Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

Inabadilisha nini? Dada Tulia (PhD) ndiye Naibu Spika wa Bunge la JMTZ, Mbatia ni nani? kwanza hata amshukuru Raisi Kikwete kwa kumpa Ubunge wa viti maalumu kama Lucy kamata vinginevyo leo hii angekuwa anabeba mikoba ya fisadi Lowasa au Mbowe!
Kwahiyo leo hii mbatia ni mbunge wa viti maalum?
 
Nakubariana na wewe, Mbatia yuko vizuri sana, ni mwanasiasa mzuri ila hana mafanikio ya kisiasa. Ndicho watu wanachokiongelea, na sio pesa, majumba ama magari lah hasha.
Were mafanikio ya kisiasa unayapima kwa mtu kupewa unaibu spika? Tatizo humu tunargue ns watu ambao uelewa ni problem
always unaongea pumba sijui ni ushamba au unadhani utapewa viti maalum.

swissme
 
Inabadilisha nini? Dada Tulia (PhD) ndiye Naibu Spika wa Bunge la JMTZ, Mbatia ni nani? kwanza hata amshukuru Raisi Kikwete kwa kumpa Ubunge wa viti maalumu kama Lucy kamata vinginevyo leo hii angekuwa anabeba mikoba ya fisadi Lowasa au Mbowe!
Mtu aliyepata ukubali wa wananchi kwa kupigiwa kura ni mtu wa kuheshimika sana. High academic attaiment and drastic raising to high political position does not make one more important than another. Life's experience in various positions and various endeavors makes an aspirant to higher office a servant. Tulia may be contented with the former but it's the later that guarantees survival in politics.
 
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Na elimu yake badooooo iko vile aahhh
 
Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!
Unanfanisha mtu anayechaguliwa na MTU 1 na anayechaguliwa na watu zaidi ya 30000 tafakari
 
Yeye ubunge wa kupewa hajui wenzake walivyo upata kwa mbinde.
Unaamuru Nasari atolewe nje na polisi kama mwizi? Uchungu aliopitia Nasari hadi kuwa Mbunge yeye haujui na hatujui yeye kaupata vipi ule ubunge na unaibu wa haraka haraka
Watu kama hawa ni vizuri wakiombwa kwenda kuwapigia kampeini wabunge wenzao kama mkapa alivyo enda jimboni kwa nasari kumsaidia mbunge wa ccm alichokipata kule nasikia hata gari kulipanda ilikuwa ni shida
 
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati, James
mbatia acha unafiki wewe. Mbona ulikuwa unachukuwa posho za vikao vya vyama?
 
Aliyempeleka Tulia pale ni nani? Unadhani wabunge wa CCM wote wanamuunga mkono Tulia?
Kama halijui hilo ajikumbushe siku ya kwanza ya kufukuzwa kwa wanafunzi udom jinsi wabunge wa ccm walivyo amua kuungana na wana ukawa kumsusia bunge lao
 
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati, James
Ukweli mtupu !
 
Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea![/QUOTE]
Ulichokiandika ujing wa kiwango cha UPHD. Unaibu spika wa kupewa Techinical know who? au Uspika wa kupewa? Mbatia anapata Cheo kutokana na juhudi zake na sio kupewa cheo na mtu mmoja kwa mapenzi ueai wake. Bravo Mh.Mbatia
 
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Na sas kauwa chama
 
Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!
Kajipiga dongo yeye mwenyewe. Hana uwezo wa kuongoza. Kuongea na waandishi wa habari huku ukikosoa sera za chama tawala ni suala moja, kujua kuongoza wabunge kwa kutumia kanuni za kisheria ni jambo jingine tofauti kabisa.
 
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati, James
Hivi huyu mliberari bado yupo! shubeshiiih!
 
Na sas kauwa chama
Mbatia hata sio kichwa,angekua kichwa angejaribu kukiunganisha chama chake na kuhakikisha anarudisha wale Brain trust wote walio kua kwenye chama kabla hakijasambaratika,lakini yeye toka ameingia ndo kwanza wamezidi kutimka,Hebu fikiria watu kama Mabere Marando,Ndimara Tegambwage,Profesa Baregu,Hashimu Spunda, Roman Selasini,Ali Sumaye,Nsanzugwanko na wengineo na kwa kusaidiana na wale vijana kina Kafulila ,Mkosamali, na wengine,hawa wangeweza kumsaidia yeye kukiboresha chama,lakini anaonekana ni mbinafsi na anachotaka yeye ni madaraka tu na kuwa na watu wanaomtii basi,na kwa hilo kwa kweli amefanikiwa kwani hakuna wa kumwambia kitu,amebaki kujivunia hiyo stori ya kwamba ametoka mbali na chama na amekuwepo muda mrefu kwenye harakati za mageuzi so hakuna wa kumwambia kitu ,mambo hayendi hivyo brother unganisha nguvu na wenzako chama kiende mbele,anakushinda hata Zitto,maana yeye anaonekana ni mwanasiasa anayekuwepo muda wote na amesimama kwa miguu yake,wala hakai kwa fadhila za chama kingine,lakini wee unajiita wa long time kitambo chama chako kina mbunge mmoja tu ,yeye anahemea kwa pumzi za UKAWA tu,Mi unaniboa Mbatia,Mbinafsiii.
 
Mwenzake sasa ana PHD yeye ananini? Na siasa imemsaidia nn kwa miaka 25 yote? Hajidhangai kuona mtu aliekuwa shule yq msingi sasa ndio kiongoz wake bungeni? Haon aibu hata kusema upupu huo? Ukawa nenden kwa babu Mwasapile Loliondo[/QUOTE

Nahisi wewe akili yako imeanzia mkiani!!
Daaaa!
 
Back
Top Bottom