Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,203
- 138,577
Mbowe alituliza ushabiki wote,bunge likatega masikio
Mbowe anauwezo Mkubwa sana. Mbowe pekee ni serikali yote ya jk plus mafisadi wote kwa akili
Don't shout argue.mbowe ni sifuri, hamna kitu pale
mbowe ni sifuri, hamna kitu pale
Muheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA na Mwenyekiti wa Kambi Rasmi ya Upinzani Ametoa facts ambazo Kama Taifa ni Funzo kubwa sana. Thanks Mbowe WAzalendo wote tupo nyuma yako mpaka hili jambo lifike mwisho

Jamaa anajua kugusa panapostahili......nilikuwa nawangaalia wabunge wa CCM wakimfuatilia kwa makini nikajua pini zinawaingia vya kutosha.
Mbowe ameongea maneno ya hekima sana.
mbowe ni sifuri, hamna kitu pale
Mbowe nimemkubali, na Kafulila. mibunge ya ccm ni bogus inaropoka tu haina point
Mbowe nimemkubali, na Kafulila. mibunge ya ccm ni bogus inaropoka tu haina point
ila asubuhi alikuwa amepania sana,Namsifu kwa kwenda kulingana na hali ya upepo unavyovumaDaaaah! Mh. Mbowe ameongea Kizalendo sana. Sielewi CCM ni watu wa aina gani. Hawataki kabisa kuitetea nchi hii dhidi ya wahalifu wanaoifilisi nchi.
Wana mioyo migumu sana, wanatumia nguvu nyingi sana kuficha uozo.