Mjita Pure
Member
- Jul 29, 2015
- 42
- 24
Wee mafanikio ya unayapima kwa kuwa kiongozi wa Bunge na elimu??? Kuna raia walogundua formula za mahesabu na hawakusoma. Sidhan kama uko sahihi, mzee mwenzangu.Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!