barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Yule Mama kanifurahisha sana. Simuiti Mh. Yaani yupo mjengoni halafu hajui kinachoendelea!! Hawa watu wanachaguliwaje jamani tena anadai ni mjumbe wa kamati ya madini!!!!
Nami nimeshikwa na butwaa kuwa yule mama ni mjumbe wa kamati ya madini. Yeye na yule Ndasa sijui, wamejitambulisha pia kama wajumbe wa bodi ya nishati na madini, kweli kwa hoja kama zile??? Si ajabu mikataba yetu upande wa madini ni mibovu!