Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
sasa wewe naona akili zako zinahitaji kuwekwa sawa. kila siku unalalamika dawa hakuna, elimu ghali, madawati etc na hapa unataka magu asitenge pesa kwa ajili ya hilo.Shida yetu iko hapo!
Ni yapi haya matumizi ya Kawaida?
Yaani kwenye pesa zetu za ndani tunabakiwa na Bilioni 800 tu?.
Kama kweli Magufuli anataka tujikwamue haya matumizi ya kawaida yawe 11.8trilioni .Ila hata kama wafadhili na mikopo itakwama bado serikali yake itaweza kufanya shughuli ndogo ndogo za maendeleo.
Kama ni mimi hao wataalamu lazima waje na hesabu iliyohalisia. Yaani tunachokisanya yote matumizi ya kawaida?
Hatuko serious!
tena hiyo ni kidogo tulitakiwa kuwa na tr 25 kwa ajili ya matumizi ya kawaida ambayo ndio yanayo boresha huduma za jamii.