Don't Shout Argue - Mbowe ameitendea haki falsafa hii

Don't Shout Argue - Mbowe ameitendea haki falsafa hii

Muheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA na Mwenyekiti wa Kambi Rasmi ya Upinzani Ametoa facts ambazo Kama Taifa ni Funzo kubwa sana. Thanks Mbowe WAzalendo wote tupo nyuma yako mpaka hili jambo lifike mwisho

Nina sikia furaha kuwa na mwenyekiti wa chama kama mbowe! He is matured in leadership and politically. Very clear comments with no political biaseness.
 
Mbowe ni jembe ametoa data halisi ila sasa hawa wa ccm wakipitisha tufanyejeeeeeee wananchi nupeni jibu
 
Ile barua ya AG ya kumruhusu mwanasheria wa TANESCO kwenda Malaysia waliisahau
 
Hivi jamani yule mama wa ccm ambaye alisimama anaitwa nani?Ni mbunge WA wapi? Nimesikitishwa sana hivi ccm wanatumia vigezo gani kupata wabunge WA aina hii. Wananchi wa eneo analotoka huyu mbunge nataka niwajue. Hakuna mbunge hapa.
 
Mbowe ni jembe ametoa data halisi ila sasa hawa wa ccm wakipitisha tufanyejeeeeeee wananchi nupeni jibu

Mkuu mbowe ameshasema watatumia wingi WA ujinga Wao bungeni Na kwa kuwa kanuni za Bunge Ni wengi wape obviously watapitisha kuwa hakuna ufisadi uliofanyika. Kazi tunaytakiwa kuifanya Mimi Na wewe Na wengine Ni kwenye ballot box. Tuwaelimishe wenzetu ambao bado hawajazinduka kuwaondoa Hawa majambazi kwenye uongozi WA nchi hii. This is our country tutaamua nani tunamtaka atuongoze .
 
Daaaah! Mh. Mbowe ameongea Kizalendo sana. Sielewi CCM ni watu wa aina gani. Hawataki kabisa kuitetea nchi hii dhidi ya wahalifu wanaoifilisi nchi.

Wana mioyo migumu sana, wanatumia nguvu nyingi sana kuficha uozo.

Tatizo CCM wanaongea.kishabiki wakati watu wamechukua fedha kwa sandarusi. Tunawasubiri mwakani.
 
Ukweli uwekwe mbele Jamaa kashusha point bunge Zima kimyaaa.
Alichosema Mbowe leo kuna siku CCm watakumbuka nchi nzima watu wote masikio Dodoma watu wamefurika kwenye maredio tv wanafuatilia mjadala na wanaelewa mambo yaliyotokea
 
Jamaa anajua kugusa panapostahili......nilikuwa nawangaalia wabunge wa CCM wakimfuatilia kwa makini nikajua pini zinawaingia vya kutosha.

Kusema ukweli kati ya wabunge waliochangia bila jazba ni Mh Mbowe. Naona kila siku anazidi kukomaa kisiasa.
 
Mimi nimefurahishwa sana na michango ya Waheshimiwa , Lissu, Mh Mbowe na Kafulila. Hawa jamaa wanaongea wakijua wanaongea mini, wana documents za kukazia wanacho ongea. Wanaongea kwa uchungu wa Watanzania.
Silinde Kibajaj alianza vyema sana ila mwisho ushabiki ukamzidi kaanza kupayuka. Anatakiwa kujua kwamba kuwajibika ni wajibu sio lazima awe ametajwa mahali. Kuna mama kaongea kama yukokwenye klabu ya taarabu. Hivi wabunge wa Ccm wenye akili wameisha hadi wanaweka vituko? Wanaleta utani kwenye vitu serious??
Niombe tu kwamba hili jambo lina interest ya Watanzania la sivyo hatutaelewa

Watanzania hawajui maana ya kuwajibika. Wanadhani ni mpaka ukamatwe on the spot ukiiba ndo utawajibika. Hawajifunzi kutoka kwa wenzao.
 
Mbowe kiboko kazungumza kwa evidence mpaka Werema,mama Waziri wa fedha wamekubali hoja zote
 
Mbowe nimemkubali, na Kafulila. mibunge ya ccm ni bogus inaropoka tu haina point

Kweli Mungu yupo tanzania, ni wew laki au ni mwingine anae comment point za mashiko ivi. Nakuomba sana uwaambie na kina msalini big.in n.k wa amke kumekucha nuru inatawala na kufukuza giza la ccm tz sasa. Ubarikiwe laki na Mungu akujalie moyo huohuo.
 
Mbowe ametoa somo kubwa sana kwa Wabunge wote na watanzania kwa ujumla. Na ameonyesha Kiongozi na uongozi kwa maana wanaosimamia Rasilimali za Taifa wa behave namna gani. Thank you Mbowe.
 
]Sijui ccm maslahi wanafikiri kwa kutumia nn kamati ni ya bunge, wajumbe kumi na Tisa 19 kutoka ccm na watano kutoka upinzani, walikubaliana kwa kauli moja moja kama taifa wakeleta maazimio, sasa yule mama anasema ccm haiwezi kuanguka, ccm itashinda, ukiwa na mzazi kama huyu ni hasara kabisa[/
 
Mkuu hilo ndo susla la kila mtu, itabidi Mkulu atumie uzoefu wake wote wa kisiasa kurudisha imani.

Kwa hali ilivyo unadhani atafanikiwa? Angalia hata michango kwenye jukwaa wale ambao walikuwa wanasapoti serekali sasa wako against.
 
Sijui ccm maslahi wanafikiri kwa kutumia nn kamati ni ya bunge, wajumbe kumi na Tisa 19 kutoka ccm na watano kutoka upinzani, walikubaliana kwa kauli moja moja kama taifa wakeleta maazimio, sasa yule mama anasema ccm haiwezi kuanguka, ccm itashinda, ukiwa na mzazi kama huyu ni hasara kabisa

Yule Mama kanifurahisha sana. Simuiti Mh. Yaani yupo mjengoni halafu hajui kinachoendelea!! Hawa watu wanachaguliwaje jamani tena anadai ni mjumbe wa kamati ya madini!!!!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Mbowe nimemkubali, na Kafulila. mibunge ya ccm ni bogus inaropoka tu haina point

Ah! Siamini kuna mtu umempa password yako.Ama kweli usilolijua ni isiku wa giza karibu Kwenye UTAIFA na UZALENDO kwanza mengine baadaye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom