Nimefurahishwa sana,huu ndio uzalendo,hata kama kweli pesa zote zilikuwa za iptl or whatever we can call it,kwa nini hata kodi ya serikali haijalipwa?Nikimuona kijana kama Lusinde aka Kibajaji anavyoongea napata shaka sana na kizazi hiki,naumia sana rohoni,yuwapeleke wapi watoto wetu?Hivi kweli Pinda na wewe una uchungu na nchi hii au ni msaka tonge?Funikeni kombe mwanaharamu apite lakini kuna siku yaja.
Don't shout. ArgueMbowe Alichukulia zake mombasa
Nimependa mchango wa Mbowe, ni maneno mazuri ya ujenzi wa taifa letu.
Mbowe ameongea maneno ya hekima sana.
I am 78% unemployed, kazi ipo wapi?
Nimependa mchango wa Mbowe, ni maneno mazuri ya ujenzi wa taifa letu.
Jamaa kapiga speech bunge lilitulia kimya utafikiri mwanamke aliyemaliza kuingiliwa na kufikishwa kileleni, hata sisi mbwa huku mtaani hatukubweka kabisa. Ahsante Mbowe.
Don't shout . ArgueHana lolote ,cbir kesho atakavyolaluliwa hon, Mwigulu Mchemba, Mtatia akili
Ccm mtawajua tu...palipo na ukweli mnageuza uongo.Hii laana itawatafuna hadi vilembwe vyenu
= Lazima
= tumbiri
Hana lolote ,cbir kesho atakavyolaluliwa hon, Mwigulu Mchemba, Mtatia akili
Hivi jamani yule mama wa ccm ambaye alisimama anaitwa nani?Ni mbunge WA wapi? Nimesikitishwa sana hivi ccm wanatumia vigezo gani kupata wabunge WA aina hii. Wananchi wa eneo analotoka huyu mbunge nataka niwajue. Hakuna mbunge hapa.
Ajuza mwaka huu watakukoma