Don't Allow this! Kumwoa mwanamke aliyekuzidi urefu na elimu

Umeniwahi. 😅😅😅 Naja

Sa ubusy ule unazisikilizaga saa ngapi hizi nyimbo za wahenga?
Uzuri wa nyimbo za wahenga zipo kwa flash tu na kwa utamu wake ukizisikiliza ndio zinakupa mzuka zaidi wa kupiga kazi, hebu nawewe anza sasa kufanya hivyo uone tija itakavyoongezeka
 
Ndoto za kupereka posa kwa PK zimeyeyuka
b14b588229b35a9348b54a38012df39f.jpg
 

Attachments

  • C60192F5-8E47-4F84-8785-13A2AD240F5F.jpeg
    C60192F5-8E47-4F84-8785-13A2AD240F5F.jpeg
    48.1 KB · Views: 15
Ndomaana kuna bifu La chinichini linaendelea kati ya wanawake warefu na wanaume wafupi....na hilo bifu linachochewa na wanawake warefu....hawataki hata kuombwa namba na wanaume wafupi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom