Hata yeye hili atakuwa analifahamu,ila nadhani hofu yake ni kama atakubali kubadili msimamo wake wa awali kwa sasa ni kwamba atakuwa anapigia mstari yale ambayo wachangiaji wengi wamekuwa wakimhusisha nayo(kidogodogo) so anajaribu spin za hapa na pale ili kulimaliza hili,hadi sehemu nyingine anasema kuwa mjadala kuhusu sheria umeisha!!Ati umeisha????Kwamba pajulikane kulikuwa/kuna ukiukwaji wa kanuni kisha aseme kuwa mjadala umeisha!?Mbona CHADEMA ktk lile la waziri kijana walikuwa wanasisitiza kuwa he has to GO!Msimamo wake tete umekuwa gharama kubwa sana kwa chama na taifa! Inasikitisha na kutisha.
jamani hivii hili la kununua mitambo ya dowans linawauma sana au kwa kuwa tuu linahusishwa na RA!!!!
Mimi binafsi sioni kosa la mh zitto kwani ameamua kuwa objective na mara nyingi yuko hivyo katika hojaa zake.
tuna madudu mengi ila tunakuwa selective katika kuyakemeaa...kwa nini?
mfano wizi mkubwa katika halmashauri zetu unaosababishwaa na watendaji wakishirikiana na wanasiasa (MADIWANI)...
Tuna bomu la IPTL,ATCL,TRL nk achilia mbali ubabaishaji wa TPA!!!!!!!!!!!!!!!!
JAMANI TUNAHITAJI KUSONGA MBELEEEE.
Nilidokeza jana tatizo la TANESCO ni zaidi ya hiyo mitambo ya DOWANS!!! Mfumo wa sasa wa uendeshaji wa TANESCO haukidhi mahitaji ya sasa. shirika hili LIFUMULIWE KISERA NA KIUTENDAJI.
Muswada ambao wabunge waliupinga kwa masilahi binafsi uliohusu uboreshaji wa sekta ya nishati naomba ujadiliwe upya katika hali ya uendelevuuuuuuuuuuuuuuu.
JANA KIKAO CHA RAISI NA WIZARA YA NISHATI NAONA AMEUNGANA NA MH ZITTO NA TANESCO!!!!! TUSUBIRI TUONEEEEEEEEEEEEE......
ningependa kufahamu ubadilishaji wa vipengele vya PPA 2004 ni mpaka bungeni au kuna vikao stahili (cabinet) au MKULU mwenyewe wanaweza kubadili kwa masilahi ya taifa???Hoja zako nzuri lakini nadhani Zitto amategwa na ameshaingia kwenye kamtego. Kwa si ndo yeye aliyemzodoa Pinda Bungeni kuwa nchi iongozwe kwa misingi ya sheria? Iweje Zitto juzi anukukuliwe akisema kuwa Sheria si Msahahafu na papo hapo katika hili la Tanesco na Dowans anapingana na Sheria?
JK kuungana na Zitto katika sakata la Mitambo ya Dowans si jambo la ajabu; kwani hujui kuwa mmliki wa Dowans ndiyo Mmiliki wa Kagoda AL? Umesikia Kagoda AL amepelekwa kortini kwa pesa za EPA wakati yeye ndiye kinara wa EPA? Hata ukiondoa hilo si unajua kuna mpango wa kununua mitambo ya IPTL? Sina hakika kama na yenyewe iliingizwa ikiwa mitumba au mipya lakini ni move ileile na ikiwa ni hivyo walfikishe kwanaz muswada wa mabadiliko ya sheria ya manunuzi ya Umma na wasikurupuke tu kama inavyoonekana hapa. Wapeleke muswada wa kubadilisha sheria ya manunuzi ya umma ili Bunge na Wabunge wote kwa ujumla wahusike au wanaogopa kugonga mwamba!
Temea chini..!!Hapana. Usikate tamaa na kukubali matokeo kirahisi hivyo. Rejea alichosema. Mpiganaji anaenda kuongeza uzamivu kwenye elimu. Analiachia jimbo lake kwa mpinzani. Mahesabu yake ni makali. Kati ya 2010 na 2015 anajijenga zaidi kitaaluma ili awe na uwezo wa kuchambua na kuhoji kila kitu kama Profesa wake Shivji. Kisha anarudi na gia mpya 2020.Sijui gia hiyo ya kuingilia itakuwaje ila inaweza ikawa chama kipya au muungano wa vyama. Huyo ndio Rais wako mtarajiwa. Jiandae kumpa kura yako ya ndiyo.
Itabidi upinzani na CCM waje mbele ya waandishi wa habari na watupe habari kamili na ikibidi live kwenye TV sababu hasa zilizopelekea wao kununua hiyo mitambo..
There's NO leadership in this country. Kila mtu anajisemea kivyake vyake tu🙁
Sheria ya manunuzi ya mwaka 2004 husomwa pamoja na kanuni zake, hii ina maana GN. No. 97 (THE PUBLIC PROCUREMENT (GOODS, WORKS,NON-CONSULTANT SERVICES AND DISPOSAL OF PUBLIC ASSETS BY TENDER) REGULATIONS, 2005; ni sehemu ya sheria hiyo kwa kuwa zimetengenezwa chini ya sheria husika na kutangazwa katika gazeti la serikali.
Kwenye kanuni hiyo hapo juu sehemu ya IV kifungu cha 58 (1)-(6), nina vinukuu hapa chini:
"58.-(1) For the purposes of these Regulations, motor vehicles and heavy plant include both fixed and movable plant such as engines, boilers, lories, motor cars, motor cycles,
tractors, road rollers, motor graders, etc.
(2) The ministry responsible for matters related to electrical, machinery and mechanical engineering shall prepare detailed and acceptable schedule of requirements and specifications which shall be made available to the Authority for use by the procuring entities when procuring for such items.
(3) Motor vehicles, heavy plant and spare parts to be purchased shall be brand new
(4) The Secretary to the Cabinet may, on the direction of the Cabinet and on the advise of the ministry responsible for matters related to electrical, machinery and mechanical engineering, determine the type, make and size of motor vehicles or other motorised equipment to be procured for official use of specified state officials or other senior government officer. After that determination, the Secretary to the Cabinet shall issue a circular specifying the type, make or
size of the preferred vehicles for that purpose.
(5) The preferred motor vehicles or other motorised equipment as determined under sub-regulation (4) of this Regulation, shall be procured either directly from the manufacturer of the said motor vehicles or through competitive quotations from reputable authorised local and international
suppliers or dealers of the specified vehicles.
(6) The procurement shall require the prior written approval of the tender board."
....................Well, tuendelee kujadili.