Don't Shout Argue - Mbowe ameitendea haki falsafa hii

Hivi jamani yule mama wa ccm ambaye alisimama anaitwa nani?Ni mbunge WA wapi? Nimesikitishwa sana hivi ccm wanatumia vigezo gani kupata wabunge WA aina hii. Wananchi wa eneo analotoka huyu mbunge nataka niwajue. Hakuna mbunge hapa.

Una maanisha mama mmoja mwl.aliyesema 300bn -700bn=0,jina kama Mariam Msangi kama sijakosea,atakuwa viti maalum kutoka jiji kubwa kabisa Tz.

Ujue nimegundua kitu,vyama vya siasa ni mhimu sana kuwa na watu kama huyu mama,pamoja na kutokujua anachoongea lakini watu kama hawa hawezi ona aibu kuongea chochote atakachoambiwa hata kama hana uelewa hata kidogo suala husika.

Pamoja na Deo Filikujombe kutoa taarifa kwamba kodi ilisamehewa na AG,mama huyo alizidi kukazia eti kuwa TRA waende wakachukue tu kodi sababu alijicomiti
 
Jamaa kapiga speech bunge lilitulia kimya utafikiri mwanamke aliyemaliza kuingiliwa na kufikishwa kileleni, hata sisi mbwa huku mtaani hatukubweka kabisa. Ahsante Mbowe.

Hii ni kashfa, mwanamke anaingiaje hapa? Wengine tunawaheshimu sana wanawake-mama, dada, na wake zetu.

Nadhani ile kauli ya Ndassa, ingawa alizungumza upuuzi, inakuhusu sana.
 
Wanaojua kusoma na kuandika tu. Ndo matokeo yake hayo.

We sema tu hivo wakati humu kuna wanafunzi wake wanamwaminia kwa nondo.

Lakini inawezekana hawakumpa ripoti,iweje awemo bungeni halafu asijue yaani hata anajadili nini huyu mama mwl.s/m kama anavojiita..!
 
Hana lolote ,cbir kesho atakavyolaluliwa hon, Mwigulu Mchemba, Mtatia akili

Kawaulize usiku wa kuamkia Alhamis ktk kikao cha wabunge wa ccm palitokea nini kati ya Ñchemba na Wasira? Home work
 
Hivi jamani yule mama wa ccm ambaye alisimama anaitwa nani?Ni mbunge WA wapi? Nimesikitishwa sana hivi ccm wanatumia vigezo gani kupata wabunge WA aina hii. Wananchi wa eneo analotoka huyu mbunge nataka niwajue. Hakuna mbunge hapa.

Pia nahitaji kumfahamu yule mdada, kanisikitisha sana kuwa eti ni mbunge wa watu. Upeo mdogo kuliko hata madogo walio chora zombi kwenye paper lao la form 4.
 
Hii ni kashfa, mwanamke anaingiaje hapa? Wengine tunawaheshimu sana wanawake-mama, dada, na wake zetu.

Nadhani ile kauli ya Ndassa, ingawa alizungumza upuuzi, inakuhusu sana.

Mwanamke kuingiliwa na kufikishwa kileleni ni haki ya kuzaliwa, sasa tunapopigia chapuo haki za wanawake we unaona kashfa basi wewe ni mwendawazimu
 
Freeman hana shida ndogondogo. Huku kwetu ametununulia caterpillar na ambulance. Kwa pesa yake kutoka kwake au wafadhili. Hivyo msicheze Naye anajua shida zinazowakabili wananchi.
 
Woh! kumbe unatokea nyumbani sio?
 
Jimboni kwake mh. Mbowe kanunua caterpillar na ambulance kwa pesa zake za biashara kama wafadhili wake lkn sio hiyo mijizi haioni huruma
 
Freeman hana shida ndogondogo. Huku kwetu ametununulia caterpillar na ambulance. Kwa pesa yake kutoka kwake au wafadhili. Hivyo msicheze Naye anajua shida zinazowakabili wananchi.
 
Mbowe pamoja na elimu ndogo aliyo nayo ame mwaga fact, akika jamaa amejitofautisha na viongozi wengi wanao jadili watu badala ya vitu. hongera mbowe, japo mm sio chadema, mbowe kwa mara ya kwanza nime kuunga mkono.
 
Una maanisha mama mmoja mwl.aliyesema 300bn -700bn=0,jina kama Mariam Msangi kama sijakosea,atakuwa viti maalum kutoka jiji kubwa kabisa Tz.

Ujue nimegundua kitu,vyama vya siasa ni mhimu sana kuwa na watu kama huyu mama,pamoja na kutokujua anachoongea lakini watu kama hawa hawezi ona aibu kuongea chochote atakachoambiwa hata kama hana uelewa hata kidogo suala husika.

Pamoja na Deo Filikujombe kutoa taarifa kwamba kodi ilisamehewa na AG,mama huyo alizidi kukazia eti kuwa TRA waende wakachukue tu kodi sababu alijicomiti

Kiongozi nashukuru kwa kunipatia jina la yule mdada nimekuwa nikitafuta kwa nguvu kubwa kumbe anaitwa mariam msangi. Ahsante Ahsante
 
Siku zote namkubali mbowe, lusinde alimgusa lakini hajaangaika nae. Huwa anaongea kiuzalendo zaidi, maana ccm wote walikuwa kimya.

Hata yule interahamwe wa Shinyanga aliyepata ubunge kwa kumtoa roho bwana Shelembi,alijaribu kumvaa,lakini hakufua dafu,aibu ikawa kwake,dah.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom