MBOWE AMEFUNIKA,,,,,,,,, LUSINDE kijana mzima kwenye suala lenye maslahi ya taifa anaimba taarabu kama wa kike bwana,,,, watu wanamna hii ni hatari sana kwa taifa ( watu hawa tunawapata kwenye movie za kihindi huwa ni wale vimbelembele wa bosi na kazi yao ni kumchekesha bosi)
hamna siku ambayo nimemdharau lusinde kama leo, mwanaume hupaswi kuwa vile kwenye mambo ya msingi, ni bora ukakaa kimya tu kuliko kubwabwaja kama muimba taarabu a.k.a ISHA MASHAUZI...
taifa linateketea wewe unaleta mzaha na cheap politics zako..
MBOWE SHUKRANI SANA KWA KUONYESHA UKOMAVU NA KUONYESHA UNAJALI WATU WAKO,,, FACT ZAKO NI MUHIMU KWA TAIFA HILI!!!!! UBARIKIWE NA WATANZANIA WOTE TUMEONA MCHANGO WAKO HONGERA SANA!!!