kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 17,646
- 14,792
Mazee! Hata uwe na pesa kiasi gani, kuoa mwanamke aliyekuzidi urefu i mean urefu wa kimo pamoja na elimu lazima akusumbue na utaibiwa sana.
Hii ishu kubwa sana kwenye ndoa ni wanawake wachache sana wanaoweza kuwavumilia wanaume wafupi na ambao wamewazidi elimu.
Na ni vitu vinavyoweza kuepukika.
Nadhani niko sahihi, karibu kama una hoja.
Hii ishu kubwa sana kwenye ndoa ni wanawake wachache sana wanaoweza kuwavumilia wanaume wafupi na ambao wamewazidi elimu.
Na ni vitu vinavyoweza kuepukika.
Nadhani niko sahihi, karibu kama una hoja.