Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati, James

Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
 
Mbatia kichwa sana.

Ni mwanasiasa wa kweli mno.

Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!
 
Yeye ubunge wa kupewa hajui wenzake walivyo upata kwa mbinde.
Unaamuru Nasari atolewe nje na polisi kama mwizi? Uchungu aliopitia Nasari hadi kuwa Mbunge yeye haujui na hatujui yeye kaupata vipi ule ubunge na unaibu wa haraka haraka
 
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa Kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina!
Yule mbunge dogo WA morogoro wabunge Wanawake WA kuteuliwa aliwaitaje vileee
 
Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!
Mkuu una maana kuwa kichwa kizuri katika siasa lazima uwe na cheo kikubwa??

Is that how you think??
 
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa Kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina!
Nadhani una mtindio wa ubongo, yaani mbunge tena wa kuchaguliwa na kura za wananchi bado unamuita msaga lami?
 
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa Kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina!

Aliyempeleka Tulia pale ni nani? Unadhani wabunge wa CCM wote wanamuunga mkono Tulia?
 
Back
Top Bottom