Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Haumjui vizuri Ritz.
Ninaye Mjua mimi ni Ritz anayesimamia Kweli.
Haumjui vizuri Ritz.
Hivi jamani yule mama wa ccm ambaye alisimama anaitwa nani?Ni mbunge WA wapi? Nimesikitishwa sana hivi ccm wanatumia vigezo gani kupata wabunge WA aina hii. Wananchi wa eneo analotoka huyu mbunge nataka niwajue. Hakuna mbunge hapa.
Mbowe nimemkubali, na Kafulila. mibunge ya ccm ni bogus inaropoka tu haina point
Nimefurahishwa sana,huu ndio uzalendo,hata kama kweli pesa zote zilikuwa za iptl or whatever we can call it,kwa nini hata kodi ya serikali haijalipwa?Nikimuona kijana kama Lusinde aka Kibajaji anavyoongea napata shaka sana na kizazi hiki,naumia sana rohoni,yuwapeleke wapi watoto wetu?Hivi kweli Pinda na wewe una uchungu na nchi hii au ni msaka tonge?Funikeni kombe mwanaharamu apite lakini kuna siku yaja.
Nimependa mchango wa Mbowe, ni maneno mazuri ya ujenzi wa taifa letu.
Hamjasema kasema nini. Wengine tulikuwa mbali na radio wakati Mbowe anaongeSiku zote namkubali mbowe, lusinde alimgusa lakini hajaangaika nae. Huwa anaongea kiuzalendo zaidi, maana ccm wote walikuwa kimya.
Mkuu leo mbowe kaongea nini hadi kakukuna?Nimependa mchango wa Mbowe, ni maneno mazuri ya ujenzi wa taifa letu.
Kumbe la saba.. ndo maana kwani aliambiwa kodi ilikuwa waved na AG nadhani hakuelewa akaendelea kusema TRA wakakusanye hela yao.... shame on her..... Viva Mhe. MBOWE... Mungu akutangulie na ahsante kwa kulitendea haki taifa letu... ahsante sana mkuu...Yule mama alikuwa mwl mkuu wa shule ya msingi Rangi tatu mbagala huko!!sio mbuge wa kuchaguliwa ni wale wa viti maalum.Elimu yake ni darasa la saba.
Mbowe nimemkubali, na Kafulila. mibunge ya ccm ni bogus inaropoka tu haina point
Mbowe Alichukulia zake mombasa
mbowe ni sifuri, hamna kitu pale
Mbowe nimemkubali, na Kafulila. mibunge ya ccm ni bogus inaropoka tu haina point