Dondoo za Bajeti 2016/2017, kujitegemea kwa asilimia zaidi ya 80

Dondoo za Bajeti 2016/2017, kujitegemea kwa asilimia zaidi ya 80

Mbona Wafadhili wameisha jitoa,kumbe majigambo ya bure,na km ndo utegemezi huu hatutafika mbali
 
Sio mbaya sana, ingawa inaonekana tunachopata chote tunatumia! Hakuna reserve kwa ajili ya maendeleo

Inabidi apunguze hiyo trillion 17, at least tutumie trillion 13 na 4 ziende kwenye maendeleo! Na mikopo plus wahisani pia ziende kwenye maendeleo. Hapo Ndo tutasonga mbele ila kwa hivo ilivo tunaendelea na kupiga maketime kama kawaida
 
Wamejitahidi kiasi fulani, ngoja tuone kama itakuwa hivyo, kwa kuanzia si mbaya kama tulipotoka, si haba.
 
CCM vepeee tenaaaa

si mlisema tunajitegemea full swing??
 
Inabidi apunguze hiyo trillion 17, at least tutumie trillion 13 na 4 ziende kwenye maendeleo!
Ndio imeshapunguzwa ikakomea hapo. Jamani, hamtaki watumishi wa umma walipwe mishahara? Hayo ndiyo matumizi ya kawaida yenyewe
 
"HAKUNA VYANZO VINGINE VYA MAPATO YA SERIKALI ZAIDI YO TRA" STRANGE!!!!!!!!!!!!
 
Huyu Pombe anavyobana posho za watumishi na huku akijua vimshahara vya serikali kuu na mitaa ni kinyaa, basi sidhani kama juhudi kazini itakuwepo ili kumsaidia ktk mikakati yake.
 
Bajeti ya Mwaka 2016/17 ni fedha za kitanzania trilioni 29.5

Katika bajeti hiyo fedha za ndani ambazo zitakusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) ni fedha za kitanzania shilingi trilioni 17.8 trilioni.

Mikopo ya kibiashara itakayochukuliwa na serikali kwa ajili ya Bajeti kuu ni shilingi trilioni 7.5

Misaada ya wafadhili ni shilingi trilioni 3.6.

Matumizi ya kawaida ni shilingi trilioni 17

Matumizi ya Maendeleo 11.8 trilioni.

kuandika/kupanga hivi kila mtu anaweza mbona?

kama ilivyokuwa "maisha bora kwa kila Mtanzania"!
 
Back
Top Bottom