Wewe unakuwa muongo sasa na ninachukia sana uongo. Did you ask me to show where does the law allows? uongo kabisa huu. I challenged you guys to mention the section of the law banning used equips. You failed. I did show you its regulations and even mentioned the regulation. Ngereja came up to elaborate and quote the regulation. Kwa nini huwi mstaarabu kukubali uliposhindwa.
Eti umeambiwa na watu wa Idara. Idara gani hiyo iliyooza na kuruhusu ufisadi wote huu nchini. Idara gani hiyo ilishindwa kuzuia hiyo kampuni ya Richmond kupata mkataba ule. Idara gani hiyo iliyoruhusu fedha za EPA kuibiwa na kutumiwa na CCM kwenye uchaguzi? Idara gani hiyo iliyoshindwa kuzuia wizi wa MEREMETA na kumdnganya PM kuwa ni pesa za usalama wa taifa?
Kumbe ulikuwa unaambiwa na watu wa Idara ndio maana ulikuwa kama kasuku tu na kushindwa kujibu hoja zangu na badala yake unanitisha unadhain natishika. I am a man of facts and i succumb to facts. Sishindani.
Wewe unakuwa muongo sasa na ninachukia sana uongo. Did you ask me to show where does the law allows? uongo kabisa huu. I challenged you guys to mention the section of the law banning used equips. You failed. I did show you its regulations and even mentioned the regulation. Ngereja came up to elaborate and quote the regulation. Kwa nini huwi mstaarabu kukubali uliposhindwa.
Eti umeambiwa na watu wa Idara. Idara gani hiyo iliyooza na kuruhusu ufisadi wote huu nchini.
Mkuu Mh. Zitto, I won't get mad with ur allegations, I will let it slide.
Page 46 ya hii topic, permalink # 453 nilisema hivi::
""kwanza kabisa onus ya kuprove kwamba PPRA inaruhusu kununua mitambo chakavu ni ya kwako, wataalamu wa sheria wamesema kuwa PPRA 2004 hairuhusu kununua mitambo chakavu. Sasa wewe ndio utuambie kuwa PPRA inaruhusu kununua mitambo chakavu na vipengele vyake. Na pse usiongee mambo ya WAIVER maana hili waiver itoke kuna mengi ambayo ni nje ya scope ya hii issue.
Sasa wewe unataka kujustify kununua mitambo ya Dowans mpaka unaanza kuikemea PPRA ambayo imetungwa na BUNGE kwa ajili ya kutuokoa, ama kweli ishi uone. Sisi huku N America ukisikia watu wanasema sijui natumia constitution right yangu kutojibu maswali, huwa tunaconclude kuna walakini, na ukisikia wanasheria wanaingizwa kwenye mambo yanayohusu maslahi ya nchi na wanasiasa ujue tayari kunawalakini, na hapa ni hivyo hivyo.""
Ni hayo tu mkuu.
Tataizo hapa ni watu kushindwa kutambua wider implications za mgao wa umeme na kushikilia personal vendetta za akina Rostam etc. jambo ambalo halileti faida yeyote kwa nchi. Hebu jaribuni kuona mambo kwa mapana zaidi..
kamati ya nishati na madini misled the public na hasa inaposema turudi bungeni. NO. let the executive do its work and we do our work of oversight...next?
Wakuu suala la mitambo ya Dowans limejadiliwa mna na ktk threads mbali mbali humu jamvini. Personally nimeona ni vema tukawa na thread maalum kama mada isemavyo hapo juu. Hii ni kutokana kwamba Tanesco, Zito na kamat yake, na wale wote wanaotaka kutuaminisha kwamba ununuzi huo ni jambo la busara wanaegemea hapo.
1. Eti kuna mkaguzi kutoka ujerumani amekagua mitambo hiyo na kuiona ni ok na mingine ni mipya ikiwa imetembea for only 400 hrs.
2. Eti mitambo hii itaweza kutembea kwa miaka 13 bila kufanyiwa overhaul.
Ningependa kuanza na huyu the so called mkaguzi:
1. Anatoka kampuni gani?
2. Ana qualifications gani?
3. Ana uzoefu gani na kazi kama hii na amewahi kutumika wapi na kampuni zipi?
4. Ana bima yeyote inayotulinda iwapo ikigundulika alituingiza mkenge?
5. Anatambuliwa na Pratt and Whitney kama mkaguzi wa mitambo yao i.e is he a certified inspector?
6. Mtaalamu huyu aliletwa na Dowans au Tanesco na ni lini alianza kuwa contacted?
7. Kama ni Tanesco nini kilipelekea Tanesco kumuita mtaalamu huyu? Ina maana walikuwa na nia ya kununua mitambo hiyo kabla hata ya kuangalia taratibu zingine?
8. Alifanya kazi hiyo ya ukaguzi kwa muda gani?
9. Alitumia method gani kufanya uhakiki?
10. Tanesco ilimpataje mkaguzi huyu? Wangapi waliapply?
11. Je Tanesco ipo tayari kutoa ripoti ya mkaguzi huo?
12. Wakati wa ukaguzi Tanesco iliwakilishwa na nani? Na Dowans pia na nani?
13. Je mtaalamu huyo amewahi kuifanyia kazi yeyote Tanesco au Dowans before?
Well I know some of you might think we are now going in circles on this SAGA.
Lakini vijiswali hivi ni rahisi na vinaweza kujibiwa na Idris au mtaalam yeyote wa Tanesco aliyehusika na mchakato huu in just 10 mins tena bila hata kusoma mahali for any smart kiongozi. Cha msingi hapa na nia ya maswali haya ni kujiridhisha na kamchakatohaka kanakoonekana kujustfy ununuzi wa mitambo hii.
Pia kuna hili la mitambokuwa mipya na eti mingine imetembea masaa 400 tu. Ikumbukwe kuwa mitambo in this new tecnlogical era hauijaji kwa time based bali condition based. That applies kwenye hili la kwamba mitambo hii haitakuwa overhualed in 13 yrs. Nikiwa kama muhandisi hii sentensi naona imekaa kisiasa zaidi kwani overhauling pia ni condition based and not time based. How do you sell me an equipment and tell me it won't be overhauled in so many yrs? Nchofahamu hapa huyu jamaa atakuwa alikuwa nazungumzia PM (Preventive maintenance) ambayo inaweza kuwa say kuna za daily, monthly, yearly na labda hiyo ya say after every 5 or 10 or even 20 yrs fungua hiki au kile angalia pale na hapa. Hii ni staili ya zamani ya maintenance. You don't have to just overhaul a machine et kwa sababu imetembea masaa 100, 000. (Anyways anayehitaji ziada ya hii I am ready to debate ). Ninachoshangazwa hapa ni how huyu mkaguzi ali come up na hiyo miaka 13 -tena kwa mtambo iliyotumika?
Haya yote yanakuja just because historia ya kampuni hii formely known as Richmond ina utata. Tanesco pia ni watata, serikali ni watata. Hivyo basi kuna kila haja Tanesco itoe press release ya kuelezea mtaalam huyu namaswali hapo juu. Si mnakumbuka hata Richmond waliatuambia wamekubaliana na Pratt and Whitney kushirikiana kuzaisha zile 100 MW? of which they any written doc to support that. Sasa hili la mtaalamu mjerumani tunaaminije kirahisi rahisi? Tunamuaminije kirahisi rahisi Dr. Idris wakati ana questionable credibility? Tunaiaminije Tanesco kirahisi rahisi wakati imekuwa ikitudisapoint thousands of times?
Ni kweli Nyambala kuna vingi vya kuangalia, hiyo miaka 13 haijitoshelezi, angesema labda kwa mfano kuwa ameona katika ukaguzi wake kuwa mitambo inaweza kufanya kazi bila kufanyiwa overhaul kwa masaa, kama 56,940hrs na kutoa mchanganuo kuwa out of (one year)8760hrs kwa mwaka mitambo itafanya kazi 50% of the one year hrs, ambayo itakuwa masaa 4380hrs kwa mwaka.kwa hiyo ukichukua masaa 56,940hrs gawanya kwa 4,380hrs unapata hiyo miaka 13.. Hiyo haitoshi huo ni mfano mdogo sana wa ufafanuzi
Ishara kuwa mpambanaji katutoka alishaziweka wazi, pitia thread polepole. Binafsi, nilitakiwa kunawa mikono alipotangaza kuwa yuko kwenye kipindi cha lala salama.Kwa maana hategemei kura zenu wananchi 2010, approval ratings hazina tena maana, sababu hana mpango wa kurudi bungeni. Hivi bado hamuelewi hio message???.... Anataka kustaafu afanye kazi anazozipenda hata kama hazilipi.
Kama atakusikia vile.....
Mwenzio keshasema huko kugombea ubunge haji tena,anaenda kufundisha.So suala hapa ni kuwa anaweza kuivuruga perception ya wananchi kuhusu upinzani kwa ujumla!Anataka wakutane kamati mbili ili waondoe mvutano wao(ikumbukwe kuwa kamati ya nishati na madini waliionya serikali kuhusu mitambo ya Dowans),papo hapo anasema yeye hakuwa anaipigia debe mitambo hiyo!Sasa mvutano uliokuwepo ni upi hasa???Sheria si zipo,kwanini zisichukue mkondo wake na tukapata mitambo mipya na guarantee.Alianza kwa kuongea kuhusu nchi kuingia gizani,ila baada ya waziri kusema tofauti naye amekuwa kinyonga.Hivi anadhan tumeshasahau yale aliyoyasema TBC1 kuhusu faida za kununua mitumba hiyo?Hakika inawezekana Mwl aliona mbali sana aliposema kuwa upinzani wa kweli utatoka CCM.Maana hawa wengine washatuonyesha rangi zao mapema.Im totally disappointed by the opposition(CHADEMA) on this.
Hayo ni mawazo yako binafsi...Wengine wana mawazo tofauti kabisaaa!Mh. Zitto, unasifika kwa msimamo usiyoyumba lakini huo msimamo katika hili la TANESCO na Dowans-Richmond ni batili kabisa.
Hayo ni mawazo yako binafsi...Wengine wana mawazo tofauti kabisaaa!
Mitambo ya Dowans iko Tanzania kwa sasa, installed, tested and commissioned. Kama Tanesco itaweza ku-negotiate a good deal na Dowans, why not kuinunuwa? Imagine, tatizo la kusubiri kwenye kiza kipindi kisichopunguwa mwaka cha kuanza uchambuzi, uagizaji, ufungaji, majaribio hadi kuikabidhi kwa Tanesco....Duhh. Nadhani hapa inabidi tuinunuwe hii ya Dowans tu. Tena nna uhakika itakuwa kwa bei poa.