Don't Allow this! Kumwoa mwanamke aliyekuzidi urefu na elimu

Man, when I like something I go for it!

Tushawaona wanaume warefu wakioa wanawake wafupi na wakashindwana!

One man's poison is another mans medicine!

Just because it didn't work for you it doesn't mean that it won't work for someone else!

Most importantly, I judge people by their wisdom, age or height have a little to do with my decisions!

Usiku mwema!
Kweli kabisa mkuu
 
nyie ndo wale wale mnawaza ndoa kuwa ni picha za harusi tu

Haaaaa Haaaaa Haaaaa Haaaaa teeeh teeeh teeeh, nimekumbuka mbali sana

Ilikuwa hivi nikiwa mdogo sana, basi harusi kidogo ivunjwe ile sherehe sababu,
Cameraman kachanganya maeneo harusi ilipo yeye kaenda kwa jirani yaani mtaa Kama wa nne kutoka harusi aliyopewa tenda ya kupiga picha ilipokuwa.

Kafika kule, kapiga picha zake kisha kafakamia bia na Chakula wanakuja kumuona yaani yupo hoi hata kitufe cha kuwasha camera hawezi kutambua kilipo. Basi, wakachukua kijana mwingine wakamuelekeza akapiga picha Ila msala ulikuwa ni mkali sana.
 
tukio la kihistoria lile, watu hawataki mchezo na picha zao.
 
Man, when I like something I go for it!

Tushawaona wanaume warefu wakioa wanawake wafupi na wakashindwana!

One man's poison is another mans medicine!

Just because it didn't work for you it doesn't mean that it won't work for someone else!

Most importantly, I judge people by their wisdom, age or height have a little to do with my decisions!

Usiku mwema!
Ur very right...but
It comes the issue of facing the society interactions!! shaking is easy.
[HASHTAG]#sorry[/HASHTAG] for my poor English.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom