Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 990
- 1,190
Mbowe nimemkubali, na Kafulila. mibunge ya ccm ni bogus inaropoka tu haina point
Hee! Hadi na wewe nawe una macho ya kuona leo...!
Mbowe nimemkubali, na Kafulila. mibunge ya ccm ni bogus inaropoka tu haina point
Mbowe anauwezo Mkubwa sana. Mbowe pekee ni serikali yote ya jk plus mafisadi wote kwa akili
sante,kumbe pa kuelewa unakubali eeh,next tym acha kushikiwa akili sasa
Mbowe anauwezo Mkubwa sana. Mbowe pekee ni serikali yote ya jk plus mafisadi wote kwa akili
Wacheni upuuzi fanyeni kazi
Sijui ccm maslahi wanafikiri kwa kutumia nn kamati ni ya bunge, wajumbe kumi na Tisa 19 kutoka ccm na watano kutoka upinzani, walikubaliana kwa kauli moja moja kama taifa wakeleta maazimio, sasa yule mama anasema ccm haiwezi kuanguka, ccm itashinda, ukiwa na mzazi kama huyu ni hasara kabisa
kama hujaona aliloongea mbowe basi we ni negative kabisa
Mchango wa Mheshimiwa Freeman Mbowe ni mchango bora kabisa ulio kuwa kwenye viwango vya hali ya juu kwenye mjadala wa leo, hoja murua zilizo chagizwa na vielelezo ambavyo vilimuacha hoi AG na akabaki kutikisa kichwa kukubali.
Ukifuatilia wabunge wengi wa CCM waliopayuka jana wana uhusiano na kamati ya nishati na madini. Nadhani unaelewa kwanini walipayuka vile.....Nimesikitishwa sana na au umbumbumbu au ushabiki au ujinga wa wabunge wa CCM waliochangia
Inaonekana wazi kuwa walikuwa wameambiwa na chama nini wakiseme ndani ya bunge leo.
Hili suala la watawala kufikiri kuwa Watanzania ni Mabwege ni muhimu kulitafutia dawa.
Huelewi hata unachozungumza wewe, akili gani aliyonayo? Mbona ameshindwa kuwasaidia wananchi wa jimbo lake kuhusu mahindi ambayo tani 15,000 za mahindi zimeharibika?
Wacheni upuuzi fanyeni kazi
Kiongozi nashukuru kwa kunipatia jina la yule mdada nimekuwa nikitafuta kwa nguvu kubwa kumbe anaitwa mariam msangi. Ahsante Ahsante