Mbatia hata sio kichwa,angekua kichwa angejaribu kukiunganisha chama chake na kuhakikisha anarudisha wale Brain trust wote walio kua kwenye chama kabla hakijasambaratika,lakini yeye toka ameingia ndo kwanza wamezidi kutimka,Hebu fikiria watu kama Mabere Marando,Ndimara Tegambwage,Profesa Baregu,Hashimu Spunda, Roman Selasini,Ali Sumaye,Nsanzugwanko na wengineo na kwa kusaidiana na wale vijana kina Kafulila ,Mkosamali, na wengine,hawa wangeweza kumsaidia yeye kukiboresha chama,lakini anaonekana ni mbinafsi na anachotaka yeye ni madaraka tu na kuwa na watu wanaomtii basi,na kwa hilo kwa kweli amefanikiwa kwani hakuna wa kumwambia kitu,amebaki kujivunia hiyo stori ya kwamba ametoka mbali na chama na amekuwepo muda mrefu kwenye harakati za mageuzi so hakuna wa kumwambia kitu ,mambo hayendi hivyo brother unganisha nguvu na wenzako chama kiende mbele,anakushinda hata Zitto,maana yeye anaonekana ni mwanasiasa anayekuwepo muda wote na amesimama kwa miguu yake,wala hakai kwa fadhila za chama kingine,lakini wee unajiita wa long time kitambo chama chako kina mbunge mmoja tu ,yeye anahemea kwa pumzi za UKAWA tu,Mi unaniboa Mbatia,Mbinafsiii.