KayScarpetta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,251
- 775
Ni kweli kabisa na nakubaliana na wewe sababu hujui madhumuni yako ya kuwa duniani. Inaonyesha umezaliwa ili ukuwe usome, uajiliwe, uowe, halafu kifo. U dont know your calling neither your purpose on earth.
Nyie ndiyo mkishakufa mnatuachia panya road mitaani na taifa hili hasara sababu mnatuachia ****** wengine kama wewe, maelezo yako hapo juu ndizo akili za machicha ya nazi. Wewe unadhani kufanikiwa ni kuwa na personal status.
Usiwe na mawazo finyu, fikiri kwanza kabla ya kuwakilisha mawazo yako.
hahahaha mkuu hizo nyota hapo ni lile jina ambalo sasa wenyewe wamelichukulia hati miliki, halipaswi tena kutajwa kutajwa, kwa hiyo limekuwa sensored...
hahahahaha tanzania bana... dah!!!!