Don't Allow this! Kumwoa mwanamke aliyekuzidi urefu na elimu

Mazee hata uwe na pesa kiasi gani, kuoa mwanamke aliyekuzidi urefu i mean urefu wa kimo pamoja na Elimu lazima akusumbue na utaibiwa sana. Hii ishu kubwa sana kwenye ndoa...ni wanawake wachache sana wanaoweza kuwavumilia wanaume wafupi na ambao wamewazidi elimu...

Na nivitu vinavyoweza kuepukika...

Nadhani niko sahihi, karibu kama una hoja...
Mke wangu ana Master Degree kidune nina Bachelor yangu tu,sijawahi ona au sikia akinidharau! Kama ulivyosema ni wachache mke wangu pia kati ya hao wachache yumo!
 
Mke wangu ana Master Degree kidune nina Bachelor yangu tu,sijawahi ona au sikia akinidharau! Kama ulivyosema ni wachache mke wangu pia kati ya hao wachache yumo!
Kwani nimesema kudharauliwa?
Nazungumza kuchapiwa...
 
Kwani nimesema kudharauliwa?
Nazungumza kuchapiwa...
Mkuu kila mwanamke/mwanaume na tabia zake! Kuchapiwa unaweza chapiwa hata kama mkeo ana Certificate, Diploma,Degree, Master au PhD!

Ukiishi kwa mawazo yakuwaza kuchapiwa mke unaweza kufa mapema na shinikizo la damu bure!

Ishi kwa imani ya kwamba huchapiwi mpaka utakapoona mwenye au utakapoanza ona viashiria vya kuchapiwa!
 
Kwenye kimo napinga ila hapo katika elimu ni sawa kabisa.......binafsi mtu niliyemzidi elimu sitaki kuolewa naye hata kama ana hela nyingi.......wengi wao ni vizibo hawaelewi unaweza kumtandika ngumi bila kutarajia ....
 
Huu ni uongo wa mchana kweupe, yaelekea tatizo lako ni KUTOJIAMINI, na wala si kimo au elimu, jenga tabia ya kujiamini basi, yeyote awe mrefu, mwenye elimu haitajalisha, kila kitu kitaenda sawa. Hivi utajua kwamba kuna wengi 'warefu' na 'wenye elimu' lakini ni majanga kabisa?, hivyo urefu na elimu si kigezo muhimu kwenye mahusiano we' jiamini tu, usihosu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom