mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
Huyu jamaa yupo smart sana
Watu wanajisifia mafanikio sio uzoefu, ndiyo maana leo tunapokosa maendeleo chini ya CCM, tunatamani Tanzania iongozwe na chama kikingine. Ingawa CCM ipo siasa miaka mingi, wanapopotea vyama mbada ni pale wanapozoa watu waliochokwa na kuwafanya viongozi waandamizi wa chama, wakisahau CCM ni watu sio jina tu.Mbatia kasema ukweli huyo tulia ni juzi kaingia kwenye siasa na bado hajazifahamu vizuri siasa
Pumba express, Mbatia ni mbunge kabla JK hajawa Rais, au unataka kutueleza JK ndiye aliyempa ubunge wa Vunjo!?Mbatia awe mkweli, amefika hapo alipo kwa mbeleko ya CCM chini ya JK, au amesahu?
Hawa wanaotimuliwa vyuoni mara nyingi huwa ni vichwa makini sana wanasimamia wanachokisema na wanachokiamini huwa hawakurupuki kama baba nanii.Ni kweli. Sina taarifa sahihi but nadhani Mbatia 'alitimuliwa na Mwinyi' pale UDSM mwaka 91 baada ya kutokea mgomo wa wanafunzi, mbatia akiwa raisi wa serikali ya wanafunzi.
Kwani kama si kubebana na kulindana kwa ccm Tulia leo angekuwa hapo alipo?Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Umenichekesha sana EWGM'sNi kweli kabisa na nakubaliana na wewe sababu hujui madhumuni yako ya kuwa duniani. Inaonyesha umezaliwa ili ukuwe usome, uajiliwe, uowe, halafu kifo. U dont know your calling neither your purpose on earth.
Nyie ndiyo mkishakufa mnatuachia panya road mitaani na taifa hili hasara sababu mnatuachia ****** wengine kama wewe, maelezo yako hapo juu ndizo akili za machicha ya nazi. Wewe unadhani kufanikiwa ni kuwa na personal status.
Usiwe na mawazo finyu, fikiri kwanza kabla ya kuwakilisha mawazo yako.
Mbatia ukubali husikubali yupo vizuri tuWatu wanajisifia mafanikio sio uzoefu, ndiyo maana leo tunapokosa maendeleo chini ya CCM, tunatamani Tanzania iongozwe na chama kikingine. Ingawa CCM ipo siasa miaka mingi, wanapopotea vyama mbada ni pale wanapozoa watu waliochokwa na kuwafanya viongozi waandamizi wa chama, wakisahau CCM ni watu sio jina tu.
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"
Source: Mh Mbati, James
Very poor reasoning. Kwako wewe kuteuliwa na mtu hata ukafikia nafasi ya juu, unaona ni mafanikio? Wenye akili huishi kwa akili na jitihada zao, na siyo kwa kuteuliwa na mtu. Aliyeteuliwa, mara nyingi huwa ni mtumwa wa aliyemteua.Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Kwa nini asijiunge na CCM?, au hawezi kuchangia ujenzi wa nchi akiwa CCM?Mnachokisema ni sawa na kusema Yanga anachukua makombe kila siku wakati Arsenal haichukui kule EPL hivyo Yanga ni bora kuliko Arsenal.. Mbatia angekuwa CCM kwa miaka yote hiyo angeshakuwa waziri siku nyingi sana hata Uspika kama angeutaka angeweza kuwa.. Yule shemeji yake wa kiukoo yule Marehemu si alikuwaga na cheo kikubwa tu huko chamani mpaka serikalini
Nakubariana na wewe, Mbatia yuko vizuri sana, ni mwanasiasa mzuri ila hana mafanikio ya kisiasa. Ndicho watu wanachokiongelea, na sio pesa, majumba ama magari lah hasha.Mbatia ukubali husikubali yupo vizuri tu
Umakamu wa Rais, uwaziri mkuu au unaibu spika kama wa Tulia, zote ni nafasi za kupewa na mtu. Sidhani kuna cha kujivunia, kama ukiwa kwenye nafasi hizo.Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!
Tulia kaingizwa juzi kwenye siasa, na wala hatafika popote kwenye siasa.Mbatia kasema ukweli huyo tulia ni juzi kaingia kwenye siasa na bado hajazifahamu vizuri siasa
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!
Umeishia darasa la ngapi? This is very serious! Mtu anashindwa kuandika angalao hata sentensi moja ya kiswahili iliyo sahihi halafu anaona ana uwezo wa kuchangia. Huyu ni wa kuchukua mafunzo ya KKK (Kuandika, Kusoma na Kuhesabuj).Kama siasa zenyewe ndio za kina Mbatia bora hasizifahamu kabisa Naibu Spika, hii yote ni mifano mibaya ya mtu kujifunza siasa alikikuta chama chake ndio kinaongoza kambi ya upinzani bungeni sasa hivi amekuwa mpambe na msemaji wa chama kingine. Huyo aliyeingiA juzi kamuacha hata Zitto amempita. alianza siasa kabla ya Mbowe leo anamsujudia.
Kichwa kwa lipi mkuu????..Yeye anasema hivyo kwa kuwa ZIPO NYINGI ZILE ZA KUMKARIBISHA MZEE UKAWANI....but kwa hawa wabunge wapya ambao ndio wameingia BUNGENI kwa mara ya kwanza hii KAULI LAZIMA IWAUME na mpka sasa wanasikitika sana kwa huu mkumbo wanaoshurutishwa kuufata......WALE WAKUBWA MIFUKO YAO IMETUNA they have nothing to regret so farMbatia kichwa sana.
Ni mwanasiasa wa kweli mno.
tatizo huyo Nasari hafuati kanuni , sheria na taratibu sasa yeye Tulia afanye nini jamani?!?!?!Yeye ubunge wa kupewa hajui wenzake walivyo upata kwa mbinde.
Unaamuru Nasari atolewe nje na polisi kama mwizi? Uchungu aliopitia Nasari hadi kuwa Mbunge yeye haujui na hatujui yeye kaupata vipi ule ubunge na unaibu wa haraka haraka
Sasa umeongea nini? Mbatia anakwambia wao wameanza enzi za giza mpaka sasa mwanga,aje mtu toka kutokako hawarudishe gizani? Hajui uko Gizan pakoje yeye anasema.....wamefanyiwa nini uko gizan mapaka hawapataki kwa nguvu zote hata kuacha posho.......Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Kipindi hicho nae alikuwa anafanya nini? Hapana chezea ukishaoteshwa kinyamlani"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"
Source: Mh Mbati, James