Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!

Kama nchi bado ina VILAZA WA NAMNA HII, NI KWELI BADO TUNA SAFARI NDEFU.

Watanzania wengi wakisha kula ubwabwa na maharage basi AKILI INABADILIKA NA KUWA MATOPE
 
Watu kama Mbatia ni wachache Tanzania hata hivyo tumshukuru Mungu kwa uwepo wa Mbatia huyu

Akiongea chochote basi huwa kina maana kubwa
 
Kumbuka tulia hakufika hapo alipo kwa uwezo wake binafsi bali ni cheo cha kupewa kwa maslahi fulani.Fungua ubongo kujifikirisha.
Naona kama kila mtu kaishiwa hoja. Suala la ama kuchaguliwa au kuteuliwa hakiwezi kuwa kigezo cha namna kiongozi anaweza kuperform. Na watendaji wazuri mara nyingi huwa ni wale wa kuteuliwa. Kumbukeni hata Lowasa alivyogombea urais kupitia cdm hakuwa amechaguliwa na mwananchi yeyote zaidi ya kuteuliwa na Mbowe.
 
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Ni bora ungekaa kimya, Mbatia amekuwa mbunge mwaka 1995-2000 pia 2010-2015 na sasa 2015-2020 harafu unasema anasaga lami are you serious?
 
kw
Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!

Kwani Tulia pia ni mwana siasa?.
Rudia kusoma kile ulicho andika na urekebishe haraka.
 
Kama nchi bado ina ****** WA NAMNA HII, NI KWELI BADO TUNA SAFARI NDEFU.

Watanzania wengi wakisha kula ubwabwa na maharage basi AKILI INABADILIKA NA KUWA MATOPE
Dah. Jamani uncle una maneno makali ivo?
 
Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!
Acha ujingaaaa na UKILAZA sasa unataka kumfananisha MBATIA na huyoo Dada Yakoo???unajua kafikajee kwenye Ichoo kiti mpaka ujidaie ivi???Are you Serious?????haaa haaa A stupid person can be seen in his speech or writings....Eti sijui we umekula maharagwee ya wapiiii au ndoo Buku 7 zinakuwashaaaa..Ukomee na nisikusikieee tenaaa kumfananisha Jembeee na kijiko.
 
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Ningeshaa sana kama posti ya kiwango hiki ingekuwa imeandikwa na mwingine zaidi yako. So cheap. Hopeless.
 
Ni bora ungekaa kimya, Mbatia amekuwa mbunge mwaka 1995-2000 pia 2010-2015 na sasa 2015-2020 harafu unasema anasaga lami are you serious?
Umewahi kufuatilia post za huyu mtu anayejiita Barbarosa? Ni za ovyo kuliko za mtu mwingine ye yote.
 
Acha ujingaaaa na UKILAZA sasa unataka kumfananisha MBATIA na huyoo Dada Yakoo???unajua kafikajee kwenye Ichoo kiti mpaka ujidaie ivi???Are you Serious?????haaa haaa A stupid person can be seen in his speech or writings....Eti sijui we umekula maharagwee ya wapiiii au ndoo Buku 7 zinakuwashaaaa..Ukomee na nisikusikieee tenaaa kumfananisha Jembeee na kijiko.

Si alikua viti maalumu huyu
 
Muulize Mbatia awamu iliyopita aliupataje ubunge alipoteuliwa na Kikwete
Wakati huo uliwahi kumsikia Mbatia akimdharau Mbunge wa kuchaguliwa? Au ulipata muona akijipendekeza kwa aliyemteua?
 
Mbatia hana jipya kosa JK Angefika hapo?
We Taahira, Ni bora ungekaa kimya, Mbatia amekuwa mbunge mwaka 1995-2000 pia 2010-2015 na sasa 2015-2020 harafu unasema bila JK, are you serious?
 
Back
Top Bottom