jaji joseph warioba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Joseph Warioba ajibu maswali magumu kutoka kwa waandishi Jenerali Ulimwengu na Khalifa Said

    10 May 2026 Jaji Warioba Aongea: Ripoti ya Chande, Maridhiano, Katiba, Aonya Kuzuia Mawazo: Watanzania Wanaogopa https://m.youtube.com/watch?v=sZv8yMHKNII Mazungumzo haya yalifanyika mnamo Mei 09, 2026, ambapo Jaji Joseph Warioba aliweza kupokea maswali kutoka kwa Mzee Jenerali Ulimwengu na...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Bunge la 12 lilikuwa dhaifu kuliko yote yaliyopita. Walikuwa Machawa, wanataja Rais kuliko mambo yao muhimu. Hili pia litakuwa dhaifu

    Akihojiwa na Gazeti la Jamhuri, Waziri Mkuu Mstaafu/Makamu wa Rais na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu, Jaji Sinde Warioba amesema Bunge la 12 lilikuwa ni bunge dhaifu kwelikweli kuliko mabunge ambayo tuliwahi kuwa nayo Tanzania. Amebainisha kuwa lilikuwa ni bunge lililojaa uchawa na...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Samia akutana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba, Ikulu Jijini Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Napendekeza iundwe serikali ya mpito itakayoongozwa na Jaji Joseph Warioba ndo tuende kwenye uchaguzi

    Kwa wanaoitakia mema Tanzania, nashauri tuwe wakweli. Serikali ya sasa ni batili na haramu. Hivyo, nashauri tuunde serikali ya mpito kama walivyofanya Bangladesh na Nepal ambapo serikali ya mpito itasimamiwa na mtu mwenye udhu kama Jaji Joseph Warioba. Hatuhitaji kuletewa na Machawakwera...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira azijibu hoja za Mzee mwenzie Jaji Warioba kabla ya kujibiwa na Tundu Lissu

    Hellow! Si vyema kupoteza muda kuomba mtanange na mjukuu wako TUNDU Lissu aliye upinzani ilhali ndani ya chama chake anaye Mzee mwenzie, hasimu wake tangu unajanani waliyewahi kugombea Jimbo la Bunda mjini Mzee Warioba. Kikao Cha TUNDU Lissu na Mzee Warioba ni BUSARA za Mwenyekiti wa CHADEMA...
  6. musicarlito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM huwa mnawatumia akina Butiku na Warioba kwenye kuimarisha chama?

    Mara nyingi wazee hawa wakitoa neno kwa nia njema ya kuboresha, wamekua wakibezwa na wakati mwingine hata kukogeshwa matusi, wengine wamewahi kupigwa pia Chama sasa miaka yetu hii imekua ni mwamvuli wa kupiga/ kuhujumu nchi kwa maslahi binafsi...ndio maana utakuta vijana (akina Jaji Sinde...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba angefaa kuwa Rais baada tu ya Mzee Mwinyi: ingesaidia kuandaa viongozi

    Kuna namna tulikosea katika mchakato wakuandaa viongozi. Wakina Mzee Warioba walipoamua kujiweka kando baada ya mwalimu kung'atuka ilikuwa kosa kubwa sana. Nchi haikuhitaji urais wa majaribio tena bali ilitakiwa inapata viongozi kwa merits. Kinachoendelea sasa hivi toka amalize muda wake mzee...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nchi ina wazee wawili tu kwa sasa?

    Kutokana na umri wao, uzoefu wao, na majukumu ya kitaifa waliyowahi kuwa nayo nchini, baadhi ya wastaafu wa kisiasa wana hadhi ya kutambulika kama wazee wa Taifa! Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, ni wazee wawili tu: Jaji Joseph Warioba na mzee Joseph Butiku ndiyo wamekuwa wakisikika wakishauri...
Back
Top Bottom