Natafuta mwanamke wa Kitanzania nifunge naye ndoa

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
6,843
12,612
Hamjamboni wanajukwaa la Love Connect? Hope mnaendelea vizuri na majukumu yenu.Moja kwa Moja a ha niende kwenye mada husika.

Mimi Ni mkenya na ninaishi jijini Nakuru sehemu nakofanyia kazi.Kiukweli nimetamani Sana siku nyingi kuoa mwanamke wa Kitanzania na ndo maana leo nimekuja humu jukwaani kujaribu Bahati.Zifuatazo Ni sifa zangu;

Age: 27yrs
Tribe: Luhya
Education: Barchelor Degree in Journalism & Mass Communication
Occupation: Standard Media Group( Blogger & news reporter),pia Nina biashara kadhaa zinazoniingizia kipato
Salary: 42,000 Ksh per month
Height: 6.57 feet
Complexion: Black( weusi wa wastani)
Hobbies: Reading novels & playing football
Religion: Christian
HIV status: -Ve
Ad.traits: Iam an alpha male with an alpha mindset and also a semi- introvert ( sio muongeaji Sana)

Nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo;
Umri:24- 26 yrs
Elimu: kuanzia form 6 kwenda juu
Rangi: mweupe wa wastani
Dini: mkiristo
Kabila: mchaga au mmeru
Kazi: sio lazima awe na kazi ila awe na uwezo wa kuendesha biashara( Niko tayari kumpa mtaji wa kufungua biashara)
Kimo/ urefu: futi 5.8- 6.5
Hali ya HIV: - Ve
Sifa za ziada: Awe na hofu ya Mungu,muaminifu na mwenye upendo wa dhati.Pia asiwe na mtoto.

Nipo tayari kusafiri Hadi Tanzania kukutana na kufanya maongezi na mwanamke atakayejitokeza na kukidhi vigezo nilivyotaja hapo juu.Nitagharamia kila kitu.

Nipo serious Sana nahitaji mwanamke wa Kitanzania na yeyote atakaye kuwa interested na Mimi Basi aniPM ama anitafute kwa e- mail address yangu ifuatayo
@raymanu254@gmail.com
 
Duu ndo unatafuta mtandaoni mkuu.
 
Nna sista angu hapa hajaolewa unaweza tuma nauli aje akuone hapo nakuru.!?
 
Usisahau kupitia Kidimbwi unaweza para wife material huko
 
Nawashauri wanawake wa Tanzania kupita mbali na hii mutu ya Naiii

Sema unataka mserereko kwenye kuishi nchini

Pili wanawake wengi wa Bongo walioolewa na Wakenya hukumbana na changamoto kede kede kutoka kwa wakwe.

Oi kaoe Uganda
 
Ndio huku mtandaoni, daaa anaweza hata kwenda Kilimanjaro kule akatafuta ila sio kuja huku maana daa, iseeee
Nyie kuna pisi kali humu JF nyie chukulieni poa, mimi ni shahidi kuna mdada nimemuona live humu ni mzuriiii acha kabisa yani mzuri na anajielewa sana mstaarabu na mcheshi, JF pia ni jamii sema tu ni jamii iliyochangamka
 
Duuu haya
 
Aisee 26 saizi??
Ila nasema ukweli ukishakuwa serious ukamfuata mtu pm ni yeye ndio hayupo serious walahi anavikasoro fulani fulani ambavyoo sio poa.

Humuelewi sana sana
 
Mie nipo serious Sana mkuu nataka kuoa mwanamke kutoka huko Tz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom