Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!
Kwahiyo kwako wewe unaibu spika ndiyo mafanikio kisiasa?huyo aibu spika hajawahi hata kupata kura 10 kutoka kwa watanzania wenye nchi yao zaidi ya kupata vyeo vya kupendelewa
 
Aliyempeleka Tulia pale ni nani? Unadhani wabunge wa CCM wote wanamuunga mkono Tulia? Acha ulikaza

Inabadilisha nini? Dada Tulia (PhD) ndiye Naibu Spika wa Bunge la JMTZ, Mbatia ni nani? kwanza hata amshukuru Raisi Kikwete kwa kumpa Ubunge wa viti maalumu kama Lucy kamata vinginevyo leo hii angekuwa anabeba mikoba ya fisadi Lowasa au Mbowe!
 
None sense!
 
U hv made ur point very loud and clear,big up!
 
Mbatia kasema ukweli huyo tulia ni juzi kaingia kwenye siasa na bado hajazifahamu vizuri siasa

Kama siasa zenyewe ndio za kina Mbatia bora hasizifahamu kabisa Naibu Spika, hii yote ni mifano mibaya ya mtu kujifunza siasa alikikuta chama chake ndio kinaongoza kambi ya upinzani bungeni sasa hivi amekuwa mpambe na msemaji wa chama kingine. Huyo aliyeingiA juzi kamuacha hata Zitto amempita. alianza siasa kabla ya Mbowe leo anamsujudia.
 
Mkuu una maana kuwa kichwa kizuri katika siasa lazima uwe na cheo kikubwa??

Is that how you think??

MTU KUITWA TAJIRI SI KUWA NA MAWAZO MAKUBWA YA KITAJIRI BALI NI KUWA TAJIRI MWENYE MALI NA FEDHA ZINAZOONEKANA by yehodaya
 
Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!

Ndy tatizo la kutumia kitwanga mchana wa jua kali
 
Isingekuwa hii sheria ya mtandao tungekuwa tumeishajua sababu za huyu mama kuzawadiwa ubunge na baadaye kubebwa mpaka kupewa unaibu spika, nadhani watu wanaogopa adhabu ya hiyo sheria lakini hata hivyo tutajuwa tu siri iliyopo ni suala la muda tu.
 
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Kufanikiwa sio lazima uende ngazi za juu unaweza kubebwa na mbereko kama Tulia na usiwe msaada kwa wananchi, unaweza kuwa Mbunge ukawasaidia wananchi katika mambo mbalimbali, kwahyo kupata cheo sio mafanikio ya wengi,
Na utaratibu wa spika kuachiwa nchi haupo siku hizi.
 
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina!

Ni kweli kabisa na nakubaliana na wewe sababu hujui madhumuni yako ya kuwa duniani. Inaonyesha umezaliwa ili ukuwe usome, uajiliwe, uowe, halafu kifo. U dont know your calling neither your purpose on earth.

Nyie ndiyo mkishakufa mnatuachia panya road mitaani na taifa hili hasara sababu mnatuachia vilaza wengine kama wewe, maelezo yako hapo juu ndizo akili za machicha ya nazi. Wewe unadhani kufanikiwa ni kuwa na personal status.

Usiwe na mawazo finyu, fikiri kwanza kabla ya kuwakilisha mawazo yako.
 
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Halafu uongezee wewe na Mbatia nani ana afadhali ya maisha kwa sasa, Kijana ni vema ukauficha upuuzi wako wa kutetea visivyofaa kwa kuwa tu mmeahidiwa kupewa vyeo eti kwa kupambana kwenye mitandao ya kijamii
 
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina nani hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Wewe nawe kwa kuongea ukwel,changanya na uongo kama wenzio wa kususa
 
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
hapa ishu si cheo mh.mbatia tunaona mchango wake kitaifa linapokuja suala la namba 3/4 ni sawa lakini umeifanyia nini nchi yako ,taifa lako ,mbatia anajenga hoja ya msingi kuwa suala si posho taifa kwanza .endapo suala ni cheo mbatia aliteuliwa pia ubunge lakini hakukubadili msimamo wake alisimamie taifa lisiangamie suala la elimu .unapotanguliza taifa una hofu ya mungu historia isije kukuhukumu
 
Back
Top Bottom