi wa tanesco ambao wamesha kula mgao wao kutoka kwa dowans, kumbuka mtaalamu wa umeme wa dowans na mshauri wao ni Mohamed saleh ambaye alikuwa ni mkurugenzi tanesco na alichukuliwa ili kuweka daraja safi kati ya dowans na tanesco waweze kucheza game vizuri. Sasa mimi nataka Zito aseme nini anatetea ili tuwekane sawa.Niliwahi kuongea na maenginia wa tanesco wakati wa kizazaa cha giza na richmunduli wakaniambia hili ni kasa.
 
FP,
Nimekupata point yako. Ila huoni kuwa ingelikuwa heri kwanza waanze kwa kuangalia ununuzi wa hiyo mitambo mipya? Kutokana na habari za Wapashaji ni kuwa kuna nchi/makampuni mengi yalikuwa yameweka order kwa watu kama GE na baada ya matatizo ya uchumi wamesema hawachukui. Mitambo hii ilishaisha na inasubiri tu kuletwa.

Sasa kama serikali ikisema "ikibidi mle nyasi na mle ila mitambo lazima ije" na waamuwe kukaa hizo kamati sijui ngapi na Tanesco na hao wadhibiti wa ununuzi na waweke mezani offer za hao watengeneza mitambo na hapo hapo/siku hiyohiyo waamue wakanunue kwa nani. Ikibidi hao watengenezaji waje wenyewe. Naapa kwa hela hii watakuja within 1 week. Wakija na bei zao na muda gani watahakikisha mitambo inafika basi kufika kwa mitambo kunaweza kuchukua mwezi 1. Ili muradi kila kitu kiwekwe wazi.

Sasa tukija kwenye sehemu itakayofikia. Nafikiri kwa sasa kuna building materials za aina nyingi sana na high class. Jengo la kuweka mitambo sidhani kama lina ugumu wa kujenga. Ukishaweka msingi na kutumia vyuma vinavyotengenzwa hapahapa Tanzania na mabati, basi kwa mwezi mmoja utakuwa umeshamaliza. Wakati huohuo itakuwa inafanywa instalation ya nyaya, mabomba na matangi ya Gas, ect.

Huo mtambo nafikiri ukiwaona Wa-Ukraine na dege lao (Antonov An-225 Myria) basi mtambo ni wiki moja unakuwa umetua Tanzania. Ukitaka kuliona hebu licheki mwenyewe hapa chini :- ANTONOV AN-225
 
Nashukuru kuwa tunao waongelea hapa mara NYINGI NI ZITTO na msimamo wa kamati yake ingawa Mwakyembe anasema ni maoni binafsi ya ZITTO.
Pia hii thread ina mtaka Zitto mwenyewe atoe kauli ya ufafanuzi kuhusu hili.
Kwakuwa ZITTO ni member wa JF na anaogopa magazeti kumnukuu vibaya,naomba Zitto ujibu hoja hizi au utoe ufafanuzi.Pia naamini hapa JF ina wanachama wa kada zote,naomba wanao husika na DOWANS NA TANESCO waandike humu wanayo amini na kutuelimisha.
 
Sikonge;

Kinachonishangaza na bado inanishangaza ni kuwa Dr Idrissa wala hakuleta/kusema mitambo alternative ingetugharimu shs au Usd ngapi. Hapo ndo na mimi naona kuna kisichoeleweka hapa.

Na ndo wananchi wengine nao wanatatizika. Lakini kwanini hawaji na mtambo mwingine wa kuulinganisha nao ili tujue kuwa tumeammua kuchukua wa Dowans kwasababu ya kuokoa muda?. kama tofauti ya bei itakuwa ndogo basi wa Dowans ni bomba.

Kumbuka mimi ni mchambuzi tu, sijaegemea upande wowote!

Regards

FP
 
FP,
Huo mtambo nafikiri ukiwaona Wa-Ukraine na dege lao (Antonov An-225 Myria) basi mtambo ni wiki moja unakuwa umetua Tanzania. Ukitaka kuliona hebu licheki mwenyewe hapa chini :- ANTONOV AN-225

Nimeliona hilo dege! Ni kubwa! Ila wasiwasi wangu ni kuwa litatua wapi? Uwanja wa Mwl Nyerere 😀?
 
Nimeliona hilo dege! Ni kubwa! Ila wasiwasi wangu ni kuwa litatua wapi? Uwanja wa Mwl Nyerere 😀?

Limeshatua sana Mwanza. Lilikuwa likija kubeba minofu na kuleta silaha (shii shii). Unaweza kuliona kwenye ile film ya MAPANKI.

Pia nafikiri wakati wanaleta mtambo mmoja kati ya hizo ilibidi walikodi lilete huo mtambo haraka. Pia ilivyozuka vita ya Rwanda na wakimbizi milioni 1 kuja Tanzania, hili dubwana lilileta msaada kwa wakimbizi kutoka kama sikosei USA. Hivyo hilo halina shida kabisa na marubani hadi wana nyumba ndogo Tanzania 🙂 Mhhh, wanaume bwana, maana hapa si Miafrika tena.
 
Back
Top Bottom