Nina hakika kauli hii kaitoa akizani watanzania wanamuelewa kama mpigania wanyonge kumbe walishajua ni mpigania tumbo???? Iko wapi haki ya yy Mbatia kupewa mkopo usio na riba!! iko wapi haki ya yy kulipwa posho ya kukaa shs 220,000 ilihali anajua kuwa kima cha chini cha mshahara ni 170,000 na pamoja na kulipwa anatoka nje?? huku akijua mtumishi wa umma halipwi chochote asipoonekana kazini kwa siku 5 tu na huishia kufukuzwa kazi?? hivi leo ni huruma gani waliyonayo akina mbatia zidi ya wanyonge wao? hivi hii ndiyo dhana ya uwakilishi kama jukumu walilonalo mbele ya watanzania waliowachagua?? kuzila, kugoma kuingia bungeni???