Dondoo za Bajeti 2016/2017, kujitegemea kwa asilimia zaidi ya 80

Dondoo za Bajeti 2016/2017, kujitegemea kwa asilimia zaidi ya 80

Naona mkuu hisabati yakupiga chenga.17.8 kwa 29.5 sio 80%, ni 60% bado saana,twategemea 40%toka nje na huku tukijishaua kuhusu MCC....tutakoma.
Jamaa hajui kama mkopo nao ni msaada wenye masharti.
 
*kwa nini maendeleo yasichukue 17tr, na matumizi yakawa 11tr.
Mbona aliepita mlikuwa hammuulizi hivyo na wakati posho za burudani na chai ilikuwa na budget kubwa kuliko hela za maendeleo na bado hata hizo kidogo za maendeleo zilikuwa hazitolewi watu walikuwa wanazipiga juu kwa juu
 
Si rahisi bajeti ya maendeleo kuizidi bajeti ya kawaida. Nakumbuka kipindi fulani Prof Lipumba alilielezea vizuri hili kwamba bajeti ya matumizi huwa kubwa kwa kuwa ndio inalipa watendaji wote na wawezeshaji wa hayo maendeleo tunayoyakusudia. Kwa hiyo bajeti ya matumizi ikiwa ndogo kuna uwezekano miradi ya maendeleo isifanyike maana haitawezekana kuwalipa waibuaji, watendaji, wafuatiliaji na waendelezaji wa hiyo miradi.
Hiyo ilikuwa ufafanuzi mwepesi sana tuu, lkn kinacho angaliwa Ni uwepo wa pesa tuu na sio kwamba haiwezekani kuzidi ya matumizi, vp kama kuna surplus imebaki???
 
Kuna baadhi ya miradi ya maendeleo ikikamilika inaongeza makusanyo katika kapu la taiga hasa kupitia halmashauri mbalimbali.
 
Hiyo ilikuwa ufafanuzi mwepesi sana tuu, lkn kinacho angaliwa Ni uwepo wa pesa tuu na sio kwamba haiwezekani kuzidi ya matumizi, vp kama kuna surplus imebaki???
Mkuu kila mradi unaoundwa wa maendeleo lazima uajiri watu wa kuusimamia na kuuendeleza.Labda kama inawezekana wadau walete mifano ya nchi zinazoendelea ambazo zina bajeti ya maendelleo inayozidi ya matumizi ya kawaida.
 
Naam maadamu tutaendelea kuongeza mikoa mipya,wilaya mpya,taasisi na idara mpya za serikali matumizi ya kawaida yataendelea kuwa juu ya matumizi ya miradi ya maendeleo.Laiti Magufuli angezifuta baadhi ya taasisi na idara za serikali zisizo na tija,akafuta baadhi ya miradi isiyo na faida, akaondoa mfumo wa mikoa na kuunda mfumo wa kanda kwa kuiunganisha baadhi ya mikoa ingesaidia sana kupunguza matumizi ya kawaida ya serikali kwa kiwango kikubwa na hivyo fedha za matumizi ya miradi ya maendeleo zingeongezeka mara dufu.The current bloated system bleeds the taxpayers money dry, this doesn't bode well for the future of our beloved country.
Mkuu kila mradi unaoundwa wa maendeleo lazima uajiri watu wa kuusimamia na kuuendeleza.Labda kama inawezekana wadau walete mifano ya nchi zinazoendelea ambazo zina bajeti ya maendelleo inayozidi ya matumizi ya kawaida. Serikali ikianzisha shule kwa mfano kwa bajeti ya maendeleo itaajiri walimu,wafanyakazi wasio walimu,itapeleka vifaa vya kufundishia na kujifunzia,vifaa vya maabara n.k na hivi vyote ni matumizi ya kawaida na ni ya kudumu.
 
Unashangilia nini wewe. Wanachokifanya TRA ni kuumiza wadogo na kodi kubwa zisizo na uhalisia wa kipato cha watu. There is nothing to celebrate. Mtu unanunua gari mfano unalipa fola elfu mbili, kodi dola elfu sita, is that real
 
*kwa nini maendeleo yasichukue 17tr, na matumizi yakawa 11tr.
Weka vigezo vya kwa nini unafikiri hivyo, usikute una point nzuri tu. Huwezi mkuta mtu anakunywa chai kikombe kimoja na vitumbua vinne halafu wewe bila kutoa vigezo unamuuliza kwanini usinywe chai vikombe vinne na kitumbua kimoja!!
 
Unashangilia nini wewe. Wanachokifanya TRA ni kuumiza wadogo na kodi kubwa zisizo na uhalisia wa kipato cha watu. There is nothing to celebrate. Mtu unanunua gari mfano unalipa fola elfu mbili, kodi dola elfu sita, is that real
mtu anayenunua gari usimuweke kwenye watu 'wadogo'. Mi nilidhani unatoa mfano wa muuza genge au mtumishi ambaye tayari PAYE yake itapunguzwa.
 
Hivi ni mapenzi yetu kwa JPM, kutofahamu mambo ya uchumi au ni nini hasa kinafanya watu waipongeze hiyo bajeti?

25% ya bajeti ni mkopo-- yale madeni tuliyokuwa tunamsemanga JK yanaongezeka kwa kiwango kikubwa mno tena kwa mara moja! I hope huo mkopo utakuwa well utilized na endapo hautapelekwa kwenye ujenzi wa reli basi hili ni jipu! Unless hiyo figure (Trillion 7.5) iwe imekosewa lakini nchi hii haijawahi kuchukuwa mkopo mkubwa namna hiyo; hata nusu yake kwa mara moja.

Nitaipongeza hiyo bajeti nikishaona breakdown ya hiyo Trillion 7.5 manake hiyo not less than 20% ya deni tulilo nalo hivi sasa!
 
*kwa nini maendeleo yasichukue 17tr, na matumizi yakawa 11tr.
Hili neno "matumizi ya kawaida" linawachongea sana serikali kutokana na hilo jina "kawaida" to the point inaonekana ni kama yale yanayoweza kuzuilika!

In short, matumizi ya kawaida yana-cover mambo mengi sana ya msingi ambayo bila hayo hata hiyo matumizi ya maendeleo yata-cease to work. All day to day government operations including salary and wages yapo humo kwenye matumizi ya kawaida!
 
Ka
Tanzania imeonyesha inataka isimame yenyewe kitu ambacho mataifa makubwa awapendi kusikiaaa kwamba taifa linasimama peke yake.
Mfano mzuri Libya ilijitaidi kusimama bila wazungu wameitafutia zengwe sasa ivi ukienda pamekuwa magofu.
Kama hujui uchumi ni bora useme uelekwlezwe
Sioni kama upo sahihi kuonganisha msaada na mkopo na kuifanya kitu kimoja..
kwani Mkuu ukihitaji kujitegemea unahitaji tena misaada??-misaada tunayopata nchi za kiafrika siyo msaada wa bure kama bure
 
n
Ka

Kama hujui uchumi ni bora useme uelekwlezwe

kwani Mkuu ukihitaji kujitegemea unahitaji tena misaada??-misaada tunayopata nchi za kiafrika siyo msaada wa bure kama bure
Mikopo haikwepeki..ata China, Urusi na Marekani wanakopa
 
Back
Top Bottom